Kwanini Mungu na Shetani wasimalize tofauti zao?

Mungu ametupa Sign za uwepo wake, kutokana na Kitabu changu ninachokiamini. Pia kuna Tafiti mbalimbali zinazokazia.

Anasema Mtume wetu Muhammad (S.A.W) kwamba watu wote wamezaliwa katika Natural state ya kumuamini mungu ila ni Society ndio zinawafundisha vyengine ie Atheist, hili linatiliwa mkazo na tafiti mbalimbali duniani

1. Utafiti wa Innate Religion.
Kila mtoto anaezaliwa anaamini kuhusu Supernatural being, watoto wote wanakuwa na Dini asili ya kuamini mungu na Atheism inafundishwa.

Utafiti huu umefanywa Oxford University, Researcher 57 wamehusika maeneo tofauti 40 katika nchi 20 sehemu zote zenye dini na wasio na dini na zote zime conclude watoto wanazaliwa wakiamini Mungu na maisha baada ya Dunia

2. Tunamuogopa mungu hata kama akili zetu haziamini.

Utafiti mwengine very interesting even Atheist ambao hawaamini mungu miili yao ina wa betray, walichukuliwa Atheist 13 wakapewa maneno ya mabaya dhidi ya Mungu japo akili zao zipo sawa Ngozi zao zilikuwa zinaonesha uoga.

Ulifanya University of Helsinki Finland.

We examined whether atheists exhibit evidence of emotional arousal when they dare God to cause harm to themselves and their intimates. In Study 1, the participants (16 atheists, 13 religious individuals) read aloud 36 statements of three different types: God, offensive, and neutral. In Study 2 (N = 19 atheists), 10 new stimulus statements were included in which atheists wished for negative events to occur. The atheists did not think the God statements were as unpleasant as the religious participants did in their verbal reports. However, the skin conductance level showed that asking God to do awful things was equally stressful to atheists as it was to religious people and that atheists were more affected by God statements than by wish or offensive statements. The results imply that atheists' attitudes toward God are ambivalent in that their explicit beliefs conflict with their affective response

So mkuu Kumuamini Mungu ni natural miili yetu ipo programmed kuamini hilo na dalili zipo wazi.
Innate religion ndiyo uthibitisho kwamba Mungu yupo?
 
Jibu swali usizunguke zunguke mbona maswali yako nayajibu?
Hili swali nimekujibu na nikakutajia na jina la kifaa na nilipomaliza nikahitimisha kuwa hata kama ingeshindikana kupima mawazo bado isingetoa mwanya wa kufanya madai yako yasio pitia uchunguzi yakubalike

Sasa nashangaa swali hili limejirudia tena, nihakikishie kuwa utakuwa makini na kile ambacho nitakuwa naandika hapa
 
Innate religion ndiyo uthibitisho kwamba Mungu yupo?
Tofautisha uthibitisho na Sign, hakuna uthibitisho physically mpaka siku ya kiama, ila zipo sign kibao. Moja wapo ni hio. So kama unaamini ama huamini hizo sign its up to you hulazimishwi ila wengine tunaamini.
 
Na ili upate siku ni lazima dunia ijizungushe katikati ya jua na mwezi

Biblia imasema jua na mwezi viliumbwa siku ya 4

Kisayandi hiyo imekaaje?

Hizo siku 4 ziliwezaje kupita?
Wewe naye uwe unasoma maelezo tunapokupatia sio unarudia rudia.

Ukiangalia siku ya pili biblia inaeleza kwamba anga liliwekwa kati ya maji halafu Mungu akaliita mbingu, kwanini usiulize ni mbingu ipi hiyo tofauti na ile kwenye mstari wa kwanza?

Siku ya tatu baada ya kuyatenga maji Mungu akaita mahali pakavu nchi, kwanini hujauliza ni nchi ipi hiyo tofauti na ile ya kwenye mstari wa kwanza?

Halafu utauliza kuhusu nuru, mbona iliumbwa siku ya kwanza lakini jua na mwezi viliwekwa kutoa nuru siku ya nne?

Kijana wangu basi nikueleze hamna kitabu chenye siri za ulimwengu kuanzia mwanzo wake mpaka mwisho kama kitabu cha mwanzo. Ukienda sura ya pili ya mwanzo utashangaa kuona vile vinavyosemekana kuumbwa sura ya kwanza havipo na ndio kwanzaa Mungu anatengeneza mtu.

Kwahiyo sasa nikurudishe kwenye swali lako. Maneno yanayotumika hapo kwenye genesis ni bara na asah. Neno bara linamaanisha create from nothing na asah ni forming from something. Hapo jua na mwezi limetumika neno asah ambalo linamaanisha kuwekwa kwenye form ambayo ni useful for the earth kwasababu tayari lilikuwepo pale mwanzo Mungu alipoumba mbingu na nchi.

Ninaamini sasa umeelewa.
 
Mimi sina hofu, nakupa tahadhari ambayo ilitamkwa na Yesu Kristo mwenyewe juu ya hatari za kwenda kuzimu.
Sasa ukishasema YESU(Sio Yesu kama ulivyoandika), unazungumzia MUNGU MWANA, unazumgumzia ibada, unazungumzia imani, hapa umegusa nadharia ya kiimani ambayo binadamu wengine hawana na huwezi ithibitisha nje ya imani.

Akija wa sanamu, Budha n.k naye anakuja na nadharia ambazo ww na mm tunaamini hazipo kama yeye asivyoamini kuwa KRISTO yupo.

Kuhusu woga, wewe Unaogopa moto ndio maana unatii na unaelekeza wengine watii ili wasikutane na kuzimu, kuzimu ikiondolewa huna aina nyingine ya ushawishi na huna sababu ya utii.
 
Mungu ametupa Sign za uwepo wake, kutokana na Kitabu changu ninachokiamini. Pia kuna Tafiti mbalimbali zinazokazia.

Anasema Mtume wetu Muhammad (S.A.W) kwamba watu wote wamezaliwa katika Natural state ya kumuamini mungu ila ni Society ndio zinawafundisha vyengine ie Atheist, hili linatiliwa mkazo na tafiti mbalimbali duniani

1. Utafiti wa Innate Religion.
Kila mtoto anaezaliwa anaamini kuhusu Supernatural being, watoto wote wanakuwa na Dini asili ya kuamini mungu na Atheism inafundishwa.

Utafiti huu umefanywa Oxford University, Researcher 57 wamehusika maeneo tofauti 40 katika nchi 20 sehemu zote zenye dini na wasio na dini na zote zime conclude watoto wanazaliwa wakiamini Mungu na maisha baada ya Dunia

2. Tunamuogopa mungu hata kama akili zetu haziamini.

Utafiti mwengine very interesting even Atheist ambao hawaamini mungu miili yao ina wa betray, walichukuliwa Atheist 13 wakapewa maneno ya mabaya dhidi ya Mungu japo akili zao zipo sawa Ngozi zao zilikuwa zinaonesha uoga.

Ulifanya University of Helsinki Finland.

We examined whether atheists exhibit evidence of emotional arousal when they dare God to cause harm to themselves and their intimates. In Study 1, the participants (16 atheists, 13 religious individuals) read aloud 36 statements of three different types: God, offensive, and neutral. In Study 2 (N = 19 atheists), 10 new stimulus statements were included in which atheists wished for negative events to occur. The atheists did not think the God statements were as unpleasant as the religious participants did in their verbal reports. However, the skin conductance level showed that asking God to do awful things was equally stressful to atheists as it was to religious people and that atheists were more affected by God statements than by wish or offensive statements. The results imply that atheists' attitudes toward God are ambivalent in that their explicit beliefs conflict with their affective response

So mkuu Kumuamini Mungu ni natural miili yetu ipo programmed kuamini hilo na dalili zipo wazi.
Hoja yako imeanza vibaya.

Imeanza kwa ku assume kuwa sign ulizoambiwa kuhusisha na Mungu ni za kweli.

Kwenye hoja hii unaweza kupata mapingamizi makubwa kutoka kwenye dini nyingine tofauti na yako na vile vile ukashindwa kukubaliana na madai yao watayosema kitabu chao ni cha Mungu wa kweli kwasababu ya signs

Kwasababu utetezi wake haujikiti kwenye uthibitisho kwa maana hiyo si lazima mtu awe sahihi ili aendane na floor ya hoja yako

Swali la msingi

Unajuaje hizo sign ni za Mungu na sio kitu kingine ambacho hauna uelewa nacho?

Zipo records za watu kusema radi ni sign ya Mungu akiwa amekasirika (refers to greecs God)

Mtu anayepewa hoja hii huwezi kumshawishi kuwa pale anapoona radi basi huo ndio uthibitisho wenyewe wa madai ya Mungu kukasirika

Mtu huyu atapinga madai hayo sio kwasbabu hajaona radi, ni kwasbabu uhusiano wa radi na Mungu ni logical contradiction

Tunafahamu kuna trend ya watu kutumia vitu vilivyo halisia kama fabrication ya madai yao yasiyo halisia.

Tuna mifano mingi sana hata kwenye jamii zetu madai ya kusema watu wenye vipara na vitambi kusema ni sign ya kuwa na pesa. Vyote hivyo ni uongo.

Katika hoja yako Innate Religion, ukweli wake uko kinyume

Hakuna aliyezaliwa mkristu wala muislam haya ni mambo ambayo kila mtu anafundishwa angali mdogo

Kila mtu amezaliwa atheist, kwa maana hana dini na amini chochote since pale alipokuja kuwa deluded na wazazi wake.

Atheism haifundishwi kwasababu hata keywords yake inaonesha ni ukosefu wa imani kwenye maswala ya miungu, roho, nafsi, uchawi, nk

Mtoto anapoanza kupelekwa kanisani au msikitini hapo ndio anapoanza kujifunza habari hizo, kwa maana hiyo ana switch kutoka atheism to theism na baadaye akija kuwa atheist maana yake kairudia asili yake
 
Sasa ukishasema YESU(Sio Yesu kama ulivyoandika), unazungumzia MUNGU MWANA, unazumgumzia ibada, unazungumzia imani, hapa umegusa nadharia ya kiimani ambayo binadamu wengine hawana na huwezi ithibitisha nje ya imani.
Source ya imani na maelezo yangu ni Yesu Kristo
Akija wa sanamu, Budha n.k naye anakuja na nadharia ambazo ww na mm tunaamini hazipo kama yeye asivyoamini kuwa KRISTO yupo.
Hakuna anayelazimishwa kumfuata Yesu Kristo
Kuhusu woga, wewe Unaogopa moto ndio maana unatii na unaelekeza wengine watii ili wasikutane na kuzimu, kuzimu ikiondolewa huna aina nyingine ya ushawishi na huna sababu ya utii.
Mimi namfuata Yesu Kristo kama source and sustainer wa maisha yangu. Hata bila adhabu bado nitaendelea kumfuata.
 
Ibilisi alijuaje kuwa Ulimwengu ulioumbwa na Mungu Una mwisho?
Kumbuka tukio hilo linatokea Adamu alikuwa hajaasi, na Eva bado hajaumbwa
Unaweza kufafanua hapo
Binadamu ni kiumbe wa mwisho kabisa kuumbwa na Mungu. Kabla ya mwanadamu kuletwa kuishi katika dunia hii walikuwapo majini wakiishi na wao ndio walikuwa watawala, ila walikuja kufanya ufisadi mkubwa na umwagaji wa damu.Mungu alituma jeshi la malaika kuja kuwapiga vita na wengi walikimbilia mapangoni,misituni,majangwani ,baharini na kwenye visiwa. Mungu ndipo aliamua kuumba kiumbe mpya kuja kuwa mtawala/kiongozi katika dunia hii nae si mwingine bali ni mwanadamu. Malaika walistaajabu sana kwanini Mungu anataka kuumba kiumbe mwingine aje kuwa mtawala ardhini wakati majini walishafanya ufisadi na umwagaji wa damu mkubwa.? Mungu aliwajibu kuwa anayajua yale wasiyoyajua.So watulie waone ufundi wake.

Nikijibu swali lako ni kuwa Kifo kililuwapo kabla ya Adam na Mungu alitangulia kuumba Pepo na Moto kabla ya kutuumba . Ilikuwa ikijulikana kuwa kuna siku ya mwisho (Qiyama) ila hakuna anayejua itakuwa lini.
 
Tofautisha uthibitisho na Sign, hakuna uthibitisho physically mpaka siku ya kiama, ila zipo sign kibao. Moja wapo ni hio. So kama unaamini ama huamini hizo sign its up to you hulazimishwi ila wengine tunaamini.
Kwanza sijaomba uthibitisho physically. Nimeomba uthibitisho, ambao hujaweza kuutoa.

Kwa nini watu wengi wakiambiwa uthibitisho wanakimbilia kuangalia physically? Kwani uthibitisho hauwezi kuwa logical bila ya kuwa physical?

Tunapofanya logical au mathematical proofs, kuna haja ya uthibitisho physical?

Halafu, hata hiyo unayosema sign, haituoneshi kwamba Mungu yupo, inawezekana kabisa hiyo unayoiita "innate religion" ni natural morality tu inayotokana na practical realities za maisha, na Mungu hahitajiki kuielezea.

Kwa nini hiyo unayoiita "innate religion" iwe sign ya kuwapo Mungu tu na haitokani na kingine chochote?
 
Wewe naye uwe unasoma maelezo tunapokupatia sio unarudia rudia.

Ukiangalia siku ya pili biblia inaeleza kwamba anga liliwekwa kati ya maji halafu Mungu akaliita mbingu, kwanini usiulize ni mbingu ipi hiyo tofauti na ile kwenye mstari wa kwanza?

Siku ya tatu baada ya kuyatenga maji Mungu akaita mahali pakavu nchi, kwanini hujauliza ni nchi ipi hiyo tofauti na ile ya kwenye mstari wa kwanza?

Halafu utauliza kuhusu nuru, mbona iliumbwa siku ya kwanza lakini jua na mwezi viliwekwa kutoa nuru siku ya nne?

Kijana wangu basi nikueleze hamna kitabu chenye siri za ulimwengu kuanzia mwanzo wake mpaka mwisho kama kitabu cha mwanzo. Ukienda sura ya pili ya mwanzo utashangaa kuona vile vinavyosemekana kuumbwa sura ya kwanza havipo na ndio kwanzaa Mungu anatengeneza mtu.

Kwahiyo sasa nikurudishe kwenye swali lako. Maneno yanayotumika hapo kwenye genesis ni bara na asah. Neno bara linamaanisha create from nothing na asah ni forming from something. Hapo jua na mwezi limetumika neno asah ambalo linamaanisha kuwekwa kwenye form ambayo ni useful for the earth kwasababu tayari lilikuwepo pale mwanzo Mungu alipoumba mbingu na nchi.

Ninaamini sasa umeelewa.
Sijakuelewa na sidhani hata wewe kama umeelewa ulichokiandika

Nadhani kwasbabu unajaribu kutetea madai ya uongo

Bibia imesema jua na mwezi biliumbwa siku ya 4

Maana yake siku ya 1 hadi ya 3 zilipita bila kuwepo mwezi na jua

Kitu ambacho ni uwongo kwasbabu ili siku ihesabike lazima dunia ijizungushe kwenye jua na mwezi

Nataka utoe hoja zako za kutetea hili likaonekana liko katika misingi ya kisayansi kama ulivyodai kuwa bible haijawahi pingana na sayansi
 
Source ya imani na maelezo yangu ni Yesu Kristo

Hakuna anayelazimishwa kumfuata Yesu Kristo

Mimi namfuata Yesu Kristo kama source and sustainer wa maisha yangu. Hata bila adhabu bado nitaendelea kumfuata.
Nshakuambia sio Yesu. Jina lako ni Execute sababu ya udhaifu wako wa kiubinadamu ila ukishaingiza imani na jina la ukuu wa kiMUNGU then jina linabeba huo ukuu hata katika maandishi, unaandika YESU KRISTO. wewe ni mlokole wa wapi usiyejua ukuu wa unayemwabudu?
 
Sijakuelewa na sidhani hata wewe kama umeelewa ulichokiandika

Nadhani kwasbabu unajaribu kutetea madai ya uongo

Bibia imesema jua na mwezi biliumbwa siku ya 4

Maana yake siku ya 1 hadi ya 3 zilipita bila kuwepo mwezi na jua

Kitu ambacho ni uwongo kwasbabu ili siku ihesabike lazima dunia ijizungushe kwenye jua na mwezi

Nataka utoe hoja zako za kutetea hili likaonekana liko katika misingi ya kisayansi kama ulivyodai kuwa bible haijawahi pingana na sayansi
Wewe kama hujaelewa maelezo niliyokupa ungefanya kitu simple tu, kaangalie original manuscript na tafsiri za maneno yaliyotumika ili ujiridhishe badala ya kuamua kubisha.

Kufikia hapa tunaweza kukubaliana kutokubaliana kwasababu wewe unao msimamo unaoufuata na mimi ninao wakwangu.
 
Nshakuambia sio Yesu. Jina lako ni Execute sababu ya udhaifu wako wa kiubinadamu ila ukishaingiza imani na jina la ukuu wa kiMUNGU then jina linabeba huo ukuu hata katika maandishi, unaandika YESU KRISTO. wewe ni mlokole wa wapi?
Sielewi unaongelea nini na hilo swali ni la kazi gani.
 
Hoja yako imeanza vibaya

Imeanza kwa ku assume kuwa sign ulizoambiwa kuhusisha na Mungu ni za kweli

Kwenye hoja hii unaweza kupata mapingamizi makubwa kutoka kwenye dini nyingine tofauti na wewe kwasababu utetezi wake haujikiti kwenye uthibitisho kwa maana hiyo si lazima mtu awe sahihi ili aendane na floor ya hoja yako

Swali la msingi

Unajuaje hizo sign ni za Mungu na sio kitu kingine ambacho hauna uelewa nacho?

Zipo records za watu kusema radi ni sign ya Mungu akiwa amekasirika (refers to greecs God)

Mtu anayepewa hoja hii huwezi kumshawishi kuwa pale anapoona radi basi huo ndio uthibitisho wenyewe wa madai ya Mungu kukasirika

Tunafahamu kuna trend ya watu kutumia vitu vilivyo halisia kama fabrication ya madai yao yasiyo halisia.

Katika hoja yako Innate Religion, ukweli wake ulo kinyume

Hakuna aliyezaliwa mkristu wala muislam haya ni mambo ambayo kila mtu anafundishwa angali mdogo

Kila mtu amezaliwa atheist, kwa maana hana dini na amini chochote since pale alipokuja kuwa deluded na wazazi wake.

Atheism haifundishwi kwasababu hata keywords yake inaonesha ni ukosefu wa imani kwenye maswala ya miungu, roho, nafsi, uchawi, nk

Mtoto anapoanza kupelekwa kanisani au msikitini hapo ndio anapoanza kujifunza habari hizo, kwa maana hiyo ana switch kutoka atheism to theism na baadaye akija kuwa atheist maana yake kairudia asili yake
Kuamini creator ni step ya kwanza it doesnt matter huyo creator ni nani hayo mambo ya Uisilamu ama ukristo ama Uhindu etc yanafuatia baadae, ukienda moja kwa moja kwenye dini unakuwa umeruka step.

Pia huo utafiti nilioweka unaongelea Exactly unachojadili hapa, watoto hawaamini mungu sababu ya Msikiti ama Kanisa, wanaamini mungu sababu wamezaliwa hivyo
 
Huwezi elewa sababu hata ukuu wa unayemwabudu huuheshimu. Yesu wapo wengi sana wengine wacheza mpira.
Acha mizaha dogo, Yesu Kristo ni mfalme wa wafalme na Mungu aliye hai milele hata milele.
 
Tofautisha uthibitisho na Sign, hakuna uthibitisho physically mpaka siku ya kiama, ila zipo sign kibao. Moja wapo ni hio. So kama unaamini ama huamini hizo sign its up to you hulazimishwi ila wengine tunaamini.
Na sign sio lazima zikupeleke kwenye ukweli

Sings zinaweza kuwaweka watu kwenye matabaka kila mtu akawa na tafsiri yake kwakua signs sio matokeo ya mwisho

Ukisema mvua itanyesha kwasbabu umeona wingu zito, huo sio uthibitisho wa mvua kunyesha. Kwasbabu upo pia uwezekano wa matokeo kuja otherwise.

Vitu ambavyo tayari vilishawahi kufanyika/kutokea na uthibitisho ukawepo basi inakuwa ni rahisi watu kusema sign fulani based on previous records kupitia personal experience (though inawezekana isitokee kama ilivyo tarajia ila probability ya kuwezekana huwa na asilimia nyingi)

Sasa unapokuja kusema jambo fulani lipo (ambalo katika rekodi halijawahi kuthibitishwa lipo kwa personal experience ili iwe rahisi watu kukubali) unatumia vitu ambavyo vipo na vinathibitishika kuwa ndio hoja ya kusimama kama ishara kuthibitisha dai lako, hapo unakuwa unafanya makosa.
 
Kwanza sijaomba uthibitisho physically. Nimeomba uthibitisho, ambao hujaweza kuutoa.

Kwa nini watu wengi wakiambiwa uthibitisho wanakimbilia kuangalia physically? Kwani uthibitisho hauwezi kuwa logical bila ya kuwa physical?

Tunapofanya logical au mathematical proofs, kuna haja ya uthibitisho physical?

Halafu, hata hiyo unayosema sign, haituoneshi kwamba Mungu yupo, inawezekana kabisa hiyo unayoiita "innate religion" ni natural morality tu inayotokana na practical realities za maisha, na Mungu hahitajiki kuielezea.

Kwa nini hiyo unayoiita "innate religion" iwe sign ya kuwapo Mungu tu na haitokani na kingine chochote?
Ndio maana wametumia watoto kwenye Household za dini na Household zisizo na dini. Mtoto wako kiranga ambaye kwako hujamfundisha kuhusu dini akionesha kuwa interested na mungu bila kufundishwa kuhusu Mungu hio haitokani na Practical realities za Maisha.

Mimi nimeleta utafiti, vyema na wewe unijibu kwa utafiti, maana ningekueleza blah blah ungesema haijakuwa proved.

Huo ni utafiti Multi country, Nchi 20 si jambo dogo. Je kuna utafiti unasema otherwise kama ndio ni upi?
 
Na sign sio lazima zikupeleke kwenye ukweli

Sings zinaweza kuwaweka watu kwenye matabaka kila mtu akawa na tafsiri yake kwakua signs sio matokeo ya mwisho

Ukisema mvua itanyesha kwasbabu umeona wingu zito, huo sio uthibitisho wa mvua kunyesha kwasbabu upo uwezekano wa matokeo kuja otherwise.

Vitu ambavyo tayari vilishawahi kufanyika/kutokea na uthibitisho ukawepo basi inakuwa ni rahisi watu kusema sign fulani ni uthibitisho wa kitu fulani kupitia personal experience (though inawezekana isitokee kama ilivyo tarajia ila probability ya kuwezekana huwa na asilimia nyingi)

Sasa unapokuja kusema jambo fulani lipo (ambalo halijawahi kuthibitishwa lipo kwa personal experience ili iwe rahisi watu kukubali) unatumia vitu ambavyo vipo na vinathibitishika kuwa ndio hoja ya kusimama kama ishara kuthibitisha dai lako
Sahihi kabisa unachosema.

Je hizo Sign zikiwa kwa mamia
 
Kuamini creator ni step ya kwanza it doesnt matter huyo creator ni nani hayo mambo ya Uisilamu ama ukristo ama Uhindu etc yanafuatia baadae, ukienda moja kwa moja kwenye dini unakuwa umeruka step.

Pia huo utafiti nilioweka unaongelea Exactly unachojadili hapa, watoto hawaamini mungu sababu ya Msikiti ama Kanisa, wanaamini mungu sababu wamezaliwa hivyo
Kuamini creator this is wrong step

Kama unaona ni right step basi unapaswa kuamini na creator wa huyo creator naye yupo

Kusema watoto wanaamini Mungu kwasababu wamezaliwa hivyo huo ni uongo, ila unaweza kuwa sahihi kulingana na muktadha

Kivipi nasema hivyo?

Kwasbabu kwa falsafa za kiislamu wanaamini kilw mtu alizaliwa muislamu, so kama hoja yako iliegemea hapa basi waweza kuwa sahihi katika mjadala na waislamu lakini kauli mbiu hiyo haiwezi kuwa universal.
 
Back
Top Bottom