Kwanini Mwamposa asiende kwenye mahosiptali kuombea wagonjwa na tukaona wanapona?

hospitali wanaamini katika Tiba ya kisayansi mkuu na wala hairuhusiwi mtu kwenda kutoa tiba ya mombi walatiba asili. kama unaumwa nenda Kawe akakuombee utapona. Hata Yesu mwenyewe hakuwahi kwenda Hospital hata aliposikia rafiki yake Mkubwa Lazaro anaumwa hakutaka kwenda kumwangalia walakumuombea hadialipokufa.

Kama unahitaji Kuombewa au una ndugu yako mgonjwa basi mpeleke akafanyiwe maombi kisha uje na mrejesho

Mwisho sio magonjwa yote yanatibika kwa maombi.
 
Unajua kwanini hatokwenda?!!!! Nikwasababu Hospitali ndio kuna wagonjwa HALISI!!!!!
 

Ni ajabu sana kuongelea imani halafu huamini katika uwepo wa Mungu. Umeshajivuruga ndugu.
 

Sababu

Mathayo 11:28​

Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.
 
POINT sawa kabisa
Waanajitajirisha tu kwa hayo maupako yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…