Kwanini Mungu hana ratiba ya kuja kuongea na binadamu hapa duniani?


Tumeambiwa tupende adui zetu kumpenda adui kuna maana gani ya kuwa tena adui ukishampenda adui si anakuwa rafiki
 

Mimi nachujua
Hapo mwanzo kulikuwako neno
Naye neno alikuwako kwa Mungu
Naye NENO ALIKUWA MUNGU na vyote vilifanyika kwa HUYO
Fungua akili yako kuielewa hii
 
Mimi nachujua
Hapo mwanzo kulikuwako neno
Naye neno alikuwako kwa Mungu
Naye NENO ALIKUWA MUNGU na vyote vilifanyika kwa HUYO
Fungua akili yako kuielewa hii

Ukipokea neno umempokea
Badilikeni
 
Tumeambiwa tupende adui zetu kumpenda adui kuna maana gani ya kuwa tena adui ukishampenda adui si anakuwa rafiki
Kwanza ukisema Mungu ampende na amsamehe shetani umeenda mbali. Wanadamu wengi wana ushetani kiasi fulani tofaut tofaut je kwanini kama hatupendi si angeshatuua?

Ninachojua Mungu hakuwahi kuweka kanuni ama sheria alaf yeye akawa juu yake. Yeye ndiye wakwanza kuitimiza.

Nani kati yetu anaweza kuona mwanae anaongea na kumsikiliza na mbaya wake kuliko yeye babake akamwacha asimwadhibu vikali? Akiamini ipo siku atajitambua na kufahamu. Hata anapokuua bado anakusikitikia lakini hana la kifanya maana kanuni na yeye zinamzuia.
 

Duniani hakuna upendo ndio maana Ngori haziishi ndugu
Upendo unakuta mtu anao yeye na familia yake ndio maana anajifungia ndan na awapendao
Nchi znajiwekea mipaka No love
Kila mtu anataka kuwa juu ya mwenzake no love
Kujilimbikia
Hiz zote mashida yanatokana na kutokuwa na Upendo
 
Ahsante sana kwa thread yako fikirishi.
Huwa ninafurahi kuona watu wa mungu wakidebate nakuhoji kuhusu MUNGU wao.

Acha wajumbe na mawakala wake wamtete.
 
Elewa hivi: Mungu kwa ukamilifu wake, hufanya mambo kwa namna ambazo sisi binadamu hatuelewi vizuri na ndio maana wengi huishia kutomwelewa na kumlaumu. Mungu ana ratiba nzuri ajabu ya kuwasiliana na watu. Ratiba yake haifungwi na muda kama vile binadamu; yeye huwatembelea watu na yupo available kwa yeyote wakati wowote. Unahitaji kufungua moyo na akili yako kuona hilo. Mimi huzungumza naye wakati wowote nipendapo na hakuna booking.
 

Ahah mungu n pasua kichwa
 
kila wakati anapokuja huwa ankuta umevuta bangi au umelewa au uko bize unazini, ndiyo sababu hata akija huwa hujui kuwa amekuja. Washua tunakutana naye na tuko naye kila wakati na anatutatulia shida zetu.

Tupe video ushahd au saut mkiongea
 
We've had God all wrong.

Hint: He's not an invisible man in the sky!
 
Binadamu hamna dogo anaogopa mnaweza kumroga bure!
 

Mungu anatuhimiza
Tupende
Maadui wakat yeye anamchukia shetan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…