Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 3,278
- 6,843
Ungeanza na baba yako ilikuwaje akamchagua mkewe ambaye ni mama yako mpaka ukatokea wewe, je asingemchagua ungepatikana vipi? hili lingekuwa vyema kuliko kumparamia mfalme wa mbingu na ardhi huko maji ni marefu na matendo yake hayapimwi kwa akili.Kwani wewe unajua wako? Hapa ishu siyo mwisho wangu wala wako bali namna ya uumbaji. Ni simpo hivo mwanangu.
Torati imeshukia ISRAEL na kusambaa Dunian kote NIKUULIZE ULISHAWAH KUTALIWA NA NETANYAHU achana na papa wale Wala sadaka hakuna chochote wanachopigania kwa MUNGU TUNAONGELEA TAIFA TEULE ISRAELUkisoma vitabu vya ngano viitwavyo vitakatifu vinadai kuwa Mungu alimuumba Adam tokana na udongo. Ajabu ya maajabu na kujichanganya, vitabu hivyo hivyo, vinasema:
Mosi, Pili aliumbwa kwa kufinyanga udongo.
Pili, je Mungu tunayesema hafananishwi na chochote, ilikuwaje akaumba kiumbe/viumbe kwa mfano wake kama ni kweli?
Tatu, ilikuwaje akakosa udongo wa kutosha wa kuumbia Eva hadi 'achomoe' ubavu wa Adam?
Nne, je kwanini viumbe wengine wote waliumbwa kuwa kusema kuwa na wakawa isipokuwa ngurumbili?
Tano, je inakuwaje wadudu na wanyama majike hawakutoka kwenye mbavu za madume?
Sita, je tulipigwa changa la macho?
Kabla ha kujibu, jikumbushe amri kumi za "Mungu."
Ni amri gani ambayo hawa washenzi waliotuletea dini hawakkuvunja? Walisema tusiue, wakatuua na kutuuza utumwani, Walisema tuwapende majirani zetu wakaishia kutubagua na kutuchukia hadi leo, Walisema usiibe wakatuibia hadi leo wanapowatoza maskini wetu fedha kwa hadaa mbali mbali kama vile sadaka na zaka na mambo mengine, Walisema tusiseme uongo wakatuongopea kuwa kila kitu cheupe ni safi na cheusi kimelaaniwa, Walisema tusiwe na miungu wengi wakajigeuza miungu wao na mila zao.
Waliseme tusizini wakahalalisha uzinzi kwa njia ya ndoa za mitala na upuuzi mwingine. Walipomaliza kutuibia, wakatwambia tusitamani mali wala mke wa mwenzetu wakati wao waliendelea kuwabaka na kuwazini dada zetu.
Wanangu tusaidiane. Nauliza kuna ukweli humu au changa la mato?
Hakuna Mungu yeyote yule aliye umba kitu chochote kile.Mkuu Father of All umeamua kwa dhati kumchallenge aliyekuumba, unaujua mwisho wake?.
Akili ulipewa na nani?Acha uzwazwa. Kwani akili tulipewa tuzifanyie nini? Kwanini unaogopa kumhoji Mungu wakati tunaaminishwa anajua kila kitu?
Asingemchagua mkewe, Angechagua mke mwingine.Ungeanza na baba yako ilikuwaje akamchagua mkewe ambaye ni mama yako mpaka ukatokea wewe, je asingemchagua ungepatikana vipi?
Hakuna mfalme wa mbingu na ardhi.hili lingekuwa vyema kuliko kumparamia mfalme wa mbingu na ardhi huko maji ni marefu na matendo yake hayapimwi kwa akili.
Hakuna neno siwezi kupoteza muda wangu kujadili suala ambalo ukiamini ni sawa usipoamini pia ni sawa, miadi yetu ni siku ya kufa hapo utaelewa kila kitu.Hakuna Mungu yeyote yule aliye umba kitu chochote kile.
Mungu mmemtunga vichwani mwenu tu na wala huwezi kuthibitisha uwepo wake.
Hakuna Mungu na wala hajawahi kuwepo.
Sawa.Asingemchagua mkewe, Angechagua mke mwingine.
Haikuwa lazima kwamba mkewe ndiye Lazima achaguliwe.
Hakuna mfalme wa mbingu na ardhi.
Huyo mfalme hayupo.
Hakuna aliyetoa akili.Akili ulipewa na nani?
Common sense tu, Kuna dunia,kuna mbingu,ardhi, maji, kuna viumbe ndani yake, miti na vingi vilivyomo kwa mpangilio maalum na vinategemeana wewe mjuzi wa mambo nipe cause yake hivi vyote ni nini?Ulijuaje Mungu yupo na unathibitishaje?
Au unafosi imani na mawazo yako uchwara uliyo pumbazwa na kuaminishwa na dini yako?
Hakuna taifa teule hapa duniani.Tora
Torati imeshukia ISRAEL na kusambaa Dunian kote NIKUULIZE ULISHAWAH KUTALIWA NA NETANYAHU achana na papa wale Wala sadaka hakuna chochote wanachopigania kwa MUNGU TUNAONGELEA TAIFA TEULE ISRAEL
MUNGU YUPOWanadamu tuna limit ya kufikiri kuhusu mungu wewe uamini usiamini ila jua mungu yupo na ndiye aliyefanya wewe na mimi tuwepo
Yeye kasema alipewa akili! Mwache aseme mwenyewe hizo akili anazodai kapewa alipewa na nani?Hakuna aliyetoa akili.
Ukianza kufosi kwamba akili imetolewa na kiumbe fulani, Hata hicho kiumbe kilichotoa akili lazima kiwe kimetolewa na kiumbe kingine.
Elewa kwanza Mungu sio kiumbe viumbe ni vile vilivyoumbwa na Mungu upeo mdogoHakuna aliyetoa akili.
Ukianza kufosi kwamba akili imetolewa na kiumbe fulani, Hata hicho kiumbe kilichotoa akili lazima kiwe kimetolewa na kiumbe kingine.
Nijibu nini wakati anajitahidi kukwepa mjadala?
Hilo mbona liko wazi?Elewa kwanza Mungu sio kiumbe viumbe ni vile vilivyoumbwa na Mungu upeo mdogo
Hujajibu swali bali unakwepa maswali ya msingi. Please, jielekeze kwenye maswali ya msingi mwanangu.Hakuna neno siwezi kupoteza muda wangu kujadili suala ambalo ukiamini ni sawa usipoamini pia ni sawa, miadi yetu ni siku ya kufa hapo utaelewa kila kitu.
Kukusaidia toka usiku wa manane kisha itizame mbingu kwa utulivu mkubwa halafu tafakari ilivyojengwa kwa umadhubuti uliotukuka, kisha pitisha kauli kuwa ni monitor wako wa shule ya msingi ndiye aliyeumba hiyo mbingu, i challenge you.
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na "cause" , Hata cause ya kila kitu, lazima iwe na cause yake nyingine.Common sense tu, Kuna dunia,kuna mbingu,ardhi, maji, kuna viumbe ndani yake, miti na vingi vilivyomo kwa mpangilio maalum na vinategemeana wewe mjuzi wa mambo nipe cause yake hivi vyote ni nini?
Spot on mwanangu. Waambie. Huenda watatoka kwenye usingizi wa pono wa dini na imani.Hakuna taifa teule hapa duniani.
Mnapumbazwa na kukaribishwa Matango pori na hizo dini zenu kwamba Israel ndio taifa la Mungu. Kumbe ni ujinga tu.
Hakuna Mungu, Hakuna taifa teule.
Ungekuwa na akili japo kiduchu ungenielewa badala ya kutokwa na mapovu bila sababu ya msingi. Unatupotezea muda. Kama huwezi kujibu nyamaza wengine wajaribu. Haya ni maswali ya kifalsafa na siyo ya kifala mwanangu.Hakuna aliyetoa akili.
Ukianza kufosi kwamba akili imetolewa na kiumbe fulani, Hata hicho kiumbe kilichotoa akili lazima kiwe kimetolewa na kiumbe kingine.