Kwanini Mungu hakumuumba mwanaume akiwa ametahiriwa?

Fatilia historia ya tohara
Ilianzia israel na nia yake ilikuwa ni kuwatofautisha wana wa israel na wa ulimwengu mzima ilikuwa ni mfano wa nduwi
(ni agano kati ya wana wa israel na Mungu)
Kwamba wamaasai, wakurya , na makabila mengine ya kiafrica na wao tohara waliisoma na kuiga kutoka kwa hao wana wa Israel??
 
Upande wa Wanawake kwanini mungu hakuwaumba wakiwa tayari wamesha keketwa!!
 
Hamna makosa hapo, ni uamuzi tu kwani ni mambo madogo sana hayo kwa Mungu
Kuna vingi tu ameviachia, mfano; tunaendelea kukata Kucha, tunanyoa Nywele, tunakwenda haja, period nk Angetaka angeweza kufanya vyovyote vile ila akaviachia tu....
Hiyo havihusiani maana unavyokua navyo vinakua.
Govi aliumba ukazaliwa nalo alafu kwenye vitabu vyake anasema ni najisi ukiwa nalo. Sasa kwa nini akuumbe na kitu ambacho uwezo wa kjrekebosha huku huko anao alfu aje kukanusha tena
 
Sawa ila kqa nini aumbe alafu vitabu akanushe alichounba
 
Uzidi kubarikiwa
 
Upande wa Wanawake kwanini mungu hakuwaumba wakiwa tayari wamesha keketwa!!
Hiyo haina mashiko.
Hoja hapa aliumba mwanaume akiwa na govi alafu akaja kukanusha kwenye vitabu kuwa kuwa nalo ni najisi.
Sasa kama alikua anajua hivyo si angeumba alitoe kabisa mtu akizaliwa awe safi?
 
kumbe huwa anachoka kiasi cha kupumzika?
 
Kwa logic hiyo, vipi kuhusu fenesi?

Mungu huyo hayupo katika uhalisia.

Kwasababu Sheria za science zipo.
Ulimwengu utaendelea kujiumba kutoka kwenye kutokuwepo.

Hakuna haja ya kuwepo kwa muumbaji
 
Point [emoji4]
 
Ahahahahah tako moja tenaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…