Kwanini Mwamposa asiende kwenye mahosiptali kuombea wagonjwa na tukaona wanapona?

Kumbe yesu baadhi ya magonjwa kwake ni ngoma nzito??? Sasa mbona huwa wanasema anaweza yote??
Anaweza yote Kwa wanaomwamini halazimishi mtu

Aliye hospitali anaamini dawa zaidi haiwezekani unfuate hospital mtu ana Imani kwenye dawa
Kote duniani Kuna uponyaji aina mbili wa Hospital na spiritual Healing .Mtu mwenyewe huamua aende wapi Huwa hawaingilia
 
Hakuna popote katika maandiko, madhabahu ilifuata watu, watu ndio waliochukua hatua kuifuata madhabahu kuponywa madhaifu Yao.
 
Ndugu, hao wanaoenda kwake wanafanya hivyo kwa hiyari yao, hawajalazimishwa. Hauna sababu ya kuwa na uchungu na hela isiyo ya kwako, otherwise uniambie kuwa ulimpa mtu hela ya ada ukashangaa akaipeleka kwa Mwamposa
Ndo maana wenzetu wanaendelea kifikra na kitechnology sisi tunatukuza ujinga na kuupa sifa ya imani
 
Una uhakika wale wagonjwa wa cancer walioko pale ocean road hospital wakipelekwa Kwa mwamposa watapona
 
Acha kutetea utoto...dawa si Imani..dawa ni kitu ambacho kipo empirically tested na proven kuwork given certain conditions na mpaka umepewa dawa hiyo there r high chances utapona coz dawa haijaundwa tu na maneno cjui upone katika jina la myahudi no ..imeandaliwa kulingana na tafiti na asili ya mwili kikemia na kibaiolojia...wee mwenyewe ukiumwa kichwa saa hivi huendi kwa mwamposa unatafuta Panadol unameza kikipona doesn't mean umepona coz una imani na Panadol...umepona coz Panadol works
 
Hatuwezi kufunga maduka ya kutibu watu.
 
Usitusomee novel
 
Sijasema anapona sababu ana Imani na dawa ninachosema Kuna wanaoamini hospitali kuliko maombi ni Haki Yao

Hospitali hukiri wazi kuwa wao hawawezi Kila kitu ndio maana hospitali zina mortuary ujue kabisa kuwa waweza pona au kuishia mortuary

Mtu kama anaamini hospitali huwezi force mtu eti amfuate hospital
 
hahahaha.
 

Kwanini unadharau kada za watu!!!

Embu heshimu waganga wa kienyeji basi.
 
Mwamposa hawezi kwenda hospitalini kuponya wagonjwa maana huko kuna wagonjwa wa kweli.
Huko kwake wanaenda wagonjwa wa kuigiza na wanaopewa fedha kuigiza ugonjwa.
 

1. Ukiombewa ukapona =mchungaji ana upako .

2. Ukiombewa usipopona =hauna imani bado hivyo inabidi uzidishe ibada za ziada ili imani iongezeke (na kwa ibada za ziada kuna kutoka mpunga mrefu mno).
 
Mungu hayupo ? Hii ni fact au oppinion? Na kama ni fact how did you conclude?
 
Imani yako itakuponya!!
Ataendaje hosp na watu wanaamini dawa ndio zitawaponya....
Kutumia mafuta kama sehemu ya uponyaji ukishirikisha na maombi ni ushirikina. Mafuta na maji ya upako ni biashara kama biashara zingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…