Kwanini "Mungu" aliumba vitu vyote kwa kusema viwe na vikawa isipokuwa binadamu toka kwenye udongo kama ni kweli?

Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
7,672
Reaction score
9,039
Ukisoma vitabu vya ngano viitwavyo vitakatifu vinadai kuwa Mungu alimuumba Adam tokana na udongo. Ajabu ya maajabu na kujichanganya, vitabu hivyo hivyo, vinasema:
Mosi, Pili aliumbwa kwa kufinyanga udongo.

Pili, je Mungu tunayesema hafananishwi na chochote, ilikuwaje akaumba kiumbe/viumbe kwa mfano wake kama ni kweli?

Tatu, ilikuwaje akakosa udongo wa kutosha wa kuumbia Eva hadi 'achomoe' ubavu wa Adam?
Nne, je kwanini viumbe wengine wote waliumbwa kuwa kusema kuwa na wakawa isipokuwa ngurumbili?

Tano, je inakuwaje wadudu na wanyama majike hawakutoka kwenye mbavu za madume?

Sita, je tulipigwa changa la macho?
Kabla ha kujibu, jikumbushe amri kumi za "Mungu."
Ni amri gani ambayo hawa washenzi waliotuletea dini hawakkuvunja? Walisema tusiue, wakatuua na kutuuza utumwani, Walisema tuwapende majirani zetu wakaishia kutubagua na kutuchukia hadi leo, Walisema usiibe wakatuibia hadi leo wanapowatoza maskini wetu fedha kwa hadaa mbali mbali kama vile sadaka na zaka na mambo mengine, Walisema tusiseme uongo wakatuongopea kuwa kila kitu cheupe ni safi na cheusi kimelaaniwa, Walisema tusiwe na miungu wengi wakajigeuza miungu wao na mila zao.

Waliseme tusizini wakahalalisha uzinzi kwa njia ya ndoa za mitala na upuuzi mwingine. Walipomaliza kutuibia, wakatwambia tusitamani mali wala mke wa mwenzetu wakati wao waliendelea kuwabaka na kuwazini dada zetu.

Wanangu tusaidiane. Nauliza kuna ukweli humu au changa la mato?​
 
Wanadamu tuna limit ya kufikiri kuhusu mungu wewe uamini usiamini ila jua mungu yupo na ndiye aliyefanya wewe na mimi tuwepo
 
UkiTuliza akili yako vizuri utaona uwepo wake
 
Usipotoshe mada yangu. Ishu siyo uwepo au kutokuwepo kwake bali uumbaji tofauti wa Adam mwanangu.
Sasa wewe
Ukisoma vitabu vya ngano viitwavyo vitakatifu vinadai kuwa Mungu alimuumba Adam tokana na udongo. Ajabu ya maajabu na kujichanganya, vitabu hivyo hivyo, vinasema:
Mosi, Pili aliumbwa kwa kufinyanga udongo.

Pili, je Mungu tunayesema hafananishwi na chochote, ilikuwaje akaumba kiumbe/viumbe kwa mfano wake kama ni kweli?

Tatu, ilikuwaje akakosa udongo wa kutosha wa kuumbia Eva hadi 'achomoe' ubavu wa Adam?
Nne, je kwanini viumbe wengine wote waliumbwa kuwa kusema kuwa na wakawa isipokuwa ngurumbili?

Tano, je inakuwaje wadudu na wanyama majike hawakutoka kwenye mbavu za madume?

Sita, je tulipigwa changa la macho?
Kabla ha kujibu, jikumbushe amri kumi za "Mungu."
Ni amri gani ambayo hawa washenzi waliotuletea dini hawakkuvunja? Walisema tusiue, wakatuua na kutuuza utumwani, Walisema tuwapende majirani zetu wakaishia kutubagua na kutuchukia hadi leo, Walisema usiibe wakatuibia hadi leo wanapowatoza maskini wetu fedha kwa hadaa mbali mbali kama vile sadaka na zaka na mambo mengine, Walisema tusiseme uongo wakatuongopea kuwa kila kitu cheupe ni safi na cheusi kimelaaniwa, Walisema tusiwe na miungu wengi wakajigeuza miungu wao na mila zao.

Waliseme tusizini wakahalalisha uzinzi kwa njia ya ndoa za mitala na upuuzi mwingine. Walipomaliza kutuibia, wakatwambia tusitamani mali wala mke wa mwenzetu wakati wao waliendelea kuwabaka na kuwazini dada zetu.

Wanangu tusaidiane. Nauliza kuna ukweli humu au changa la mato?​
Yaani wewe unauliza hayo maswali kama nani sasa Mungu mwwnyewe aliamua kumuumba adamu vile anataka na kumtoa hawa ubavuni kwake ni vile yeye alitaka sasa wewe unahoji nini, maana yake huamini yaliyoandikwa kwenye vitabu au huamini kuwa mungu aliyafanya hayo.
 
Hoja yako ni nini? Uumbaji au relevance ya biblia, au credibility ya walioleta dini? Hujaeleweka.
 
Sasa wewe

Yaani wewe unauliza hayo maswali kama nani sasa Mungu mwwnyewe aliamua kumuumba adamu vile anataka na kumtoa hawa ubavuni kwake ni vile yeye alitaka sasa wewe unahoji nini, maana yake huamini yaliyoandikwa kwenye vitabu au huamini kuwa mungu aliyafanya hayo.
Acha uzwazwa. Kwani akili tulipewa tuzifanyie nini? Kwanini unaogopa kumhoji Mungu wakati tunaaminishwa anajua kila kitu?
 
Sasa wewe

Yaani wewe unauliza hayo maswali kama nani sasa Mungu mwwnyewe aliamua kumuumba adamu vile anataka na kumtoa hawa ubavuni kwake ni vile yeye alitaka sasa wewe unahoji nini, maana yake huamini yaliyoandikwa kwenye vitabu au huamini kuwa mungu aliyafanya hayo.
Aisee....!!
 
Nikuuliza wewe unayedai tumepewa akili, hizo akili alikupa nani
Nasema akili ni ya nini siyo kupewa unakong'ang'ania baada ya kuonyesha wazi unataka kujiingiza kwenye mjadala ambao huna uwezo nao mwanangu kubali tu.
 
Una uhakika yupo?

Maana huwezi ukapinga kitu ambacho hujui kama kipo au hakipo.

Na kama unajua kama kipo, kwanini uwe na Mashaka.
 
Wanadamu tuna limit ya kufikiri kuhusu mungu wewe uamini usiamini ila jua mungu yupo na ndiye aliyefanya wewe na mimi tuwepo
Ulijuaje Mungu yupo na unathibitishaje?

Au unafosi imani na mawazo yako uchwara uliyo pumbazwa na kuaminishwa na dini yako?
 
Back
Top Bottom