Kommando muuza madafu
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 3,216
- 7,254
Huyo anatakiwa apelekwe mahakamani. Amedharirisha sana wanawake.Leo nakuunga mkono mwalimu.
Kama mwanamke ana vigezo vyote unavyohitaji, na huo umri wa 30, kwanini sasa asiolewe?
Utajali miaka au experiences unazopata ukiwa nae?
Eti 'wametumika sana' kwani kile kiungo kina makombo?
Jamii yetu inajisahau sana.