Kwanini Mungu na Shetani wasimalize tofauti zao?

Kwanini Mungu na Shetani wasimalize tofauti zao?

Kwani philosophy, religion na culture haviwezi kuwa affected na genetics?

Hebu soma maandiko ya tafiti za kisomi yanayoonesha uhusiano wa morality na genetics, hqlafu na wewe toa maandiko ya kitafiti kupinga hilo.

Tubishane kwa tafiti.

The problem is, these kinds of articles and 'researches' are abundant and often contradicting each other.
So the question really comes down to, is it a general scientific consensus that morality is inherited?
How's the P2P review for the paper?
I could dive for a this paper vs that paper debate, but I feel its a waste of time. that's why I'd like to argue here in Jf on such points.

That being said, I'd like to know How does genetics affect phylosophy, culture & religion?
(Note: even if it does, it still wouldn't affect Morality as those three do)
 
Mkuu, tatizo hata hujasoma hiyo link.

Nilitegema better questions from the link.

Sasa unabisha kuelewa au unabisha kubisha tu?

Hata swali lako linaonesha umekosa umakini wa kutofautisha "is morality inheritable?" from "is morality inherited?".

I am not arguing all of morality is inherited. I am arguing aspects of morality are inheritable and inherited, in the same way the link does.

Are you disputing this simple fact?

The question on whether morality is learned or inherited is really a false dichotomy. It is both. Just as behavior is partly due to nature and partly due to nurture. This is really the same issue.

Now, are you also disputing that behavior is partly due to nature and partly due to nurture?

You can't maintain your position without ridiculously disputing this established position.
 
yaani wewe unatafuta logic katika mambo ya imani! Mungu alikuwepo, yupo, ataendelea kuwepo milele, Mungu hana mwanzo wala mwisho.
wewe kalia kutafuta logic, na hutaipata na likely hutaamini. then ukifa unakutana nae....!!!!
Huyo kwenye avatar yako ndio mungu mwenyewe sio? Au huyo ni wa watu weupe tu? Sisi weusi mungu wetu anafananaje?
 
Hili suala tulijadili kwa Logic!

Iwapo tunaambiwa kusamehe mara sabini mara saba, inakuwaje hawa wasimalize tofauti zao sababu naona hivi vita vyao sisi nyasi tunaumia.

Okay unaweza kusema kwamba Shetani hajarepent (kuomba msamaha) ndio maana hajapewa msamaha, lakini je inamaanisha Mungu anapenda kuombwa ombwa na kunyenyekewa kiasi kwamba hatoi msamaha mpaka aombwe.

Na je, Hadithi za Mwana Mpotevu, Je inamaanisha siku Shetani akirudi na kupiga magoti atasamehewa ? Au kuna Muda wa kuomba msamaha ukipita ndio basi.

Au baada ya kukaa Motoni kwa karne kadhaa huenda ukapita msamaha kama wa wafungwa na kila mtu akawa huru na sio hawa tu ambao walijinyima bata huku duniani?

NB: Kama kuna anayeweza kunielewesha haya logically kwa kanuni za imani yake naomba tujadili (na sio kutumia kanuni za multiplication kwenye paraghraph moja na ya Pili kutumia kanuni za Addition) yaani inconsistency!
Shetani hana toba ndani yake! Huo msamiati hana kwa hiyo hakuna namna anayoweza kusamehewa! Kanuni ya kusamehewa inadai uombe msamaha na ukubali kuacha uovu jumla! Shetani hawezi kusamehewa si kwa sababu Mungu hataki kumsamehe bali kwa sababu hawezi kufuata kanuni ya kupokea msamaha na Mungu anafanya kazi kwa kanuni!!

Ndio maana japo Mungu anawapenda watu wote bila upendeleo kuna ambao wamesamehewa dhambi zao na wengine bado!! Waliosamehewa walifuata kanuni ya kusamehewa dhambi kwa njia ya toba na imani kwa Yesu Kristo!! Je wewe umemwamini Yesu ili uokolewe? Yesu ndiye Njia, Kweli na Uzima!!
 
sababu claim zake na sign zake zinatokea kila siku? vitu ambavyo kikawaida ni hakuna binadamu ameweza fanya toka kuumbwa kwa ulimwengu?
Unajuaje madai hayo na viashiria hivyo vinahusiana na Mungu na sio kitu kingine ambacho watu tu hawajakijua?

Refer mifano ya watu wa kale walioamini mambo mengi ya uongo kwa madai ni viashiria vya Mungu kwasababu kwa wakati huo hakuna mtu aliyeweza kutolea maelezo vitu hivyo
 
Hili suala tulijadili kwa Logic!

Iwapo tunaambiwa kusamehe mara sabini mara saba, inakuwaje hawa wasimalize tofauti zao sababu naona hivi vita vyao sisi nyasi tunaumia.

Okay unaweza kusema kwamba Shetani hajarepent (kuomba msamaha) ndio maana hajapewa msamaha, lakini je inamaanisha Mungu anapenda kuombwa ombwa na kunyenyekewa kiasi kwamba hatoi msamaha mpaka aombwe.

Na je, Hadithi za Mwana Mpotevu, Je inamaanisha siku Shetani akirudi na kupiga magoti atasamehewa ? Au kuna Muda wa kuomba msamaha ukipita ndio basi.

Au baada ya kukaa Motoni kwa karne kadhaa huenda ukapita msamaha kama wa wafungwa na kila mtu akawa huru na sio hawa tu ambao walijinyima bata huku duniani?

NB: Kama kuna anayeweza kunielewesha haya logically kwa kanuni za imani yake naomba tujadili (na sio kutumia kanuni za multiplication kwenye paraghraph moja na ya Pili kutumia kanuni za Addition) yaani inconsistency!

Huyo mungu ni kama Marekani kwa Urusi. Badala apambane na adui yake moja kwa moja, anawasukumizia Ukraine (waumini) wake eti ndo wapigane na Urusi.

Yeye amejifucha eti anawapa silaha, ujuzi na rasilimali za kila aina ya mahitaji ya kivita.

Uadui ni kati yake mungu na shetani, inabidi amfuate adui yake wamalizane.
 
Swali lako ni logical phallacy maana unahitaji kujibiwa swala la imani kwa kutumia logic how? Hebu tumia logic ku prove kwamba binadamu ana nafsi?
Ukiweka premises / assumptions za imani fulani according to imani yao na rules za imani yao kama mtiririko upo consistent ita-make a logical sense..., sasa katika hizi imani hata mtiririko haupo yaani maneno yao yanajipinga yenyewe...,

Nimewapa leeway kwa kutumia vitabu vyao na imani yao wanieleweshe nipate kuelewa / wanachokielewa au where do I miss a point...
 
Huyo mungu ni kama Marekani kwa Urusi. Badala apambane na adui yake moja kwa moja, anawasukumizia Ukraine (waumini) wake eti ndo wapigane na Urusi.

Yeye amejifucha eti anawapa silaha, ujuzi na rasilimali za kila aina ya mahitaji ya kivita.

Uadui ni kati yake mungu na shetani, inabidi amfuate adui yake wamalizane.
Tena huwa nashangaa wale wanaompigania sijui kumsaidia kupunguza maadui zake, sijui kati yao na yeye nani mwenye nguvu zaidi
 
Ndugu yangu ukijua ni watu gani, au ni watu wa namna gani watakao ingia mbinguni (Kuiona pepo) basiii maisha yanakua rahis sana.

Unaijua Tiketi ya Kuingia Mbinguni ni nini?
 
Halafu pia kwanini Mungu hadi sasa hajaamua kumsinyasinya shetani ili tuishi kama alivyokusudia??
Ina maana kakubali kuwa miaka yote hii tuishi na matatizo alosababisha shetani wakati angeweza kumshughulikia na kufanya sisi tuishi kwa amani na salama

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Pili kuwa-fair zaidi labda angetupa option kwamba nikuumbe ili uende duniani uteseke kwa kuchanganywa na huyu shetani na ukishindwa nitakuchoma moto wa milele au kama hutaki basi nisikuumbe....

Nadhani hapo ingekuwa fair na free will ya kweli kwamba maji tuliyavulia nguo na lazima tuyaoge sio sasa hatuna choice zaidi ya hizi mbili ambazo huenda mtu unataka a third choice ambayo haipo
 
Ndugu yangu ukijua ni watu gani, au ni watu wa namna gani watakao ingia mbinguni (Kuiona pepo) basiii maisha yanakua rahis sana.

Unaijua Tiketi ya Kuingia Mbinguni ni nini?
Naomba nieleze ili niweze kuikata.....,

Pili Je kama mtu hataki kuingia huko (Kwani kuna nini huko) Sababu kama ni kuimba na kusifia to infinity jambo ambalo wengine hata tukiwa kwenye party ya masaa tushaboreka..., unaweza kusema Mbingu yako kwa Mwingine inaweza ikawa Jehanum
 
Jamii forum ni jukwaa na kujifunza mambo mambo mbalimbali kutoka kwa wenzako.

Ukiwa allknowing, wanachoongea wenzako sio cha maana, unajiona wewe tu ndio mjuaji ni kwamba hufai kwenye majadiliano.

Kila mtu ana kitu cha kujifunza.
 
Simuhukumu mtu.
Ila nahukumu adhabu za Binadamu kuchinja binadamu wengie eti kwa kisingizio cha kutenda dhambi fulani wakati nao pia wanatenda dhambi pia tena inawezekana kupita wao.
Kwahio kuhukumu adhabu za Binadamu ni ruksa, kwenye Imani yako, Sikatai hata mimi matendo mengi tu ya pande nyingi za Imani naona hayafai (as long as yana-inflict pain kwa mwingine) ila to go as far as kusema wale wanapotea na mimi ndio nipo sahihi wakati wote mpo gizani, nadhani is opening a can of worms ambapo mwisho wake utakuwa ni kupigana na kurushiana vijembe (which I don't think is allowed in any so called book of God)
Yesu alipoletewa mwanamke mzinzi ili auliwe alisema jambo moja tu.

Anayeona hajawahi kutenda dhambi awe wa kwanza kumpiga mawe huyu mwanamke.
Wote walikimbia kwa kusutwa na nafsi zao.

Kama mtu katenda dhambi mwache huyo Mungu wake atajua cha kumfanya.
And Yet alikasirika wale walioanzisha biashara na kufanya Biashara kwenye nyumba ya Baba yake ? Kwanini hakuacha baba yake ndio atoe Hukumu au na yeye ana mandate ya kutoa Hukumu ?, Na kwanini hakutoa Hukumu kwa Mwanamke Mzinzi au Uzinzi ni Poa kuliko kufanya Biashara kwenye Nyumba ya Baba yake ambayo huenda ni hao hao wafanyabiashara ndio walitoa tozo za kuijenga ?!!!
 
Jamii forum ni jukwaa na kujifunza mambo mambo mbalimbali kutoka kwa wenzako.

Ukiwa allknowing, wanachoongea wenzako sio cha maana, unajiona wewe tu ndio mjuaji ni kwamba hufai kwenye majadiliano.

Kila mtu ana kitu cha kujifunza.
Nani kafanya hivyo ? , Ungem-Qoute directly angeweza kukujibu na hoja hujibiwa kwa hoja...

Pili kwenye Imani hakuna wright or wrong in respect to muumini sababu ndicho anachokiamini, LAKINI kama anaamini maji basi hatuwezi kubisha..., ila akianza kutwambia kwamba maji at STP yanaboil katika nyuzi sifuri tutaweza kupinga sababu hio sio kweli as far as we know..., na hata tukikubali hilo kesho akaja akasema nyuzi tano, keshokutwa kumi na mtondogoo akasema sita, hapo tutakuwa tuna haki ya kumuuliza kwanini hayupo consistent na huenda ana-make things as he/she goes along na huenda Imani yake ikabadilika kutokana na different facts at hand au na sisi tukabadilika na kuamini kama yeye kwa kupata information kama zake...
 
Kwahio kuhukumu adhabu za Binadamu ni ruksa, kwenye Imani yako, Sikatai hata mimi matendo mengi tu ya pande nyingi za Imani naona hayafai (as long as yana-inflict pain kwa mwingine) ila to go as far as kusema wale wanapotea na mimi ndio nipo sahihi wakati wote mpo gizani, nadhani is opening a can of worms ambapo mwisho wake utakuwa ni kupigana na kurushiana vijembe (which I don't think is allowed in any so called book of God)

And Yet alikasirika wale walioanzisha biashara na kufanya Biashara kwenye nyumba ya Baba yake ? Kwanini hakuacha baba yake ndio atoe Hukumu au na yeye ana mandate ya kutoa Hukumu ?, Na kwanini hakutoa Hukumu kwa Mwanamke Mzinzi au Uzinzi ni Poa kuliko kufanya Biashara kwenye Nyumba ya Baba yake ambayo huenda ni hao hao wafanyabiashara ndio walitoa tozo za kuijenga ?!!!
Wale walikuwa wanafanya bishasha kanisani na kusababisha wezi kuwaibia waumini.
Na hakumwua hata mmoja ni kwamba aliwafukuza tu.
Nao wenyewe waliona Yesu yuko sahihi na wakaondoka kwa amani kabisa na kutafua maeneo mengine ya Biashara.

Ninachosema Usiue kwa kisingizio cha watu kumkosea Mungu.
 
Nani kafanya hivyo ? , Ungem-Qoute directly angeweza kukujibu na hoja hujibiwa kwa hoja...

Pili kwenye Imani hakuna wright or wrong in respect to muumini sababu ndicho anachokiamini, LAKINI kama anaamini maji basi hatuwezi kubisha..., ila akianza kutwambia kwamba maji at STP yanaboil katika nyuzi sifuri tutaweza kupinga sababu hio sio kweli as far as we know..., na hata tukikubali hilo kesho akaja akasema nyuzi tano, keshokutwa kumi na mtondogoo akasema sita, hapo tutakuwa tuna haki ya kumuuliza kwanini hayupo consistent na huenda ana-make things as he/she goes along na huenda Imani yake ikabadilika kutokana na different facts at hand au na sisi tukabadilika na kuamini kama yeye kwa kupata information kama zake...
Mimi nimetoa ushauri. Mwenyewe yupo na anajijua namwongelea yeye.

Yeye kila kitu anajua yeye.
Hajawahi kumkubalia mtu kwa hoja yoyote ile.
Ingefaa awe mhubiri sisi tumsikilize yeye tu.
 
Hiyo iliwekwa na Mungu kwa ajili ya kumuadhibu shetani alipoasi. Kwenye spiritual world kila action ina consequences. Sheria ya uhai na mauti zipo pamoja ila kuna conditions zinazofanya sheria hizo zifanye kazi.
Kwahio iletengezwa after au before alipoasi ?
Mmea ukishikamana na ardhi yenye maji utaendelea kuwa hai ila ukitengana na ardhi basi wala Mungu hahitaji kuuua, unakufa automatically kama consequence ya kuacha ardhi.
Unajua Hydroponics ?
 
Jibu rahisi Shetani hajawahi kwenda Kwa Mungu kutubu na kuomba msamaha angemsamehe

Shetani jeuri hadi Leo hataki kwenda kuomba msamaha
 
Back
Top Bottom