Kwanini "Mungu" aliumba vitu vyote kwa kusema viwe na vikawa isipokuwa binadamu toka kwenye udongo kama ni kweli?

Nachojua Mungu wa sasa ni kijana na yupo smart haswa
 
Wewe ndo umekoroga kabisa. Eti ukristo ulikuwapo Afrika kabla ya kwenda ulaya! Kivipi wakati wazungu ndiyo waliouanzisha na kuuleta huo ukristo wako wa kwenye ngano za kusadikika? Hili hata kuku analijua achia mbali binadamu.
 
Uwezo mdogo tu wa kufikiri, hata kama angefabya hivyo bado tu wengine wangeuliza kwanini akufanya hivi katika uumbaji.
Hata maisha ya kawaida tu. Rais akifabya hivi utasikia kwaninu asingefanya vile.

Mungu kufanya hivyo kwa nyakati zake aliona inafaa
 
Sijui kama unajua unachosema hapa. Anyways, kila mtu ana haki ya kuwaza na kufikiri.
 
Acha. Ulitaka uegemee wapi wakati hata quran inasema hayo hayo japo kishairi?
amri kumi zipo wapi kwenye quran? Unaweza kuweka angalau aya moja inayoonesha hizo amri kumi?

correction:
quran si ushairi kama ni ushairi ingeshaweka wazi yenyewe , na kama utabisha basi njoo na dalili kutoka kwenye quran
 
amri kumi zipo wapi kwenye quran? Unaweza kuweka angalau aya moja inayoonesha hizo amri kumi?

correction:
quran si ushairi kama ni ushairi ingeshaweka wazi yenyewe , na kama utabisha basi njoo na dalili kutoka kwenye quran
Nkunyofolea amri ya kwanza inayosema usiwe na Mungu yeyote isipokuwa mimi japo Quran imeweka Allah au yeye badala ya Mimi. Ni surat Surat al-Baqarah 2:163 na Ali Imran 3:64. Usiue, soma surat al-An’am 6:151-153.
 
Nkunyofolea amri ya kwanza inayosema usiwe na Mungu yeyote isipokuwa mimi japo Quran imeweka Allah au yeye badala ya Mimi. Ni surat Surat al-Baqarah 2:163 na Ali Imran 3:64. Usiue, soma surat al-An’am 6:151-153.
swali langu nililokuuliza ni very specific and very clear using a language you perfectly understood ntarudia tena .

Amri kumi zipo wapi kwenye quran? Unaweza kuweka angalau aya moja inayoonesha hizo amri kumi?
 
swali langu nililokuuliza ni very specific and very clear using a language you perfectly understood ntarudia tena .

Amri kumi zipo wapi kwenye quran? Unaweza kuweka angalau aya moja inayoonesha hizo amri kumi?
Why aren't you able to comprehend a very simple thing? Nimekupa aya za kusoma. Umetaka aya nimekupa. Sasa kama hutaki au unashindwa kuzielewa au kuzikwepa, unataka mimi nikusaidieje mwanangu? Amri kumi ziko kwenye torati ya Musa ambayo Mohamed alidukua na kuitumia akidai 'imeteremshwa' toka mbinguni wakati ni ngano za wayahudi, ambazo zinapatikana kwenye biblia agano la kale au taurati mwanangu. Just as simple as that.
 

1. Hauna ushahidi wa kihistoria au wa kimaandiko kwamba alidukua kama unao weka hapa tupitie and by "weka" namaanisha real solid evidence, unimbiguous proofs.

2. Swali langu lilikuwa rahisi ni kitendo cha kuchukua tu aya na kuiweka hapa au sura na kuiweka hapa inayoelezea hizo amri kumi very easy versy simpls sjajua kwanini unazunguuuuuuka .

3. Stick to the point.
 
Mwanangu grand milenial mbona kila kitu kiko wazi? Ni kitu gani kipya kurani imeleta ambacho biblia haina zaidi ya kuongeza utume wa mohamed? Uumbaji wote wa watu kwenye vitabu viwili unaanza na Adam na Hawa na kufuatiwa na mayahudi Ibrahim na wengine. Wakati biblia ikimkana mohamed, yeye, kwa vile amedukua toka kwake, anamkiri yesu. Unashindwaje kuona vitu rahisi kama hivi? Kwanini jerusalem iwe sehemu takatifu ya waislam wakati makka siyo kwa wakristo na wayahudi? So simple like that. mwanangu. Hapa hata bila kwenda kwenye historia na stories, common sense inaweza kukuwezesha kuona mashiko na ninachosema mwanangu. Nadhani lau umepata nyenzo ya kukusaidia kuelewa masuala na maswali niliyoanzisha.
 

napoulizwa swali na kuhitajika kutoa ushahidi dhidi ya mada uliyoanzisha kikawaida hautakiwi kuleta maneno meeengi ambayo hayagusi key factors mbili

1. Reference 2. Unambiguous proof

Na kinachofanya watu wengi washindwe kutetea hoja zao ni kuingiza stori nyingi na kuacha kujibu swali husika anyways maswali yameongezeka.

1. Amri kumi zipo wapi kwenye quran? Unaweza kuweka angalau aya moja inayoonesha hizo amri kumi?

2. unaweza kuleta ushahidi kutoka kwenye biblia kwamba inamkana mtume muhammad (peace be upon him)? Angalau mstari mmoja pekee ambao hauna utata ( unambiguous verse)

labda nikupe elimu kidogo hakuna sehemu yoyote kwenye quran au hadith inayosema "JERUSALEM SEHEMU TAKATIFU KWA WAISLAMU" this is also an open challenge niletetee aya moja pekee au hadith moja pekee inayothibitisha kwamba jerusalem ni sehemu takatifu kwa waislamu .
 
Wewe ndo umekoroga kabisa. Eti ukristo ulikuwapo Afrika kabla ya kwenda ulaya! Kivipi wakati wazungu ndiyo waliouanzisha na kuuleta huo ukristo wako wa kwenye ngano za kusadikika? Hili hata kuku analijua achia mbali binadamu.
Ulishawahi kufika Ethiopia mzee ukaenda makanisa ya zamani ya coptic au Misri. Jitahd member muncher kulishwa tu bila kuchakata. Cjui kwanini waafrika tumelala hiv
 
Ulishawahi kufika Ethiopia mzee ukaenda makanisa ya zamani ya coptic au Misri. Jitahd member muncher kulishwa tu bila kuchakata. Cjui kwanini waafrika tumelala hiv
Bado hii haifanyi ukristo kuanzia Afrika
Mnasumbuliwa na inferiority complexity
 
Wow! Kwani Mohamed aliendea mbinguni tokea wapi mwanangu? Je msikiti wa pili kwa utukufu uko wapi?
 
Ni wazi wewe huaminiMungu. Sasa maswali yote haya ya nini? Kaa na u-atheist wako usisumbue watu
 
😂😅 Maswali yako yamesimama!
Wazungu kutuletea dini, kumbuka kwamba wazungu nao walikua wapagani(wanaoabudu miungu kama waafrica tuh) amri kumi za Mungu na mafundisho ya Biblia yalikuepo kabla ya utawala wao ambao sanasana ulianza mwaka wa 60Bc wakati dola ya Roma ilianza kutawala dunia ikiwashinda wagirki.

Wazungu sio kweli kwamba walituletea miungu yao hapana, wao walijifunza mafundisho yakweli ya Biblia toka kwa wakristo wa karne ya kwanza, kipindi cha Yesu na Mitume, walichofanya Waroma waliua sana wakristo wa kipindi hicho wakachukua Biblia na kuchanganya na tamaduni zao za kipagani wakafanya kua dini moja kubwa ya kiroma. Wakaanza kuisambaza kote duniani ili tamaduni zao zifuatwe kote duniani kwa kua walikua tayari wanapesa yakutosha kufanya kila kitu...
Ko upotoshaji mkubwa wa mafundisho ya Biblia ulianzia hapo kimbindi cha The Roman empire, wakati wamishonali wanakuja kwa kivuli cha kusema wanaleta dini lakini ukweli ni kwamba walikua wanasambaza na kuikuza Dola yao ya kiroma.
Yani wamishonari haohao wakawa wanahusika na kuuwa watu na kuuza watu utumwani.

NB: Amri kumi za Mungu na mafundisho mengine ya Biblia chanzo sio wazungu, wazungu wamezikuta wakazipotosha ili ziendane na imani zao zakipagani afu wakasambaza ulimwenguni.
Biblia kwakua imetungwa na Mungu mwenyewe inakua inawaumbua, inasema ukweli mwingi ambao wao wameuficha ili wengi wasinjue Mungu kiundani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…