bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Ni mtu anaehitaji tiba,tiba ni mbili za kimwili au kirohoUnajua maana ya mgonjwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mtu anaehitaji tiba,tiba ni mbili za kimwili au kirohoUnajua maana ya mgonjwa?
Kiroho ni Nini si tushawakataza kutumia hili Chaka la kujifichiaNi mtu anaehitaji tiba,tiba ni mbili za kimwili au kiroho
Magonjwa yasiyoonekana kimwili mfano hasira,ulevi, umalaya,nk na mengine ya kichawiKiroho ni Nini si tushawakataza kutumia hili Chaka la kujifichia
😂😂😂ulevi huonekani kimwili...hasira...umalaya hee kwanza hayo sio magonjwa Rudi shule usome ugonjwa ni nini...umalaya na ulevi ni tabia na hasira ni hisia tu...Sasa hujaelezea bado nini hakionekani apo na uchawi umeingiaje na kiroho ni niniMagonjwa yasiyoonekana kimwili mfano hasira,ulevi, umalaya,nk na mengine ya kichawi
Swali fyongo hilo., Halina tofauti na maswali ya Mafarisayo kwa Yesu. BTW mimi sio mfuasi wa Mwamposa.Hili ndio swali ninalojiuliza kama kweli huyu ni mchungaji wa ukweli.
Kwa mfano, kwanini tusimuone Mwamposa akiwa Ocean Road hospitali anaombea wagonjwa wa kansa na tukaona wananyanyuka vitandani au madaktari wakathibitisha kupona kwa hao wagonjwa?
Uhuru wa kuabudu umegeuka mtaji kwa wajanja wachache huku wajinga wakiwawatajirisha wenzao.
mkuu huyo ni mjasiliamali sio mchungajiHili ndio swali ninalojiuliza kama kweli huyu ni mchungaji wa ukweli.
Kwa mfano, kwanini tusimuone Mwamposa akiwa Ocean Road hospitali anaombea wagonjwa wa kansa na tukaona wananyanyuka vitandani au madaktari wakathibitisha kupona kwa hao wagonjwa?
Uhuru wa kuabudu umegeuka mtaji kwa wajanja wachache huku wajinga wakiwawatajirisha wenzao.
Aisee, lakini watu bado hawataki kufunguka akili. Ukimuuliza nani unamfahamu kapona wanabaki kusema kwani hujaona kwa Tv dah unabaki kumshangaa tu.Mkuu umepiga Ikulu?
Au jiulize kuna kiwete yeyote uliyekuwa unamjua anatembea kwa kusota matako ambaye amepona?
Mi simlaumu Mwamposa,wakualumiwa ni wanaoenda, wakiacha enda ataacha utapeli,wakiendelea enda ataendelea watapeliAkina Mwamposa na nabii Musa na wenzao wa maponyo na miujiza ni matapeli tu kama matapeli wengine sema wao wametumia kivuli cha dini.
Ila uzuri Yesu alishatutahadharisha na hawa matapeli akina Mwamposa
Mathayo 24:24 NEN
24. Kwa maana manabii wa uongo, nao watafanya ishara kubwa na maajabu mengi ili kuwapotosha, ikiwezekana, hata wale wateule hasa.
Wamefanikiwa sana kuwaroga wanawake hawa matapeli utawaona wamama na wadada wanamiminika kwa hawa matapeli mpaka unawaonea huruma.
Huwa wanatumia madawa (nguvu za giza) kuwapumbuza waumini wao
Au ameenda kuona live cjui...😂Aisee, lakini watu bado hawataki kufunguka akili. Ukimuuliza nani unamfahamu kapona wanabaki kusema kwani hujaona kwa Tv dah unabaki kumshangaa tu.
Viongozi weng wa kidini nmeshuhudia wakienda Mahospitali kufanya ibada kwa wagonjwa mkuu... kma hoja ni hio vip kuhusu hospital ambazo zipo chini ya taasisi za kidini??hospitali wanaamini katika Tiba ya kisayansi mkuu na wala hairuhusiwi mtu kwenda kutoa tiba ya mombi walatiba asili. kama unaumwa nenda Kawe akakuombee utapona. Hata Yesu mwenyewe hakuwahi kwenda Hospital hata aliposikia rafiki yake Mkubwa Lazaro anaumwa hakutaka kwenda kumwangalia walakumuombea hadialipokufa.
Kama unahitaji Kuombewa au una ndugu yako mgonjwa basi mpeleke akafanyiwe maombi kisha uje na mrejesho
Mwisho sio magonjwa yote yanatibika kwa maombi.
Magonjwa Tabia Pana nguvu ipo nyuma ya hayo kumfanya mtu atamani😂😂😂ulevi huonekani kimwili...hasira...umalaya hee kwanza hayo sio magonjwa Rudi shule usome ugonjwa ni nini...umalaya na ulevi ni tabia na hasira ni hisia tu...Sasa hujaelezea bado nini hakionekani apo na uchawi umeingiaje na kiroho ni nini
Mwamposa maombi yake yabawaponya alio waandaa wagonjwa bandia kule hosipitalini kuna wagonjwa wakweli akienda huko anaumbukaHili ndio swali ninalojiuliza kama kweli huyu ni mchungaji wa ukweli.
Kwa mfano, kwanini tusimuone Mwamposa akiwa Ocean Road hospitali anaombea wagonjwa wa kansa na tukaona wananyanyuka vitandani au madaktari wakathibitisha kupona kwa hao wagonjwa?
Uhuru wa kuabudu umegeuka mtaji kwa wajanja wachache huku wajinga wakiwawatajirisha wenzao.
Si natural...😂😂mtu kuamua kunywa pombe si mwili wake mwenyewe asa mambo ya uchawi yanaingiaje...ndo maana nasema ukisema kitu ni uchawi cjui kiroho unakuwa hausolve tatizo...Magonjwa Tabia Pana nguvu ipo nyuma ya hayo kumfanya mtu atamani
Unajua chochote kuhusu negative au positive energy.Si natural...😂😂mtu kuamua kunywa pombe si mwili wake mwenyewe asa mambo ya uchawi yanaingiaje...ndo maana nasema ukisema kitu ni uchawi cjui kiroho unakuwa hausolve tatizo...
Again...doesn't mean ni uchawi...me nikiamua kunywa pombe doesn't mean Kuna invisible ghost kaniingia akilini kanachezesha wireUnajua chochote kuhusu negative au positive energy.
Mtu aamui tu isipokuwa Pana msukumo ndani yake
Umesema vyemaMi simlaumu Mwamposa,wakualumiwa ni wanaoenda, wakiacha enda ataacha utapeli,wakiendelea enda ataendelea watapeli
kuna tofauti ya ibada na maombi.Viongozi weng wa kidini nmeshuhudia wakienda Mahospitali kufanya ibada kwa wagonjwa mkuu... kma hoja ni hio vip kuhusu hospital ambazo zipo chini ya taasisi za kidini??
Ishu za spirit hizo, huwezi kunywa tuAgain...doesn't mean ni uchawi...me nikiamua kunywa pombe doesn't mean Kuna invisible ghost kaniingia akilini kanachezesha wire