Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Muulize jirani yako wa Tanga atakuambia aliyefariki.Unajua huwa nakuheshimu sana humu JF! sasa hiki umeandika nini? Nani kafa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muulize jirani yako wa Tanga atakuambia aliyefariki.Unajua huwa nakuheshimu sana humu JF! sasa hiki umeandika nini? Nani kafa?
Huyu wa tashrif kafa leo, mvua hazijanyesha tangu masika zianze late February and early MarchMuulize jirani yako wa Tanga atakuambia aliyefariki.
Huo ni utabiri wangu, zikinyesha nitakuita Majanimapana uje ushuhudie.Huyu wa tashrif kafa leo, mvua hazijanyesha tangu masika zianze late February and early March
Sio Tanga tu,mikoa mingi mvua imesimama na jua ni kali balaa,ila inaonyesha itanyesha kwa fujo,na haitachukua muda mrefu kuisha...Nchi yote inanyesha mvua isipokuwa Tanga. Kuna nini? wataalamu wa hali ya hewa tusaidieni hali hii inasababishwa na nini?
Nilikuwa lushoto wiki iliyopita mvua ilikuwa inanyesha labda kama unataka ya mafuriko nilipanda kiluwaNasikia hata huko milimani Tanga hainyeshi. hata Lushoto hakuna
majani mapana 😀 😀 😀 😀Huo ni utabiri wangu, zikinyesha nitakuita Majanimapana uje ushuhudie.
Tanga imejaa dhuluma kila kona!!Nchi yote inanyesha mvua isipokuwa Tanga. Kuna nini? wataalamu wa hali ya hewa tusaidieni hali hii inasababishwa na nini?
KWA VIPI?Tanga imejaa dhuluma kila kona!!
Kuchakata kumezidiNchi yote inanyesha mvua isipokuwa Tanga. Kuna nini? wataalamu wa hali ya hewa tusaidieni hali hii inasababishwa na nini?
Hapana siyo majani mapana wala sifahamu ni wapi.majani mapana 😀 😀 😀 😀
NAKWAMBIA SHIDA TUPUKunani paleeeee...Tanga,mbona kila kitu kimekufa,Tangaaaaa...mwaka huu ugali moto,mboga moto
kila mahal mvua inachechemea!NAKWAMBIA SHIDA TUPU
Dar iko kwa kutosha.... ypou might be correct but angalau wanapandakila mahal mvua inachechemea!
ki ukwel kama mtu unapata hela pahal ya mkupuo,ni vema ukanunua chakula uweke akiba hata ya two yrs...mamb sio mamboDar iko kwa kutosha.... ypou might be correct but angalau wanapanda