Execute
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 3,000
- 7,336
Mungu yupo huru kufanya chochote anachojisikia hata kama baadhi ya logic za kibinadamu bado hazijaelewa.Kwahio hawa malaika wenyewe hawakuzaliwa mara ya Pili ? Au hio Option ilikuwa haipo Na kama hii lock / stopper ilikuwepo tangia zamani si ingewekwa wakati anawaumba hawa mashetani ? Kuliko wenyewe kuwaacha na free spirit alafu wewe kupewa hii stopper ya kukuzuia kuasi...