Nukuu ya biblia huwa haiwekwi kisela kama ulivyo fanya hapo"Hapo mwanzo Mungu aliumba mbingu na nchi.". huo ndio mstari wa kwanza kwenye biblia.
Hapo umefanya kosa la kimantiki (logical fallacy) inayoitwa "logical non sequitur.Lets use logic shall we?
Logicaly if A =B na B=C that means A=C hivyo kama
Nyama ni source ya protein na maharage pia ni source ya protein hii ina maanisha nyama ni maharage?
Are they logicaly consistency?
Hata haya pia ni mawazo yako tuHuo sio uthibitisho wa uwepo wa mawazo
Sasa iweje shetani aliyemuasi Mungu ambaye amekosana na Mungu akubali kufanya kazi ya Mungu...Shetani yupo kutimiza mipango ya Mungu. Ndo mana waislam wanasema kila binadamu ana jini lake ambalo kapewa na Mungu ili linamshawishi atende mabaya.
Mtu pekee anaeweza kumzidi nguvu huyo jini ni mtu anaefanya ibada sana.
Kwa kifupi tunaweza kusema the devil works for God.View attachment 2393850
*flaws na nimekupa swali please naomba jibu mkuu am here waiting for your simple and unambiguous answer just like my simple and unambiguous question ✌️😄Ku prove ni nini?
Unamaanisha logical consistency ina flows au ina flaws?
Kama logical consistency ina flows au flaws, hilo lina prove nini? Lina prove Mungu yupo au hayupo?
Unaelewa kwamba logical consistency kuw ana flows au flaws nyingi haimaanishi kwamba haiwezi kutumiwa?
Unaweza kutuonesha hizo flows au flaws za logical consistency?
Unaelewa kwamba hata kuandika tu hapa JF huwezi kuandika bila kutumia logical consistency?
Hiyo ni logical non sequitur, umefanya logical fallacy.lets try this
Kama nyama ni source ya protein na maharage pia ni source ya protein that means nyama ni maharage?
Are they logicaly consistent?
Umefanya logical non sequitur fallacy. Nimekujibu post #265.*flaws na nimekupa swali please naomba jibu mkuu am here waiting for your simple and unambiguous answer just like my simple and unambiguous question ✌️😄
Muda wote niliokuwa nakueleza ina maana nilikuwa naongea peke yangu kama Joker?Kwahiyo kipimo chako kinapima nini ikiwa hakitayang'amua mawazo specifically?
Kanuni za logical consistency zinaonesha uwepo wa Mungu bila kuacha mashaka yoyote. Ulimwengu wote unaendeshwa kwenye kanuni za ulandano ndio maana tunao uhakika ikifika usiku lazima pia asubuhi itakuja.. nkAsante.
Zaidi, suala la msingi zaidi si mimi nakubaliana na nini au sikubaliani na nini.
Siongelei habari zangu tu. Mimi kama mimi ni mtu tu, naweza kukosea.
Sipendi unijadili mimi, napenda ujadili umakini wa hoja. Kwa kuiangalia hoja, si kwa kuniangalia mimi.
Hizi hoja ninazozisema zilikuwapo kabla sijazaliwa, na zitaendelea kuwepo hata nikifa.
Kwa hivyo, naomba tujadili hoja, tusijadili mtu.
Naongelea fact, kwa mujibu wa kanuni za logical consistency.
Hapa umeongea kama vile Mungu ni jamaa fulani mdogondogo. Hapana. Mungu ni mkuu na anao uwezo wa kufanya chochote na kwa namna yoyote anayojisikia bila kuhojiwa na yeyote. Mungu aliamua kuweka freewill na ndio chanzo cha mabaya kudhihirika.Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, aliyeumba ulimwengu ambao watu wake ambao inadaiwa anawapenda sana wanaweza kupata tabu sana, hawezi kuwepo, kwa sababu kuwepo Mungu huyo ni logical contradiction.
Kwanini haujishughulishi kujua chanzo cha uhai? Au niseme kwanini hautushirikishi chanzo unachofikiria wewe wakati unapinga vile tunavyokupa?Mimi sijawahi kusema najua chanzo cha maisha, hiyo si hoja niliyoileta.
Hapa sio kweli. Zaidi ya asilimia 95 ya wanadamu ulimwenguni pote wanaamini katika aina moja au nyingine ya miungu na imani hizo zimejitahidi kuhusisha mungu wake na uwepo wa uhai.Habari ya uhai umeanza vipi, katika mjadala wa kuwepo Mungu, ni logical non sequitur.
Approve vipi havipo wakati havipo?Prove kwamba havipo!
Kanuni za logical consistency zinaoneshaje uwepo wa Mungu? Mungu yupi? Unathibitishaje hilo? Uthibitisho wako una uthabiti gani?Kanuni za logical consistency zinaonesha uwepo wa Mungu bila kuacha mashaka yoyote. Ulimwengu wote unaendeshwa kwenye kanuni za ulandano ndio maana tunao uhakika ikifika usiku lazima pia asubuhi itakuja.. nk
Hapa umeongea kama vile Mungu ni jamaa fulani mdogondogo. Hapana. Mungu ni mkuu na anao uwezo wa kufanya chochote na kwa namna yoyote anayojisikia bila kuhojiwa na yeyote. Mungu aliamua kuweka freewill na ndio chanzo cha mabaya kudhihirika.
Kwanini haujishughulishi kujua chanzo cha uhai? Au niseme kwanini hautushirikishi chanzo unachofikiria wewe wakati unapinga vile tunavyokupa?
Hapa sio kweli. Zaidi ya asilimia 95 ya wanadamu ulimwenguni pote wanaamini katika aina moja au nyingine ya miungu na imani hizo zimejitahidi kuhusisha mungu wake na uwepo wa uhai.
Itashangaza kama utajadili Mungu bila kujadili chanzo cha uhai maana concept nzima ya mungu inahusiana na uwepo wa uhai beyond the physical world.
Mungu yupo clear atleast kwenye Dini yetu hajaumba Binadamu na Majini isipokua wamuabudu itakua intimidation kama Mungu anacompete na mtu, hapa kakuumba wewe na anaweza akakufanya chochote unaweza ukaabudu vile vile asikupe hizo benefit anakumiliki asilimia 100.Kwamba njoo kwangu takupa peremende, kuwa neutral usiende popote takuchoma moto maisha yako yote nenda kwa yule takuchoma moto !!, And you call that free will ?!! Hio huku duniani tunaita Intimidation.....
Again unatumia Akili ya kibinadamu, Divine power its beyond our comprehension, umekuwa coded uwe na free will unachagua unachofanya unaweza ukashukuru ama kukufuru, ila ukishukuru Mungu anajua Outcome na ukikufuru pia Mungu anajua Outcome. Thats part ya power za Uungu.Pia hata sisi tunajua ukipanda mchicha utavuna mchicha na sio bangi ila what makes us kupanda au kutokupanda !! na kama tangia tunakuwa coded inajulikana hatutapanda na yule atapanda what is difference from his coding different to mine ?
Na ndio Mungu ameumba na kuweka vyote hivyo Ukimwi, Slavery, Gharika etc, na kila tabu unayopata utakuwa compensated vyote hivyo vimeweka kama Test kwa mwanadamu.Naweza kukwambia kwamba kuna majambazi yamekuwa majizi kutokana na happenstance fulani katika maisha yao huenda kudhulumiwa au chuki iliyotokana na kitu fulani kwahio wanachotenda leo ni ile incidence kwahio kama ni Mungu ndio alipanga hipo incidence na alijua hio incidence itatokea ndio yale yale ya kujaribiana kwa kuambiana umtoe sadaka mwanao....
Kama ilijulikana kwamba a day before nitaomba dua basi that outcome was not even there in the first place unless otherwise nimecreate that outcome au that outcome was created in that instance..., ni kama mfano wangu wa kucheza mpira kama mimi huwa nafunga magoli dakika za 80 alafu chizi akanivunja mguu dakika ya sabini huwezi kusema kutokufunga kwangu kumesababishwa na mimi bali na kitu ambacho kipo beyond my capacity to change it...
So all these Covid Ukimwi slavery, marginalization ya African Countries ni Mungu alikuwa anaandika maisha ya wanadamu wake ?, By the way mambo ya Gharika, Kukasirika kwamba binadamu wameasi kwanini alikasirika wakati alishaandika au hio page iliandikwa baadae ?
Tuna neno pia hapa duniani la kutokuwa na emotions kwa matukio kama hao..., Again that is weakness na sio strength at all na kukumbuka au kutokukumbuka haimaanishi the deed was good
Logical non sequitar ni pale kunapokuwa hakuna relationship between the premise and the conclusion drawn .Hapo umefanya kosa la kimantiki (logical fallacy) inayoitwa "logical non sequitur.
Yani, umeunganisha mambo ambayo hayana muungano wa moja kwa moja.
Umelinganisha nyama na maharage kwa muktadha maalum wa protein, halafu ukatoka kwenye muktadha huo wa protein na kuzilinganisha nyama na maharage moja kwa moja.
Umefanya makosa ya kimantiki ya kutoka kwenye mlingnisho mahsusi, ukajitoa kwenye mlinganisho huo mahsusi na kwenda kwingine.
Ni sawa na kusema.
1. Rais wa Tanzania ni mwanamke Mzanzibari.
2. Fatma Karume ni mwanamke Mzanzibari.
3. Fatma Karume ni Rais wa Tanzania.
Premise 1 na 2 zote ni sahihi, lakini, unavyoziunganisha kwenye conclusion 3 unafanya makosa kuunganisha vitu ambavyo havina muungano.
umesema.
1. Nyama ni source ya protein
2. Maharage ni source ya protein
3. Maharage ni nyama
Ukisema hivyo utaweza kusema.
1. Joseph ni mtoto wa mzee Cheyo
2. Joyce ni mtoto wa mzee Cheyo
3. Joseph ni Joyce
This is not sound logic. This is logical non sequitur.
Fallacy of non sequitur | logic | Britannica
Other articles where fallacy of non sequitur is discussed: fallacy: Material fallacies: (7) The fallacy of non sequitur (“it does not follow”) occurs when there is not even a deceptively plausible appearance of valid reasoning, because there is an obvious lack of connection between the given...www.britannica.com
Non Sequitur
When the conclusion does not follow from the premises. In more informal reasoning, it can be when what is presented as evidence or reason is irrelevant or adds very little support to the conclusion.www.logicallyfallacious.com
Wanyama wanayo nafsi lakini hawana roho.Chanzo cha life force kwenye any living thing ni Nini? au na Yenyewe ina Roho / Nafsi ?
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo kweli na kwamba habari za kuwepo kwake si stories za kutungwa na watu tu?Mungu yupo clear atleast kwenye Dini yetu hajaumba Binadamu na Majini isipokua wamuabudu itakua intimidation kama Mungu anacompete na mtu, hapa kakuumba wewe na anaweza akakufanya chochote unaweza ukaabudu vile vile asikupe hizo benefit anakumiliki asilimia 100.
Again unatumia Akili ya kibinadamu, Divine power its beyond our comprehension, umekuwa coded uwe na free will unachagua unachofanya unaweza ukashukuru ama kukufuru, ila ukishukuru Mungu anajua Outcome na ukikufuru pia Mungu anajua Outcome. Thats part ya power za Uungu.
Na ndio Mungu ameumba na kuweka vyote hivyo Ukimwi, Slavery, Gharika etc, na kila tabu unayopata utakuwa compensated vyote hivyo vimeweka kama Test kwa mwanadamu.
Pia naona mkuu unachanganya Sana Doctorine ya Ukristo na Uisilamu, mimi muisilamu kama ulivyosema juu vyema tutumie logic ya ninachokiamini. Kwenye Uisilamu Mungu haishii tu kama All loving, Unaweza pitia online Majina 99 ya Mwenyez Mungu according to Uisilamu Mungu ni Destroyer, Avenger, Just etc.
Kabla ya Mtume Muhammad imani yetu ni kwamba Adhabu ilikuwa ikitoka papo hapo, wa Sodoma, Gharika, Upepo, etc hao wa Nuhu tayari walishamtimiza miaka yao duniani, hivyo iliandikwa kwenye lifespan yao baada ya miaka hio 1000 uma wao utaisha kwa Gharika.
Prove kwamba havipo just kindly answe the questionApprove vipi havipo wakati havipo?
We ukiambiwa u prove, hana hiyo prove utaweza?
Mwanzo 1 : 1Nukuu ya biblia huwa haiwekwi kisela kama ulivyo fanya hapo
Weka kuonesha jina la kitabu, chapter na verse
Kuna swali nitakuuliza
Imagine umeweza kufanya identification ya mawazo yangu bila kile kifaa chako.😂 Simple proof kwamba yanaexist beyond the five senses.Hata haya pia ni mawazo yako tu
Joseph is not Joyce just because both are Mr. Cheyo's children, because ,Mr. Cheyo is not limited to having one child and Joseph and Joyce are two distinct children.Logical non sequitar ni pale kunapokuwa hakuna relationship between the premise and the conclusion drawn .
Turudi kwenye mfano wako
1. Joseph ni mtoto wa mzee Cheyo
2. Joyce ni mtoto wa mzee Cheyo
3. Joseph ni Joyce
Connection between joseph and joyce ni kwamba wote ni watoto wa mzee cheyo so the final conclusion joyce is joseph sijanua connection kati ya joseph na joyce unayoitafuta wewe ni ipi SEX? GENDER? 😂
Sielewi unaongea nini hapa na wala mifano yako haifuati logic yoyote..., mimi sio niliowatengeneza hao wanafundi na kuwapa code ya utukutu pia sio mimi nilioweka hukumu kwamba wakifeli outcome itakuwa nini mimi kazi yangu ni kufundisha na kusimamia basi... haya mengine yana mamlaka nyingine tofauti na mwenye mamlaka yote😂😂😂 utasaidia deppending on circumstance that means hautokuwa fair kwa sababu haujawasaidia na wengine pia right?
Kwahio wewe ndio God ninaku-question ? Pili tatizo kubwa la Imani ni Indoctrination huruhusiwi kuuliza mwisho wa siku unakuwa mtu wa kumeza bila kutafuna...,Don't ever try to questin God if you can't even answer a simple question you want logic i gave you one now unajikanyaga have a good day.