Kwanini Mwamposa asiende kwenye mahosiptali kuombea wagonjwa na tukaona wanapona?

Usidhani wanaoenda pale wanapenda,subiri upate shida ndo uje useme hapa.
 
Magonjwa yasiyoonekana kimwili mfano hasira,ulevi, umalaya,nk na mengine ya kichawi
😂😂😂ulevi huonekani kimwili...hasira...umalaya hee kwanza hayo sio magonjwa Rudi shule usome ugonjwa ni nini...umalaya na ulevi ni tabia na hasira ni hisia tu...Sasa hujaelezea bado nini hakionekani apo na uchawi umeingiaje na kiroho ni nini
 
Swali fyongo hilo., Halina tofauti na maswali ya Mafarisayo kwa Yesu. BTW mimi sio mfuasi wa Mwamposa.

Vv
 
mkuu huyo ni mjasiliamali sio mchungaji
 
Mkuu umepiga Ikulu?

Au jiulize kuna kiwete yeyote uliyekuwa unamjua anatembea kwa kusota matako ambaye amepona?
Aisee, lakini watu bado hawataki kufunguka akili. Ukimuuliza nani unamfahamu kapona wanabaki kusema kwani hujaona kwa Tv dah unabaki kumshangaa tu.
 
Mi simlaumu Mwamposa,wakualumiwa ni wanaoenda, wakiacha enda ataacha utapeli,wakiendelea enda ataendelea watapeli
 
Viongozi weng wa kidini nmeshuhudia wakienda Mahospitali kufanya ibada kwa wagonjwa mkuu... kma hoja ni hio vip kuhusu hospital ambazo zipo chini ya taasisi za kidini??
 
Magonjwa Tabia Pana nguvu ipo nyuma ya hayo kumfanya mtu atamani
 
Mwamposa maombi yake yabawaponya alio waandaa wagonjwa bandia kule hosipitalini kuna wagonjwa wakweli akienda huko anaumbuka
 
Magonjwa Tabia Pana nguvu ipo nyuma ya hayo kumfanya mtu atamani
Si natural...😂😂mtu kuamua kunywa pombe si mwili wake mwenyewe asa mambo ya uchawi yanaingiaje...ndo maana nasema ukisema kitu ni uchawi cjui kiroho unakuwa hausolve tatizo...
 
Si natural...😂😂mtu kuamua kunywa pombe si mwili wake mwenyewe asa mambo ya uchawi yanaingiaje...ndo maana nasema ukisema kitu ni uchawi cjui kiroho unakuwa hausolve tatizo...
Unajua chochote kuhusu negative au positive energy.
Mtu aamui tu isipokuwa Pana msukumo ndani yake
 
Unajua chochote kuhusu negative au positive energy.
Mtu aamui tu isipokuwa Pana msukumo ndani yake
Again...doesn't mean ni uchawi...me nikiamua kunywa pombe doesn't mean Kuna invisible ghost kaniingia akilini kanachezesha wire
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…