Kwani haiwezekani kwa mtu kuwa mtu wa hasira hasira, mtu mgomvi mgomvi, mtu mwenye matatizo ya akili yanayomfanya asijali morality, matatizo yaliyo katika level ya genetics, kumrithisha mtoto wake matatizo hayo hayo ya kutojali morality kwa kupitia hizo genetics?
Hujui kwamba matatizo mengine ya morality yanaendana na matatizo ya magonjwa ya akili, ambayo yanarithishwa kama vile unavyoweza kurithi magonjwa mengine kama kisukari, sickle cell etc?
What has morality to do with it?
Kuna watu wana matatizo ya akili ya kucheka cheka mda wote, wengine wanakuwa violent, wengine wanakuwa peaceful lakini hayo yote ni irrelevant tukija kwenye issue ya morality.
Lets understand what morality is kwanza...Morality is a set of CODES of conduct ambazo zina govern right from wrong.
Key word hapo ni Code...it means ni principles ESTABLISHED not inherited...Hizi codes zinaweza kuwa established na individual au jamii and they can change with time(refer issue ya ushoga)..... it means morality sio universal.
Morality inatengenezwa na jamii kupitia phylosophy, relogion au culture.
So kitu kinaweza kuwa moral katika jamii hii na kuwa immoral katika jamii nyingine, vile vile kitu kinaweza kuwa moral kichwani mwa huyu na kikawa immoral kichwani kwa mwingine.
Kwahyo kama ipo jamii ambayo kwao kuua ni moral basi it is Moral to them, who are we ro judge?
Ndomaana kuna jamii za canibals wanakula watu and its moral to them.
So by that definition of morality, Hakuna kitu kama inherited morality.
Huwezi kuinherit sense ya haki za ushoga na haki za wanawake, these things are established.
Morality is established.
Eg. In Middle east, it's immoral mwanamke kuonesha nywele wakati hapa bongo tunaachia tu.
So mtu anaweza kumrithisha kupitia DNA mwanae sense ya kufunika kichwa?