Kwanini Mwamposa asiende kwenye mahosiptali kuombea wagonjwa na tukaona wanapona?

Kwanini Mwamposa asiende kwenye mahosiptali kuombea wagonjwa na tukaona wanapona?

Usidhani wanaoenda pale wanapenda,subiri upate shida ndo uje useme hapa.
 
Magonjwa yasiyoonekana kimwili mfano hasira,ulevi, umalaya,nk na mengine ya kichawi
😂😂😂ulevi huonekani kimwili...hasira...umalaya hee kwanza hayo sio magonjwa Rudi shule usome ugonjwa ni nini...umalaya na ulevi ni tabia na hasira ni hisia tu...Sasa hujaelezea bado nini hakionekani apo na uchawi umeingiaje na kiroho ni nini
 
Hili ndio swali ninalojiuliza kama kweli huyu ni mchungaji wa ukweli.

Kwa mfano, kwanini tusimuone Mwamposa akiwa Ocean Road hospitali anaombea wagonjwa wa kansa na tukaona wananyanyuka vitandani au madaktari wakathibitisha kupona kwa hao wagonjwa?

Uhuru wa kuabudu umegeuka mtaji kwa wajanja wachache huku wajinga wakiwawatajirisha wenzao.
Swali fyongo hilo., Halina tofauti na maswali ya Mafarisayo kwa Yesu. BTW mimi sio mfuasi wa Mwamposa.

Vv
 
Hili ndio swali ninalojiuliza kama kweli huyu ni mchungaji wa ukweli.

Kwa mfano, kwanini tusimuone Mwamposa akiwa Ocean Road hospitali anaombea wagonjwa wa kansa na tukaona wananyanyuka vitandani au madaktari wakathibitisha kupona kwa hao wagonjwa?

Uhuru wa kuabudu umegeuka mtaji kwa wajanja wachache huku wajinga wakiwawatajirisha wenzao.
mkuu huyo ni mjasiliamali sio mchungaji
 
Mkuu umepiga Ikulu?

Au jiulize kuna kiwete yeyote uliyekuwa unamjua anatembea kwa kusota matako ambaye amepona?
Aisee, lakini watu bado hawataki kufunguka akili. Ukimuuliza nani unamfahamu kapona wanabaki kusema kwani hujaona kwa Tv dah unabaki kumshangaa tu.
 
Akina Mwamposa na nabii Musa na wenzao wa maponyo na miujiza ni matapeli tu kama matapeli wengine sema wao wametumia kivuli cha dini.

Ila uzuri Yesu alishatutahadharisha na hawa matapeli akina Mwamposa

Mathayo 24:24 NEN​

24. Kwa maana manabii wa uongo, nao watafanya ishara kubwa na maajabu mengi ili kuwapotosha, ikiwezekana, hata wale wateule hasa.

Wamefanikiwa sana kuwaroga wanawake hawa matapeli utawaona wamama na wadada wanamiminika kwa hawa matapeli mpaka unawaonea huruma.

Huwa wanatumia madawa (nguvu za giza) kuwapumbuza waumini wao
Mi simlaumu Mwamposa,wakualumiwa ni wanaoenda, wakiacha enda ataacha utapeli,wakiendelea enda ataendelea watapeli
 
hospitali wanaamini katika Tiba ya kisayansi mkuu na wala hairuhusiwi mtu kwenda kutoa tiba ya mombi walatiba asili. kama unaumwa nenda Kawe akakuombee utapona. Hata Yesu mwenyewe hakuwahi kwenda Hospital hata aliposikia rafiki yake Mkubwa Lazaro anaumwa hakutaka kwenda kumwangalia walakumuombea hadialipokufa.

Kama unahitaji Kuombewa au una ndugu yako mgonjwa basi mpeleke akafanyiwe maombi kisha uje na mrejesho

Mwisho sio magonjwa yote yanatibika kwa maombi.
Viongozi weng wa kidini nmeshuhudia wakienda Mahospitali kufanya ibada kwa wagonjwa mkuu... kma hoja ni hio vip kuhusu hospital ambazo zipo chini ya taasisi za kidini??
 
😂😂😂ulevi huonekani kimwili...hasira...umalaya hee kwanza hayo sio magonjwa Rudi shule usome ugonjwa ni nini...umalaya na ulevi ni tabia na hasira ni hisia tu...Sasa hujaelezea bado nini hakionekani apo na uchawi umeingiaje na kiroho ni nini
Magonjwa Tabia Pana nguvu ipo nyuma ya hayo kumfanya mtu atamani
 
Hili ndio swali ninalojiuliza kama kweli huyu ni mchungaji wa ukweli.

Kwa mfano, kwanini tusimuone Mwamposa akiwa Ocean Road hospitali anaombea wagonjwa wa kansa na tukaona wananyanyuka vitandani au madaktari wakathibitisha kupona kwa hao wagonjwa?

Uhuru wa kuabudu umegeuka mtaji kwa wajanja wachache huku wajinga wakiwawatajirisha wenzao.
Mwamposa maombi yake yabawaponya alio waandaa wagonjwa bandia kule hosipitalini kuna wagonjwa wakweli akienda huko anaumbuka
 
Magonjwa Tabia Pana nguvu ipo nyuma ya hayo kumfanya mtu atamani
Si natural...😂😂mtu kuamua kunywa pombe si mwili wake mwenyewe asa mambo ya uchawi yanaingiaje...ndo maana nasema ukisema kitu ni uchawi cjui kiroho unakuwa hausolve tatizo...
 
Si natural...😂😂mtu kuamua kunywa pombe si mwili wake mwenyewe asa mambo ya uchawi yanaingiaje...ndo maana nasema ukisema kitu ni uchawi cjui kiroho unakuwa hausolve tatizo...
Unajua chochote kuhusu negative au positive energy.
Mtu aamui tu isipokuwa Pana msukumo ndani yake
 
Unajua chochote kuhusu negative au positive energy.
Mtu aamui tu isipokuwa Pana msukumo ndani yake
Again...doesn't mean ni uchawi...me nikiamua kunywa pombe doesn't mean Kuna invisible ghost kaniingia akilini kanachezesha wire
 
Back
Top Bottom