Kwanini Mungu hakumuumba mwanaume akiwa ametahiriwa?

Umevuka mataa bila kuruhusiwa
 
Swala la afya..
🙏🙌👏😂
 

Hamna makosa hapo, ni uamuzi tu kwani ni mambo madogo sana hayo kwa Mungu
Kuna vingi tu ameviachia, mfano; tunaendelea kukata Kucha, tunanyoa Nywele, tunakwenda haja, period nk Angetaka angeweza kufanya vyovyote vile ila akaviachia tu....
 
Mkuu ndiyo maana mafundisho ya madhehebu yanakataza kuhoji hoji sana uumbaji wa M/Mungu, kumbe walikuwa na maana!

Mkuu pamoja na usomi wako wote huo, haujui maana na kazi ya govi kwenye uume?, ngashangaa!

Elewa kuwa wewe uliyetahiriwa na yule mwenye govi, ule utamu (msisimko)anaoambulia kwenye tendo, yeye anafaidi zaidi kuliko wewe mjando ambaye ulishaota sugu.

Hilo la kwanza, la pili ni kwamba, binadamu nimnyama, aliumbwa uchi, hizi nguo ni teknolojia tu.

Kwa hiyo govi nia 'ala' ya kuhifadhia hiyo sehemu nyeti ili isiweze athiriwa na changamoto za kimazingira.

Kwanini haujiulizi kucha, zamkononi utasema za kujikunia, je za miguuni ni za nini, ndevu, mavuzi na manyoya ya mwilini ni ya nini.

Binadamu ni mnyama kama walivyo wanyama pori wengine
 
Nasikia alipomuumba Adam alimtahiri

Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
 
Kusema Mungu alisahau umeshakufuru unatakiwa kutubu vinginevyo utateseka sana
 
Si kweli kwamba Mungu yupo.

Ila ni kweli imani ya kwamba Mungu yupo ipo.

Kama maelezo yangu ni batili, thibitisha uwepo wa Mungu huyo.

Nlitaka nkwamie tu kwamba bado Hujamjibu alichouliza.

Swali lake linajieleza vzuri.

Waweza mjibu swali lake maana hata mimi nasubiri majibu ya alichokiuliza.
 
 
You as a father in your family, you will be happy to see every member of the family be free doing whatever they want but not going against the law you put forward as the guidance for the family.

You are not a dictator that you scrutinize the members of the family to do what you want and not decide upon their will. Moreover, you will be happy to see people with free minds follow your guidance rather than these people could be exploited, which is the dictatorship.

God gave us a free will to act upon him. He outlined the rules as the guidance to put us in right way while living in the Earth. Bleach of these rules results into confusion, and the effects of which are adverse outcomes, e.g. fighting, killings, misunderstandings, etc.

As you wouldn't like to lead the imbecile family, so the God. You would prefer every member to be free and decide doing things at their own discretion but not going contrary your will, snd this is your worth.
 
Why did God create a world in which disease is possible, while he could have created a world in which disease is not possible?

This is the central question, which you have not answered.

I am not against God creating a world with his rules, and God wanting us to live by certain rules.

I am just questioning, why are the rules like this? Why do the rules contradict the very existence of that God?

We are told that God is all loving, all capable and all knowing.

Fine.

Then, if so, why did God create a world in which disease is possible, instead of creating a world in which disease is not possible?

The free will answer does not apply here, because a disease free world does not prevent free will.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…