Pac-Man
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 465
- 739
Kitabu cha ayubu wana wa Mungu walipojihudhurisha mbele zake na shetani nae alikuwa katikati yao. Akamuuliza umetoka wapi? Akasema kuzungukazunguka huko duniani. Ndio wakaanza kumdiscuss ayubu kisha akaanza kujaribiwa.
Je angekuwa hana Upendo usio Bagua au kupimika angeanzia wapi kuongea na muasi. Mwaribifu mwovu..? Msaliti na mkufuru??
Tumeambiwa tupende adui zetu kumpenda adui kuna maana gani ya kuwa tena adui ukishampenda adui si anakuwa rafiki