Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
- Thread starter
- #61
Kuna sense zaidi ya macho..., harufu unanusa, sauti unasikia, upepo una-ufeel au kuona impact yake (na sio wewe tu wote waliopo pale kwa wakati husika wataona impact na kufeel huo upepo , i.e kuwapuliza) Tofauti na imani wewe unaweza ukaona kiini macho (karata tatu ukadhani hio karata ni nyekundu) kumbe ni trick of the mind wengine hawataona hivyo kama wewe...Umewahi kuiona harufu au hisia? Vipi unaweza kuyaona mawazo?
Kuona mawazo ni kutokana na zao la mawazo yako ambayo pia tunaweza tukayapima kutokana na proof / known facts at the time....,