Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.Elewa kwanza Mungu sio kiumbe viumbe ni vile vilivyoumbwa na Mungu upeo mdogo
Mungu ni jina uchwara tu, mlilo jitungia vichwani mwenu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.Elewa kwanza Mungu sio kiumbe viumbe ni vile vilivyoumbwa na Mungu upeo mdogo
Ukiendeleza na hiyo logic na silogism ya auwepo unaweza lau kung'amua maswali yangu na kujaribu kuyajibu. Umethubutu. Kwa logic yako ni kwamba hata Mungu ana cause au siyo mwanangu?Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na "cause" , Hata cause ya kila kitu, lazima iwe na cause yake nyingine.
Pasiwepo kitu chochote kile kilicho jitokeza chenyewe pasipo cause, Maana kitazua maswali ya kiliwezaje ku exist chenyewe tu pasipo cause.
Na kama si lazima kwamba kila kitu kilichopo kina cause, Hata ulimwengu na vyote vilivyomo except man-made things Havina na havihitaji kuwa na cause.
Una elewa hilo?
Akili ni nini?Ungekuwa na akili japo kiduchu ungenielewa badala ya kutokwa na mapovu bila sababu ya msingi. Unatupotezea muda. Kama huwezi kujibu nyamaza wengine wajaribu. Haya ni maswali ya kifalsafa na siyo ya kifala mwanangu.
Mungu hayupo.Ukiendeleza na hiyo logic na silogism ya auwepo unaweza lau kung'amua maswali yangu na kujaribu kuyajibu. Umethubutu. Kwa logic yako ni kwamba hata Mungu ana cause au siyo mwanangu?
Utopolo mtupu. Una maana Israel ilipendelewa aka the chosen ones? Je Mungu ni mbaguzi? Alitoaje ardhi ya wenyewe kwa wengine? Kesho atamtoa mke/mumeo kwa mwingine nawe useme Amina siyo? Israel ni taifa lililoundwa na wakoloni ili kkuwadhulumu waarabu. Israel ni taifa la kijinai na kijambazi finish. Mafuta yakiisha mashariki ya kati na israel yako inakwisha. Simpo.Tora
Torati imeshukia ISRAEL na kusambaa Dunian kote NIKUULIZE ULISHAWAH KUTALIWA NA NETANYAHU achana na papa wale Wala sadaka hakuna chochote wanachopigania kwa MUNGU TUNAONGELEA TAIFA TEULE ISRAEL
we nani alikwambia hivo?Wanadamu tuna limit ya kufikiri kuhusu mungu wewe uamini usiamini ila jua mungu yupo na ndiye aliyefanya wewe na mimi tuwepo
Kwani kila kitu lazima uambiwe? Unapotafuta michepuko unaambiwa na nani mwanangu?we nani alikwambia hivo?
Maswali mazuri sana haya.Ukisoma vitabu vya ngano viitwavyo vitakatifu vinadai kuwa Mungu alimuumba Adam tokana na udongo. Ajabu ya maajabu na kujichanganya, vitabu hivyo hivyo, vinasema:
Mosi, Pili aliumbwa kwa kufinyanga udongo.
Pili, je Mungu tunayesema hafananishwi na chochote, ilikuwaje akaumba kiumbe/viumbe kwa mfano wake kama ni kweli?
Tatu, ilikuwaje akakosa udongo wa kutosha wa kuumbia Eva hadi 'achomoe' ubavu wa Adam?
Nne, je kwanini viumbe wengine wote waliumbwa kuwa kusema kuwa na wakawa isipokuwa ngurumbili?
Tano, je inakuwaje wadudu na wanyama majike hawakutoka kwenye mbavu za madume?
Sita, je tulipigwa changa la macho?
Kabla ha kujibu, jikumbushe amri kumi za "Mungu."
Ni amri gani ambayo hawa washenzi waliotuletea dini hawakkuvunja? Walisema tusiue, wakatuua na kutuuza utumwani, Walisema tuwapende majirani zetu wakaishia kutubagua na kutuchukia hadi leo, Walisema usiibe wakatuibia hadi leo wanapowatoza maskini wetu fedha kwa hadaa mbali mbali kama vile sadaka na zaka na mambo mengine, Walisema tusiseme uongo wakatuongopea kuwa kila kitu cheupe ni safi na cheusi kimelaaniwa, Walisema tusiwe na miungu wengi wakajigeuza miungu wao na mila zao.
Waliseme tusizini wakahalalisha uzinzi kwa njia ya ndoa za mitala na upuuzi mwingine. Walipomaliza kutuibia, wakatwambia tusitamani mali wala mke wa mwenzetu wakati wao waliendelea kuwabaka na kuwazini dada zetu.
Wanangu tusaidiane. Nauliza kuna ukweli humu au changa la mato?
Hizo aya unazotoa nshazisoma si mara moja. Mungu alisema tuumbe kwa mfano wetu wawe na uwezo wa kutawala kama sisi. Sijui hapo napo vipi mwanangu? Hili la wanyama kuumbwa kwa udongo umelipata wapi? Je na wa kike nao walitoka kwenye mbavu za madume? Kkumbuka wadudu na ndege pia.Maswali mazuri sana haya.
Kwanza ni kweli sisi tuna fanana na Umbo la Mungu. Lakini uwezo wetu uko chini, hivyo hawezi fananishwa na sisi.
Kwenye kuumbwa viumbe vingine. Wanyama na ndege pia waliumbwa kutokana na udongo. Soma mwanzo 1:24-25.
Lakini pia nimeona unahitaji darasa zuri la bible. Unaweza ukanifuata pm tukajifunza zaidi hasa siku za Ijumaa jioni. Karibun.
Hizo aya unazotoa nshazisoma si mara moja. Mungu alisema tuumbe kwa mfano wetu wawe na uwezo wa kutawala kama sisi. Sijui hapo napo vipi mwanangu? Hili la wanyama kuumbwa kwa udongo umelipata wapi? Je na wa kike nao walitoka kwenye mbavu za madume? Kkumbuka wadudu na ndege pia.
Naelimishwa nini wakati nshakwamba nimeishaisoma mara nyingi tu?Ukiwa unaelimishwa kasome tena. Mara ya kwanza unaweza ukasoma lakini usielewe. Kasome hizo Aya
Kwani walipokuja na hizo amri za 'Mungu' walitukuta tukifanya hayo wanayokataza? Mbona ni simpo logic kuwa utu maana yake ni kutofanya hayo yanayoitwa amri kuu za mungu. Hata mbwa wa kiafrika akiiba nyama au paka kuiba maziwa, humkimbia amfugaye kwa kujua ameiba. Mabeberu na majogoo hupigana hadi mengine kuawana wanapogundua kuwa wameziniana. So simpo mwanangu. Tumia hata japo common sense.Ujinga,maovu kuwa mengi akufanyi amri za Mungu kuwa batili .
MUNGU aliumba viumbe vote kwa matakwa yake, kuhoji uumbambaji wa Mungu ni dhambi mpya unayojitafutia!.
Kwa sababu huu uzi umekuwa biased kwenye bible sitojibu chochoteUkisoma vitabu vya ngano viitwavyo vitakatifu vinadai kuwa Mungu alimuumba Adam tokana na udongo. Ajabu ya maajabu na kujichanganya, vitabu hivyo hivyo, vinasema:
Mosi, Pili aliumbwa kwa kufinyanga udongo.
Pili, je Mungu tunayesema hafananishwi na chochote, ilikuwaje akaumba kiumbe/viumbe kwa mfano wake kama ni kweli?
Tatu, ilikuwaje akakosa udongo wa kutosha wa kuumbia Eva hadi 'achomoe' ubavu wa Adam?
Nne, je kwanini viumbe wengine wote waliumbwa kuwa kusema kuwa na wakawa isipokuwa ngurumbili?
Tano, je inakuwaje wadudu na wanyama majike hawakutoka kwenye mbavu za madume?
Sita, je tulipigwa changa la macho?
Kabla ha kujibu, jikumbushe amri kumi za "Mungu."
Ni amri gani ambayo hawa washenzi waliotuletea dini hawakkuvunja? Walisema tusiue, wakatuua na kutuuza utumwani, Walisema tuwapende majirani zetu wakaishia kutubagua na kutuchukia hadi leo, Walisema usiibe wakatuibia hadi leo wanapowatoza maskini wetu fedha kwa hadaa mbali mbali kama vile sadaka na zaka na mambo mengine, Walisema tusiseme uongo wakatuongopea kuwa kila kitu cheupe ni safi na cheusi kimelaaniwa, Walisema tusiwe na miungu wengi wakajigeuza miungu wao na mila zao.
Waliseme tusizini wakahalalisha uzinzi kwa njia ya ndoa za mitala na upuuzi mwingine. Walipomaliza kutuibia, wakatwambia tusitamani mali wala mke wa mwenzetu wakati wao waliendelea kuwabaka na kuwazini dada zetu.
Wanangu tusaidiane. Nauliza kuna ukweli humu au changa la mato?
Acha. Ulitaka uegemee wapi wakati hata quran inasema hayo hayo japo kishairi?Kwa sababu huu uzi umekuwa biased kwenye bible sitojibu chochote
Ni kweli mwanadamu aliumbwa kwa mikono ya MunguUkisoma vitabu vya ngano viitwavyo vitakatifu vinadai kuwa Mungu alimuumba Adam tokana na udongo. Ajabu ya maajabu na kujichanganya, vitabu hivyo hivyo, vinasema:
Mosi, Pili aliumbwa kwa kufinyanga udongo.
Uweza wa Mungu haufananishwi na chochote. Kumbuka ni yeye aliyeamua kumuumba mtu kwa mfano wake, na siyo mwanadamu aliyesema ama kutaka kuumbwa kwa mfano wa Mungu.Pili, je Mungu tunayesema hafananishwi na chochote, ilikuwaje akaumba kiumbe/viumbe kwa mfano wake kama ni kweli?
Hapo Mungu anadhihirisha ukuu wake kwa kuweka fumbo linalotusumbua mpaka leo. Roho Mtakatifu kwa rehema zake anaweza kutufumbulia hili pale tutakapohitaji na kumuomba kwa dhatiTatu, ilikuwaje akakosa udongo wa kutosha wa kuumbia Eva hadi 'achomoe' ubavu wa Adam?
Ukisoma kitabu ya Yohana Mtakatifu kwenye sura ya kwanza kisha ukarudi kwenye Mwanzo juu ya uumbaji utagundua kuwa muhtasari ukioandikwa kwenye uumbaji ni elimu kubwa sana imefichwa humo.Nne, je kwanini viumbe wengine wote waliumbwa kuwa kusema kuwa na wakawa isipokuwa ngurumbili?
Nimekujibu hapo juuTano, je inakuwaje wadudu na wanyama majike hawakutoka kwenye mbavu za madume?
Hapana hatujapigwa changa la macho.Sita, je tulipigwa changa la macho?
Kwenye hii segment.Kabla ha kujibu, jikumbushe amri kumi za "Mungu."
Ni amri gani ambayo hawa washenzi waliotuletea dini hawakkuvunja? Walisema tusiue, wakatuua na kutuuza utumwani, Walisema tuwapende majirani zetu wakaishia kutubagua na kutuchukia hadi leo, Walisema usiibe wakatuibia hadi leo wanapowatoza maskini wetu fedha kwa hadaa mbali mbali kama vile sadaka na zaka na mambo mengine, Walisema tusiseme uongo wakatuongopea kuwa kila kitu cheupe ni safi na cheusi kimelaaniwa, Walisema tusiwe na miungu wengi wakajigeuza miungu wao na mila zao.
Waliseme tusizini wakahalalisha uzinzi kwa njia ya ndoa za mitala na upuuzi mwingine. Walipomaliza kutuibia, wakatwambia tusitamani mali wala mke wa mwenzetu wakati wao waliendelea kuwabaka na kuwazini dada zetu.
Wanangu tusaidiane. Nauliza kuna ukweli humu au changa la mato?
Mbona hili liko wazi? Nisingekuwa na akili tena nzuri na timamu ungepoteza muda kusoma mawazo yangu? So simpo mwanangu.Akili ni nini?
Unaweza kuthibitisha kwamba una akili?
Tatizo umechanganya swali na hisia zako ni kama vile ushajiandalia majibu tayari. Kwa kukusaidia kila kiumbe kina daraja lake na mwisho wa kufikiri. Hakuna siku mbwa au punda atafikiri kama binadamu au binadamu atafikir kama Mungu. Na dini ya kikristo ilikuwepo africa kabla ya ulaya na kingine ni kuwa hata wakristo WA leo japo wanaongea habar za kuwa na upenda na wakweli lakin hawakosekani wabaya maana kuna watu ni blood line ya giza so ile adhabu ipo kwaajili yao.Ukisoma vitabu vya ngano viitwavyo vitakatifu vinadai kuwa Mungu alimuumba Adam tokana na udongo. Ajabu ya maajabu na kujichanganya, vitabu hivyo hivyo, vinasema: