Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
hapa jf anaendesha zaidi ya ID 1000. mimi namsifu kwa uwezo wake wa kukumbuka password ya kila ID.Huyu mwananzengo wa JF, ambaye pia ni mwana somba wa MSIMBAZI mwenye mapenzi tele kwa Magufuli, ambaye pia amekuwa akijitanabahisha kuwa yeye ni mtu wa Mara mwenye asili ya Rwanda [emoji1206].
Memba huyu msomi wa nyegezi, mwenye akili sana anayependwa sana na watu, ila wachache wenye husda ndio humsababishia ban za mara kwa mara.
Kwanini anatambulika kwa wengi kama popoma? Zaidi yake mbona sijawahi kusikia memba mwingine akiitwa kwa jina hilo?
Of course siyo muasisi ila amekuwa akipenda kulitumia sana kukebehia watu...Yeye ndo muasisi wa hilo so jina limemgeukia
Ya kweli hayo?hapa jf anaendesha zaidi ya ID 1000. mimi namsifu kwa uwezo wake wa kukumbuka password ya kila ID.
ukute ktk ID zinazokomenti kwenye uzi huu, baadhi ni zake.
SikijuiKirefu cha popoma tafadhali
Hebu tupe hiyo listJamaa ni kiazi sana kwa kati ya wana jf vilaza hakosi top10
Muulize braza Matola atakujibu πHuyu mwananzengo wa JF, ambaye pia ni mwana Simba wa MSIMBAZI mwenye mapenzi tele kwa Magufuli, ambaye pia amekuwa akijitanabahisha kuwa yeye ni mtu wa Mara mwenye asili ya Rwanda π·πΌ.
Memba huyu msomi wa nyegezi, mwenye akili sana anayependwa sana na watu, ila wachache wenye husda ndio humsababishia ban za mara kwa mara.
Kwanini anatambulika kwa wengi kama popoma? Zaidi yake mbona sijawahi kusikia memba mwingine akiitwa kwa jina hilo?
DuhPopoma ni mkurupukaji(maana iliyowazi)
Popoma ni shabiki wa fisiemu(maana fiche)
OkPopoma ni msamiati anayeutumia sana kwenye maandiko yake kuita watu wengine. Kageuziwa kibao kwa kuitwa yeye ndiye popoma kwa kujifanya ni mjuaji wa mambo mengi