Mungu yupo huru kufanya chochote anachojisikia hata kama baadhi ya logic za kibinadamu bado hazijaelewa.Kwahio hawa malaika wenyewe hawakuzaliwa mara ya Pili ? Au hio Option ilikuwa haipo Na kama hii lock / stopper ilikuwepo tangia zamani si ingewekwa wakati anawaumba hawa mashetani ? Kuliko wenyewe kuwaacha na free spirit alafu wewe kupewa hii stopper ya kukuzuia kuasi...
Wale si watuHakuna kamati ninayo iogopa kama ile KAMATI iliyo kaa na kupanga mambo ya Mungu na Shetani, wale jamaa ni watu hatari sana
Jamani, leo nitasoma hiki kitabu maana dah.Tena kwa mujibu wa kitabu cha ayubu shetani na mungu kuna siku huwa wanakutana na KUYAJENGA aisee..
Walimtesa Ayubu,wakaua watoto wake,mifugo yake, wakabomoa nyumba ili wampime halafu wenyewe wako kando wanapiga story...
Mwanadamu hakufanya dhambi akiwa kwenye spirit realm bali alikuwa katika mwili hivyo chance anapewa.Kwahio Binadamu wamepewa a free Pass fulani ambayo Shetani Hakupewa / Hapewi ?
Ukiwa kwenye spirit realm unakuwa na freewill ndio maana shetani aliasi. Sisi wanadamu kwa wale watakaokuwa ndani ya Kristo Yesu wao hawataweza kuasi kwasababu watakuwa na asili ya kiungu. Kumwasi Mungu itakuwa sawasawa na kujiasi mwenyewe kitu ambacho hakiwezekani.Pili kwahio tunaweza kusema kwamba ukiwa Spirit umeondolewa free will (yaani ni kama zezeta Zombie) huwezi kwenda against ?
Yaani Binadamu ni Kama pawns kwenye Chess ya Wengine wakati watu wanateseka huku wenyewe wanasukuma Kete kuona mshindi ni Nani !!!Tena kwa mujibu wa kitabu cha ayubu shetani na mungu kuna siku huwa wanakutana na KUYAJENGA aisee..
Walimtesa Ayubu,wakaua watoto wake,mifugo yake, wakabomoa nyumba ili wampime halafu wenyewe wako kando wanapiga story...
Tafuta upate uhondo ila inabidi uamini yupo ili ukimkosa kusiwe na kupoteza kuliko kuacha kumuamini ukamkuta...π π π πJamani, leo nitasoma hiki kitabu maana dah.
Kwahio hawa ndugu zangu wengine wote watakuwa motoni (ambao sio wa kundi lako) ?Mwanadamu hakufanya dhambi akiwa kwenye spirit realm bali alikuwa katika mwili hivyo chance anapewa.
Ukiwa kwenye spirit realm unakuwa na freewill ndio maana shetani aliasi. Sisi wanadamu kwa wale watakaokuwa ndani ya Kristo Yesu wao hawataweza kuasi kwasababu watakuwa na asili ya kiungu. Kumwasi Mungu itakuwa sawasawa na kujiasi mwenyewe kitu ambacho hakiwezekani.
Kweli aisee kwa akili ya Kidunia viongozi wanaofanya hivyo tunawaita madikteta kwa minajili hio huenda maisha ya duniani yakawa matamu zaidi (free will)Mungu yupo huru kufanya chochote anachojisikia hata kama baadhi ya logic za kibinadamu bado hazijaelewa.
Unfortunately huu ni ukweli mchungu. Christ is the only way. Ni namna gani Mungu atadeal na wale ambao hawajawahi kusikia injili? Hilo tumuachie Mungu mwenyewe ingawa hints zinaonesha atatumia conscience zao.Kwahio hawa ndugu zangu wengine wote watakuwa motoni (ambao sio wa kundi lako) ?
Those were not true christians. Kuwa mkristo sio jina bali ni christ likeness.Kwahio kama hawa wadau kwa tabia zao I can not stand them huku duniani huoni kwamba hata huko takuwa kama kifungoni ? (Au what will change)....
Alijisema Gandhi..., Mahatma Gandhi β 'I like your Christ, I do not like your Christians. Your Christians are so unlike your Christ.'
Sasa huoni according to you Gandhi yupo motoni sasa si ni bora akae huko kuliko angekuwa na watu ambao kwa matendo yao / unafiki hawapendi ?
Maisha ya kwenye ulimwengu wa roho ukiwa ndani ya Kristo ni matamu sana.Kweli aisee kwa akili ya Kidunia viongozi wanaofanya hivyo tunawaita madikteta kwa minajili hio huenda maisha ya duniani yakawa matamu zaidi (free will)
Unapozaliwa mara ya pili sio duniani?Akiwa duniani anaweza kuasi kwasababu anao mwili unaoweza kupata influence ya shetani.
Mimi issue sio kumkuta au kumkosa.., hilo naweza kuishi nalo issue ni jinsi watu wanavyoamini kwamba huyu anaweza kuamua chochote wakati wowote anakisirani na akiamua kudeal na wewe unawekwa kwenye moto ambao haujawahi kuuona, na cha kufanya asubuhi mpaka jioni ni kusifia tuuuu..., Sasa hao wakusifia tu huku tunawaita chawa (kwahio naogopa nisijekuwa chawa)Tafuta upate uhondo ila inabidi uamini yupo ili ukimkosa kusiwe na kupoteza kuliko kuacha kumuamini ukamkuta...π π π π
Kumbe hiyo ni kamati pia?Hakuna kamati ninayo iogopa kama ile KAMATI iliyo kaa na kupanga mambo ya Mungu na Shetani, wale jamaa ni watu hatari sana
Ni dunianiUnapozaliwa mara ya pili sio duniani?