Execute
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 3,000
- 7,336
Shetani pale alifanya kazi zake za kuharibu, kuua na kuangamiza. Mungu alimpa ruhusa tu.Sasa iweje shetani aliyemuasi Mungu ambaye amekosana na Mungu akubali kufanya kazi ya Mungu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shetani pale alifanya kazi zake za kuharibu, kuua na kuangamiza. Mungu alimpa ruhusa tu.Sasa iweje shetani aliyemuasi Mungu ambaye amekosana na Mungu akubali kufanya kazi ya Mungu...
Mbona unazunguka wewe mwenyewe pale mwishoni umesema hata kama hakitayajua mawazo specifically bado sio ushahidi wa kuwepo vitu beyond the physical worldMuda wote niliokuwa nakueleza ina maana nilikuwa naongea peke yangu kama Joker?
Kama maelezo niliyokupa awali hukuyapa kipaumbele kuyaelewa, nini kinachofanya niamini maelezo unayotaka saizi utayazingatia?
Nimekujibu hivyo kwakua nimeona mwenzetu uko na utaalamu wako wa kuweza kuthibitisha negative na ndio maana nikataka uthibitishe hana uthibitisho ili nijifunzeProve kwamba havipo just kindly answe the question
Labda urudie kusoma utaelewa.Kanuni za logical consistency zinaoneshaje uwepo wa Mungu? Mungu yupi? Unathibitishaje hilo? Uthibitisho wako una uthabiti gani?
Sasa iweje shetani aliyemuasi Mungu ambaye amekosana na Mungu akubali kufanya kazi ya Mungu...
Na je hio ya Mungu kuweka kishawishi ili ushindwe mpaka umuombe mara kwa mara huoni it goes against characteristics zake ambazo ni mpenda wote na mwenye huruma ? Ingawa kwenye mpenda wote kuna maandiko mengi yanaonyesha favoritism (je hio ni weakness au strength)?
Mwanzo 1:16-18Mwanzo 1 : 1
Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi
Sasa kama nimeweza huoni kwamba unazidi kuipa nguvu hoja yangu na kui refute yakwako?Imagine umeweza kufanya identification ya mawazo yangu bila kile kifaa chako.😂 Simple proof kwamba yanaexist beyond the five senses.
Tatizo la kusoma hoja kiupembuzi yakinifu ni janga la watu wengi humu jukwaaniMbona unazunguka wewe mwenyewe pale mwishoni umesema hata kama hakitayajua mawazo specifically bado sio ushahidi wa kuwepo vitu beyond the physical world
Inazungumzia kuumbwa kwa jua na mwezi. Aliziweka juu katika mbingu (tunayoiita second heaven maana first heaven ni atmosphere) halafu zikatoa mwanga juu ya nchi ambayo tayari alikuwa ameshaiumba lakini ikaingia giza.Mwanzo 1:16-18
Unaelewa ilikuwa inazungumzia kuumbwa kwa nini?
Ambapo ilikuwa ni siku ya ngapi hiyo ambapo jua na mwezi vinaumbwa?Inazungumzia kuumbwa kwa jua na mwezi. Aliziweka juu katika mbingu (tunayoiita second heaven maana first heaven ni atmosphere) halafu zikatoa mwanga juu ya nchi ambayo tayari alikuwa ameshaiumba lakini ikaingia giza.
16 Mungu akaumba mianga miwili mikubwa, ule mkubwa utawale mchana, na ule mdogo utawale usiku; akafanya na nyota pia.
17 Mungu akaiweka katika anga la mbingu, itie nuru juu ya nchi
Kwahiyo sasa hivi unakubali mawazo yanaexist in their own form beyond the five senses?Sasa kama nimeweza huoni kwamba unazidi kuipa nguvu hoja yangu na kui refute yakwako?
Unajua tumefika umbali wote huu na hakuna sehemu uliyo thibitisha chochote katika madai yako lundo uliyokuja nayo?
Siku ya nneAmbapo ilikuwa ni siku ya ngapi hiyo ambapo jua na mwezi vinaumbwa?
Kwani mwanzo nilikuwa najadiliana na nani kupitia hiyo ID Excute?Kwahiyo sasa hivi unakubali mawazo yanaexist in their own form beyond the five senses?
Mungu ametupa Sign za uwepo wake, kutokana na Kitabu changu ninachokiamini. Pia kuna Tafiti mbalimbali zinazokazia.Unaweza kuthibitisha Mungu yupo kweli na kwamba habari za kuwepo kwake si stories za kutungwa na watu tu?
Ambapo sijaelewa ni wapi?Labda urudie kusoma utaelewa.
Jibu swali usizunguke zunguke mbona maswali yako nayajibu?Kwani mwanzo nilikuwa najadiliana na nani kupitia hiyo ID Excute?
Probably mko shared watu zaidi ya mmoja inawezekana niliyemjibu alikuwa mwingine
wale jamaa inabidi vizazi vyao viangamizwe vyote asibaki hata mmoja, wanaweza kuja na utapeli mwingineMa Genious wa kwanza Duniani wapo kwa ile kamati
Na ili upate siku ni lazima dunia ijizungushe katikati ya jua na mweziSiku ya nne