Kwanini mvua hainyeshi Tanga?

Kwanini mvua hainyeshi Tanga?

Nchi yote inanyesha mvua isipokuwa Tanga. Kuna nini? wataalamu wa hali ya hewa tusaidieni hali hii inasababishwa na nini?
Sio Tanga tu,mikoa mingi mvua imesimama na jua ni kali balaa,ila inaonyesha itanyesha kwa fujo,na haitachukua muda mrefu kuisha...
 
Kunani paleeeee...Tanga,mbona kila kitu kimekufa,Tangaaaaa...mwaka huu ugali moto,mboga moto
 
Write your reply...handeni kilindi pia hakuna mvua labda laana imezidi na uchawi.hawa majamaa wachawi sana kila nyumba watoto wanahirizi.
 
Dar iko kwa kutosha.... ypou might be correct but angalau wanapanda
ki ukwel kama mtu unapata hela pahal ya mkupuo,ni vema ukanunua chakula uweke akiba hata ya two yrs...mamb sio mambo
 
Back
Top Bottom