Kwanini Mungu hakufinyanga mavumbi ya nchi kuumba mwanamke badala yake akachukua nyama toka kwa Adam?

Utakuta baba wa familia kabisa anakaa anaamini hizi hadithi!
 
Swali ni gumu, tuendelee kutafiti. Kwa mahesabu ya uumbaji ktk Biblia uzao wa Adamu ni miaka 7,000 iliyopita hali kuwa leo kuna ugunduzi wa mafuvu yenye zaidi ya umri huo. Inawezekanaje haya?
 
Kama hiyo adithi ni kweli basi huyo Mungu (Israel) ndiye aliyeanzisha kunyanyapaa wanawake. Alishindwaje kuwaumba kwa wakati mmoja? Inatosha kutoa uamuzi kuwa dini ni kwa ajili ya wale wenye uwezo mdogo wa kufikiri. Inakuwaje unakubali hadithi kama hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…