Dam55
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,641
- 11,958
Ni swali ambalo nimejiuliza sana kwa wajuvi na wenye Elimu basi mnisaidie majibu tafadhali.
Tukisoma maandiko tunaona kuwa Adam aliumbwa kwa mavumbi ya nchi ila ilipokuja kesi ya kuumbwa mwanamke HAWA/EVA mambo yakawa tofauti.
Mungu akampa Adam usingizi mzito kisha akatoa nyama ubavuni pa Adam kisha akamfanya mwanamke.
Kwaninj Mungu hakuchukua mavumbi kama alivyofanya mwanzo na kumuumba mwanamke?
Kulikuwa na nini cha ziada alichokifuata kwenye ubavu wa Adam?
Je, ni kweli Adam hakuwa mwanaume bali ni kiumbe kilichokamilika Chenye jinsia mbili kisha Mungu akaona ni vema kuzitenganisha?
Kwenu wajuvi wa mambo tusaidiane majibu tafadhali.