Kwanini Mungu hana ratiba ya kuja kuongea na binadamu hapa duniani?


Nipe mfano wa saut yake
 
Kwanini Yesu alitumwa duniani kwa njia ya binadamu
Na kwanini Shetani alitupwa duniani kwa njia ya haonekani
Maana shetani angekuwa mtu Tukamuuwa pia ingekuwa kitu kizuri

Sana aisee
 

Ww hapo unahisi yeye n muweza wa yote angetengeneza mfumo wa rahs wa watu kumuona au kumskia
 
Binadamu yeyote ni mbinafsi kwa asili ndio sababu ya haya yote.
 
Mungu anaongea kila siku na kila wakati tatizo ni kujua na kuielewa lugha yake. Tunaoijua tunafaidi mda wote
 
Aliongea na Adamu, alivoondoka kidogo tu wakala tunda, aliongea na Kaini ,angalia dogo alichomjibu:
Mwanzo 4:9 Bwana akamwambia Kaini, Yuko wapi Habili ndugu yako? Akasema, Sijui, mimi ni mlinzi wa ndugu yangu?
10 Akasema, Umefanya nini? Sauti ya damu ya ndugu yako inanililia kutoka katika ardhi.
11 Basi sasa, umelaaniwa wewe katika ardhi, iliyofumbua kinywa chake ipokee damu ya ndugu yako kwa mkono wako;
12 utakapoilima ardhi haitakupa mazao yake; utakuwa mtoro na mtu asiye na kikao duniani.
13 Kaini akamwambia Bwana, Adhabu yangu imenikulia kubwa, haichukuliki.
14 Tazama, umenifukuza leo katika uso wa ardhi, nitasitirika mbali na uso wako, nami nitakuwa mtoro na mtu asiye na kikao duniani; hata itakuwa kila anionaye ataniua.
 
Kwa hiyo anajua kabisa huyu atakufa kwa mv bukoba au precision air
 
Jibu la swali lako ni kwamba hakuna Mungu?
 
Mungu ni roho sio mwili
 
Mungu ndio pumzi ya uzima tuko naye 24/7 na ndiye kiongozi wetu kwenye kila kitu na kila jambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…