Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Kwa hiyo Mungu kajitengenezea adui wa kutunishiana misuli ili ajioneshe kuwa yeye ni mwamba?Ego!!Kumbuka shetani alishawishi 1/3 ya malaika kule mbinguni na wakamfuata,kwake yeye hawezi kwenda kurudi kunyenyekea aache ufalme wake na waasi wenzake
Ila Mungu atamuonyesha kwamba yeye ni Muumba wa yote na vyote
Anapata faida gani kuhangaika na shetani?