kila wakati anapokuja huwa ankuta umevuta bangi au umelewa au uko bize unazini, ndiyo sababu hata akija huwa hujui kuwa amekuja. Washua tunakutana naye na tuko naye kila wakati na anatutatulia shida zetu.Habarin guys,
Najiuliza ikiwa Rais ama viongozi wa duniani wanakuwa wanamuda wa kupitia kero za wananchi na hata kuongea nao na kuangalia sheria ambazo zimepitwa na wakati ila mungu hana huo muda kabisa.
Hii inadhihirisha binadamu ni werevu kuliko Mungu? Kama Mungu hana ratiba ya kuja hata baada ya miezi 6 au kila mwaka duniani anajuaje kero zetu?
Binadamu tumekuwa watu wa kubadilisha mambo kufanya maboresho ya changamoto za hapa duniani ila Mungu hana muda kabisa yeye amekaa kwenye kiti cha enzi anasubiri kuja kutuchoma hii ni wazi kuwa huyu jamaa hayupo kabisa mzazi unakosaje muda wa kuongea na watoto wako
Mbona kila siku Naongea naye!!Habarin guys,

Wewe una ratiba ya kuongea na kuku wako?
Kumbukeni kiti Cha Mungu kipo mbinguni miguu yake ipo Duniani. Yaani akikaa mbinguni miguu yake Iko Duniani. Hii Dunia imekanyagwa na miguu yake.
Mbinguni ni juu yaliyopo makao ya Mungu na pia ni makao ya muda ya watakatifuMbinguni ni wapi Mkuu?
Yaan wewe utakua utingo wa Air force one sio daladala.kila wakati anapokuja huwa ankuta umevuta bangi au umelewa au uko bize unazini, ndiyo sababu hata akija huwa hujui kuwa amekuja. Washua tunakutana naye na tuko naye kila wakati na anatutatulia shida zetu.
Habarin guys,