FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Jiuliza kwanini mwanaume ana chromosome zote mbili za jinsia za ‘X’ na ‘Y’, ila mwanamke anayo moja tu ya ‘X’
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitajie jina moja la malaika mwenye jinsia ya kike..
KUNA MWANAMKE ALIKUWEPO KABLA YA EVA!!
Biblia haijasema. Ni mawazo na dhahania za watuMwanamke Lilith
Hawa ni malaika? According to kifungu kipi dada?Mwanamke Hawa ni malaika
Jinsia imetolewa kwa Adam
Siiamini theory hiyo. Nisome, bofya chini hapo👇🏾Ni swali ambalo nimejiuliza sana kwa wajuvi na wenye Elimu basi mnisaidie majibu tafadhali.
Tukisoma maandiko tunaona kuwa Adam aliumbwa kwa mavumbi ya nchi ila ilipokuja kesi ya kuumbwa mwanamke HAWA/EVA mambo yakawa tofauti.
Mungu akampa Adam usingizi mzito kisha akatoa nyama ubavuni pa Adam kisha akamfanya mwanamke.
Kwaninj Mungu hakuchukua mavumbi kama alivyofanya mwanzo na kumuumba mwanamke?
Kulikuwa na nini cha ziada alichokifuata kwenye ubavu wa Adam?
Je, ni kweli Adam hakuwa mwanaume bali ni kiumbe kilichokamilika Chenye jinsia mbili kisha Mungu akaona ni vema kuzitenganisha?
Kwenu wajuvi wa mambo tusaidiane majibu tafadhali.
MUNGU aliumba mtu mke na mume, how and where, He did that happen, it is not your business, because He is beyond our imagination and thinking capacity [emoji91][emoji137][emoji137]Ni swali ambalo nimejiuliza sana kwa wajuvi na wenye Elimu basi mnisaidie majibu tafadhali.
Tukisoma maandiko tunaona kuwa Adam aliumbwa kwa mavumbi ya nchi ila ilipokuja kesi ya kuumbwa mwanamke HAWA/EVA mambo yakawa tofauti.
Mungu akampa Adam usingizi mzito kisha akatoa nyama ubavuni pa Adam kisha akamfanya mwanamke.
Kwaninj Mungu hakuchukua mavumbi kama alivyofanya mwanzo na kumuumba mwanamke?
Kulikuwa na nini cha ziada alichokifuata kwenye ubavu wa Adam?
Je, ni kweli Adam hakuwa mwanaume bali ni kiumbe kilichokamilika Chenye jinsia mbili kisha Mungu akaona ni vema kuzitenganisha?
Kwenu wajuvi wa mambo tusaidiane majibu tafadhali.
Nimeuliza wenye Elimu ya mambo ya dini.Kama seriously unajiuliza hili swali, yaani kwa dhati kabisa kutoka moyoni na una kiu ya maarifa na usingependa kuonekana mjinga
Jibu langu ni moja kuna nadharia zilizobebwa na tafiti za kisayansi, data, facts na ushahidi unaonekana kwa macho zinazoelezea chimbuko la Binadamu. Kasome hizo
Hio ya Adam na Hawa sio nadharia, ni hadithi ya zamani (Fiction) ya wagiriki ilikuja kusimuliwa kwa maneno mengine na wayahudi wakiongeza original twist yao, baadae waarabu wakaibeba kama ilivyo kwenye hadithi zao, ikaletwa kwetu kwa meli
Hata sisi tulikua na za kwetu pia.
Wewe ndio umenielewa vibaya, mimi sijampangia Mungu chakufanya, mimi nimeuliza juu ya siri iliyopo kwenye huo uumbaji kwa mwenye elimu atujuze.Wabongo Kwa kupangia wenzenu vya kufanya mpo vyema,ila ndio hadi Mungu?Mbona wewe hukupangiwa utumie Akili wakati unatoa hili bandiko?🤔😁
[emoji23][emoji23]Alikuwa ameshanawa mikono sasa wewe ulitaka ashinde kutwa nzima anachezea matope?
Umejibu vizuriIts simple braza, alitaka kumuonesha adam kuwa anaekuja ni sehemu yako, kwa hio ni wewe muheshimu kama unavyojuchukulia.
Pia, alitaka kumuonesha eva kuwa yeye bila adam asingekuwa hapo, kwa hio amtii.
Baada ya Mungu kumaliza kazi ya uumbaji, alimpa Adamu mamlaka yote juu ya uumbaji Wake. Kuanzia hapo, hakuna kitu Mungu alichofanya duniani bila kumhusisha mwanadamu.Ni swali ambalo nimejiuliza sana kwa wajuvi na wenye Elimu basi mnisaidie majibu tafadhali.
Tukisoma maandiko tunaona kuwa Adam aliumbwa kwa mavumbi ya nchi ila ilipokuja kesi ya kuumbwa mwanamke HAWA/EVA mambo yakawa tofauti.
Mungu akampa Adam usingizi mzito kisha akatoa nyama ubavuni pa Adam kisha akamfanya mwanamke.
Kwaninj Mungu hakuchukua mavumbi kama alivyofanya mwanzo na kumuumba mwanamke?
Kulikuwa na nini cha ziada alichokifuata kwenye ubavu wa Adam?
Je, ni kweli Adam hakuwa mwanaume bali ni kiumbe kilichokamilika Chenye jinsia mbili kisha Mungu akaona ni vema kuzitenganisha?
Kwenu wajuvi wa mambo tusaidiane majibu tafadhali.
Ila shetani sometimes apewe maua yake. Ndo kiumbe wa kwanza kuvunja bikra ya kwanza. Adam lilikuwa lipolipo tu sijui alikuwa anaugua presha na kisukari.Ni swali ambalo nimejiuliza sana kwa wajuvi na wenye Elimu basi mnisaidie majibu tafadhali.
Tukisoma maandiko tunaona kuwa Adam aliumbwa kwa mavumbi ya nchi ila ilipokuja kesi ya kuumbwa mwanamke HAWA/EVA mambo yakawa tofauti.
Mungu akampa Adam usingizi mzito kisha akatoa nyama ubavuni pa Adam kisha akamfanya mwanamke.
Kwaninj Mungu hakuchukua mavumbi kama alivyofanya mwanzo na kumuumba mwanamke?
Kulikuwa na nini cha ziada alichokifuata kwenye ubavu wa Adam?
Je, ni kweli Adam hakuwa mwanaume bali ni kiumbe kilichokamilika Chenye jinsia mbili kisha Mungu akaona ni vema kuzitenganisha?
Kwenu wajuvi wa mambo tusaidiane majibu tafadhali.
Truphena al ThaniNitajie jina moja la malaika mwenye jinsia ya kike..
DuhTruphena al Thani
Swali lako linafikirisha kwa wenye interest ya uumbaji.Ni swali ambalo nimejiuliza sana kwa wajuvi na wenye Elimu basi mnisaidie majibu tafadhali.