Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,453
- 111,795
Ana note book kahifadhi I'd na password zake.hapa jf anaendesha zaidi ya ID 1000. mimi namsifu kwa uwezo wake wa kukumbuka password ya kila ID.
ukute ktk ID zinazokomenti kwenye uzi huu, baadhi ni zake.
Na wenge BCBG ndio bendi bora kuwahi kutokea ulimwenguni...ukimbishia na hili lazima uoge mitusikwasababu hupenda kusikia mazuri yake tu. yaani akisema Manula ni golikipa namba moja duniani wote museme ndiyooo. akisema SAUT ndiyo chuo cha pili kwa ubora duniani baada ya HAVARD wote mseme kweli kabisa. ukimpinga anatukana
Huyu ikifika mwakani mwezi kama huu hajapata ajira bado chupi atavaa kichwani.Muulize braza Matola atakujibu π
[emoji1787][emoji1787], popomer ni mwehu kbsa, huwa hatak kumpinga na kile anachokiweka kweny nyuzi zakekwasababu hupenda kusikia mazuri yake tu. yaani akisema Manula ni golikipa namba moja duniani wote museme ndiyooo. akisema SAUT ndiyo chuo cha pili kwa ubora duniani baada ya HAVARD wote mseme kweli kabisa. ukimpinga anatukana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ID zake zinakuja kujibu. Atatanguliza 8 kwanza
Memba huyu msomi wa nyegezi, mwenye akili sana anayependwa sana na watu, ila wachache wenye husda ndio humsababishia ban za mara kwa mara.[emoji23]Huyu mwananzengo wa JF, ambaye pia ni mwana Simba wa MSIMBAZI mwenye mapenzi tele kwa Magufuli, ambaye pia amekuwa akijitanabahisha kuwa yeye ni mtu wa Mara mwenye asili ya Rwanda [emoji1206].
Memba huyu msomi wa nyegezi, mwenye akili sana anayependwa sana na watu, ila wachache wenye husda ndio humsababishia ban za mara kwa mara.
Kwanini anatambulika kwa wengi kama popoma? Zaidi yake mbona sijawahi kusikia memba mwingine akiitwa kwa jina hilo?
Hahaha!! uzi anaweza kuanzisha na kufika page hata kumi huku ID zote zikiwa zake akijiQuote mwenyewe..hapa jf anaendesha zaidi ya ID 1000. mimi namsifu kwa uwezo wake wa kukumbuka password ya kila ID.
ukute ktk ID zinazokomenti kwenye uzi huu, baadhi ni zake.
popoma must be suffering from something very serious. it could be a psychological disorder that connects directly with his mental health.Ana note book kahifadhi I'd na password zake.
ID number 500 ya popoma ikifatilia mjadala kwa umakini.Katika zile I'd za popoma hii ni I'd namba 235.
I'd namba moja ipo stoo inasikilizia mashambulizi mazito ili iweze kuyakabiri.
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Huwa anajamba bila staha.Lazima aitwe lipopoma.πππππ
Sasa kwanini umchalenji challenge mwenzio? We unadhani raha?popoma must be suffering from something very serious. it could be a psychological disorder that connects directly with his mental health.
ukichunguza nyuzi zake utagundua hili. haiwezekani katika hali ya kawaida mtu mmoja umiliki zaidi ya ID 1000 jf.
kingine ni ile tabia yake ya ku react haraka na kuanza kutukana hovyo kila anapokuwa challenged. na hii ndio inasababisha ile ID yake maarufu iwe inakula ban kila mara.
Naona I'd namba 614 imekuja kupooza mashambulizi hapa ndugu wafatiliaji.Member huyu uandishi wake ni wa kujiamini sana, anaandika kwa msisitizo kama una uvivu wa kusoma ni ngumu kuelewa nyuzi zake, ana mafumbo mengi na lugha za kibabe hasa akiudhiwa hujibu kwa tusi analoona linafaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa kwanini umchalenji challenge mwenzio? We unadhani raha?