Kwanini muonekano wa jengo Kanisa Katoliki Salasala uko tofauti na unafanana na makanisa ya KKKT?

Kwanini muonekano wa jengo Kanisa Katoliki Salasala uko tofauti na unafanana na makanisa ya KKKT?

Kuna wapuuzi wamekonti utumbo utadhani wamelazimishwa, bora wapite kimya kuliko kukomenti swaga zao
 
Attachments

  • 3B7CB166-CAB2-4457-9AD1-31164141E8FB.png
    3B7CB166-CAB2-4457-9AD1-31164141E8FB.png
    1.5 MB · Views: 8
Wadau hamjamboni nyote?

Ndugu zangu tumezoea kuona majengo ya Kanisa Katoliki maeneo mbalimbali yakiwa na muonekano wa kipekee unaoakisi majengo ya asili ya karne nyingi zilizopita.

Lakini ukitazama jengo la Kanisa Katoliki Salasala Dar es salaam muonekano wake uko tofauti kabisa. Yaani kwa haraka utadhani ni jengo la Kanisa la KKKT

Swali langu ujenzi huo umezingatia vigezo gani? Kwanini uwe tofauti? Kwanini usiendane na makanisa tuliyozoea kama vile St Joseph posta ya zamani au St Peter Oysterbay

Wenye elimu mtujuze

Ramani ya Jengo huwa inategemea na Kiwanja ulichonacho kimekaaje bwashee...!

Usikariri ....! Makanisa Mangapi ya Katoliki na Mangapi ya K.K.K.T umeyaona hadi uje na Conclusion ya namna hiyo?
 
Kwahiyo umekariri hayo makanisa ya mtakatifu Petro Ostabei na hilo la mtakatifu Yosefu ukaja na majumuisho kwamba ndio ujenzi wa Romani, umesafiri mikoa mingapi ukaona ujenzi wa hayo makanisa? Umetembelea Nchi ngapi ukaona hayo makanisa? Kazi kweli kweli
 
Wadau hamjamboni nyote?

Ndugu zangu tumezoea kuona majengo ya Kanisa Katoliki maeneo mbalimbali yakiwa na muonekano wa kipekee unaoakisi majengo ya asili ya karne nyingi zilizopita.

Lakini ukitazama jengo la Kanisa Katoliki Salasala Dar es salaam muonekano wake uko tofauti kabisa. Yaani kwa haraka utadhani ni jengo la Kanisa la KKKT

Swali langu ujenzi huo umezingatia vigezo gani? Kwanini uwe tofauti? Kwanini usiendane na makanisa tuliyozoea kama vile St Joseph posta ya zamani au St Peter Oysterbay

Wenye elimu mtujuze
Mkanisa ya wahuni kila mtu naamka na akili yake
 
Kwani maandiko yameelekeza kwamba miundo ya makanisa ifanane?
Hutaki kuona ubunifu mwingine mkuu
 
Ebu mtu atume picha ya Kanisa la Katoliki la moshi Mjini Kristu Mfalme. Tulinganishe na hii picha ya Kanisa Katoliki la salasala
 
Attachments

  • Screenshot_2024-06-30-03-43-05-338_com.android.chrome~2.jpg
    Screenshot_2024-06-30-03-43-05-338_com.android.chrome~2.jpg
    148.1 KB · Views: 6
  • Screenshot_2024-06-30-03-43-37-576_com.android.chrome~2.jpg
    Screenshot_2024-06-30-03-43-37-576_com.android.chrome~2.jpg
    193.5 KB · Views: 5
  • Screenshot_2024-06-30-03-44-35-041_com.android.chrome~2.jpg
    Screenshot_2024-06-30-03-44-35-041_com.android.chrome~2.jpg
    195.2 KB · Views: 5
  • Screenshot_2024-06-30-03-44-08-116_com.android.chrome~2.jpg
    Screenshot_2024-06-30-03-44-08-116_com.android.chrome~2.jpg
    126.7 KB · Views: 4
  • Screenshot_2024-06-30-03-44-49-380_com.android.chrome~2.jpg
    Screenshot_2024-06-30-03-44-49-380_com.android.chrome~2.jpg
    149.8 KB · Views: 4
Wadau hamjamboni nyote?

Ndugu zangu tumezoea kuona majengo ya Kanisa Katoliki maeneo mbalimbali yakiwa na muonekano wa kipekee unaoakisi majengo ya asili ya karne nyingi zilizopita.

Lakini ukitazama jengo la Kanisa Katoliki Salasala Dar es salaam muonekano wake uko tofauti kabisa. Yaani kwa haraka utadhani ni jengo la Kanisa la KKKT

Swali langu ujenzi huo umezingatia vigezo gani? Kwanini uwe tofauti? Kwanini usiendane na makanisa tuliyozoea kama vile St Joseph posta ya zamani au St Peter Oysterbay

Wenye elimu mtujuze
Wakati wa Ujenzi ulitoa mchango? Si uende pale parokiani ukaulize ? Me nadhani utapata majibu sahihi zaidi ya kuanzisha uzi humu
 
Back
Top Bottom