Kwanini Mwamposa asiende kwenye mahosiptali kuombea wagonjwa na tukaona wanapona?

Huyu kajaa drama tupu! Maeneo hayo huwezi muona! Kuna mwingine anaomba sadaka hadi kwa wagonjwa wanaoenda Muhimbili!! Chezea Mashimo wewe!!
 
Kuna mtasha mmoja alishangaa na kucheka alipokua anaona mara Kwa mara naangalia vipindi mbalimbali vya manabii Hawa wa bongo. siku Moja akaniambia hayo unayoona ni uwongo, nikamshangaa na kubisha sana.... Kuna siku akanibebea kitabu kinaitwa CHURCH MAFIA, baada ya kukimaliza nikaona nibaki tu na Ukatoliki wangu
 
Kule.................
Kule kuna watu wenye imani tofauti.
Kule sauti za juu hazitakiwi.
Kule kuna mlipuko wa magonjwa ya kuambukiza na yasiyoambukiza.
Hospital ni sehemu ambayo ina taratibu na sheria zake za afya.
 
Kuna Nabii James Nyakia yuko pale Mwenge mpakani mpaka kulaza wagonjwa analaza hata sijui kama Wizara ya Afya wana taarifa naye. Anafanya vipimo vya CT Scan,X-ray MRI kwa kutumia viganja vya mikono yake na wajinga wanamuamini. Vipimo hivyo ni Tsh.10,000/- na matibabu ni kachupa kadogo ka asali ka ml 20 na bei ni kuanzia 70,000/- hadi 300,000/- Huyu jamaa anawanyoosha kweli kweli wajinga.
 
Utapeli tu hakuna anayepona

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Ili aharibu platform? Ili apunguze kiwango cha maokoto ktoka kwa ndinazi, Acha aendelee kuwagongesha
 
Naona anguko lako liko jirani sana
 
Hospital unaruhusiwa kufanya maombi ,mbona wakatolic wanaenda huko kuwatia wagonjwa matumaini na sala?
 
😂Watakujibu hoo Mungu hapimwi, Inabidi uwe na Imani ndo upondwi, Mungu kazidi Sayansi, blah blah hoo cjui...😂
 
Umeongea facts Sana nimependa
 
Hapo kwenye sio magonjwa yote yanatibika kwa maombi? So Mungu wake ana limits
 
Ukisoma vitabu vingine ndo utagundua ukatoliki nao ni bomba la uhuni..sema Baki tu huko coz ndo unapotaka. 😂Ila ni mule mule tu ..mnapigwa kiakili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…