Kwanini mwanamke mwenye miaka 30+ asiolewe?

Leo nakuunga mkono mwalimu.

Kama mwanamke ana vigezo vyote unavyohitaji, na huo umri wa 30, kwanini sasa asiolewe?

Utajali miaka au experiences unazopata ukiwa nae?

Eti 'wametumika sana' kwani kile kiungo kina makombo?

Jamii yetu inajisahau sana.
Huyo anatakiwa apelekwe mahakamani. Amedharirisha sana wanawake.
 
Umeanza vizuri baadae unawatupia vijembe 🀣🀣 acha unafki
 
Bado sijaoa kaka, naendelea kutest engine kama itaendelea hivi hivi namalizia vibali nachukua mazima
ukishamaliza vibali ndo engine inafeli sasahivi inatembelea choki..πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…