OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rekebisha heading yako. Nguzo za Uislam ni 5Swali la uelewa
Kwa nini mama wa kiislamu kuwa rais ni kukiuka mafunzo ya Mtume Muhamadi?
Huu ni uelewa tu, kwa hiyo tujengeane uwezo bila jazba wala kashfa
c.c FaizaFoxy
kwa hiyo niwekeje headingRekebisha heading yako. Nguzo za Uislam ni 5
1. Kusadiki imani ya Kiislam kwamba Mungu ni 1 na Muhammad ni mjumbe wake
2. Kusali sala 5
3. Kutoa zaka
4. Kufunga Ramadhan
5. Kuhiji Makka
Sasa mwanamke akiwa Rais ni nguzo gani imekiukwa?
Unamaanisha kula kitimoto, kuzini, kuiba na kuua ni ruksa kwenye uislamu sababu havipo kwenye hizo nguzo 5??Rekebisha heading yako. Nguzo za Uislam ni 5
1. Kusadiki imani ya Kiislam kwamba Mungu ni 1 na Muhammad ni mjumbe wake
2. Kusali sala 5
3. Kutoa zaka
4. Kufunga Ramadhan
5. Kuhiji Makka
Sasa mwanamke akiwa Rais ni nguzo gani imekiukwa?
Huyo anajichanganyakwa hiyo niwekeje heading
Rekebisha heading yako. Nguzo za Uislam ni 5
1. Kusadiki imani ya Kiislam kwamba Mungu ni 1 na Muhammad ni mjumbe wake
2. Kusali sala 5
3. Kutoa zaka
4. Kufunga Ramadhan
5. Kuhiji Makka
Sasa mwanamke akiwa Rais ni nguzo gani imekiukwa?
Sio kukiuka nguzo za uislamu,siku nyingine kabla haujazungumzia jambo jaribu kufanya utafiti angalau kidogo Ili ujue unachokizungumzia ni kitu Gani.Swali la uelewa
Kwa nini mama wa kiislamu kuwa rais ni kukiuka mafunzo ya Mtume Muhamadi?
Huu ni uelewa tu, kwa hiyo tujengeane uwezo bila jazba wala kashfa
c.c FaizaFoxy
Usitupangie tuliotayari Kama hautaki Baki na uibilisi wakoHizi dini ni majanga matupu..zilipaswa vitabu vyake. Vifungiwe museums au vifundishwe kama historia sio kuaminishana.
#MaendeleoHayanaChama
Umepiga na kitu kizito sana chenye ncha kali kichwani..Unamaanisha kula kitimoto, kuzini, kuiba na kuua ni ruksa kwenye uislamu sababu havipo kwenye hizo nguzo 5??
umeelewekaSio kukiuka nguzo za uislamu,siku nyingine kabla haujazungumzia jambo jaribu kufanya utafiti angalau kidogo Ili ujue unachokizungumzia ni kitu Gani.
Nikienda kwenye hoja ya msingi ,Kwa taratibu za kimafundisho ya kiislamu mwanamke anatakiwa atulizane nyumbani kwake,na uislamu hautambui nafasi ya uongozi Kwa mwanamke kwa nafasi yoyote Ile sio tu urais bali hata mwenyekiti wa mtaa. Uislamu unawataka wanaume wawe wasimamizi wa wanawake.
Duuuh aisee hii ni balaa.Sio kukiuka nguzo za uislamu,siku nyingine kabla haujazungumzia jambo jaribu kufanya utafiti angalau kidogo Ili ujue unachokizungumzia ni kitu Gani.
Nikienda kwenye hoja ya msingi ,Kwa taratibu za kimafundisho ya kiislamu mwanamke anatakiwa atulizane nyumbani kwake,na uislamu hautambui nafasi ya uongozi Kwa mwanamke kwa nafasi yoyote Ile sio tu urais bali hata mwenyekiti wa mtaa. Uislamu unawataka wanaume wawe wasimamizi wa wanawake.
hizo zinapatikana kwenye nguzo za Iman ambapo mojawapo ni kuamini Quran na yote hayo yamo kwenye QuranHuyo anajichanganya
Hapo kwenye nguzo 5 umeona kuna kuua? Kuiba? Kuzini? Je hivyo vinaruhusiwa kwenye uislamu?
Hiyo mjinga anajua kila kilichokatazwa kwenye uislamu kinatakiwa kiwe nguzo