kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Sasa ndg zetu Kama ndo hivyo kuna Katazo La Namna hiyo..... nini kifanyike? Semeni Wenyewe Waislamu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sheikh apinga Urais kwa mwanamke
Wanawake wanaweza kuwa viongozi wazuri, sema ni wachache sana. Wazungu ukiishi kwenye jamii zao, ndio utajua hujui ukijifanya wewe kidume mbele ya wanawake. Wanawake ni smart sana.www.jamiiforums.com
7 September 2020
Profesa Issa Haji Ziddy - Ufafanuzi, wanawake na Uongozi katika Uislam
Prof. Issa Haji Ziddy ambae ni Mhadhiri wa Chuo kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) amesema hakuna mantiki ya kidini ambayo inaweza kumzuia Mwanamke kutokua kiongozi kwa kuwa wanawake wana haki sawa na wanapaswa kuwa viongozi kama walivyo wanaume.
Dr. Issa Ziddy is professor of religious education at the State University of Zanzibar (SUZA).
He obtained his PhD in curriculum development & methodology of teaching from the International University of Africa in Khartoum, Sudan.
His research and publications in Arabic, Swahili, and English concern the history of Islamic education in Zanzibar, Muslim-Christian relations, Gulf-Zanzibar connections, and Islamic teachings on current issues.
He was a visiting scholar in Islamic studies at the University of Leipzig, Institute of Oriental Studies in Germany, Bayreuth University in Germany, and in Northwest College in Wyoming through the Fulbright Visiting Scholar Program.
He has partnered with the government and organizations in Zanzibar seeking to bring Islamic leaders into their work in educating communities on pressing current issues, including gender-based violence, family planning, and positive discipline for children in homes and schools and environmental issues.
Source : TAMWA ZANZIBAR
Nguzo za uislam na sio nguzo za imanhizo zinapatikana kwenye nguzo za Iman ambapo mojawapo ni kuamini Quran na yote hayo yamo kwenye Quran
Hao ni mashehe uledi,Masheikh njaa anaikana Imani yake
nimeuliza swali,au huoni alama za ulizo?Toa sababu za kidini na Imani iliueleweke
Hata mgawanyo wa Mali ktk dini ya kiislam,
mirathi mwanamke hupata 1/4 ya Mali atakayopata mwanaume .
Ibilisi huwezi mkwepa kama upo dunia hii..kwahiyo kaa kutulia.Usitupangie tuliotayari Kama hautaki Baki na uibilisi wako
Huyo mhadhiri wa mchongo anatetea ugali..aende Afghan kwenye chimbuko la wavaa kobazi ao talebani wanayo fanya kazi nakusimamia misingi ya sharia.
7 September 2020
Profesa Issa Haji Ziddy - Ufafanuzi, wanawake na Uongozi katika Uislam
Prof. Issa Haji Ziddy ambae ni Mhadhiri wa Chuo kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) amesema hakuna mantiki ya kidini ambayo inaweza kumzuia Mwanamke kutokua kiongozi kwa kuwa wanawake wana haki sawa na wanapaswa kuwa viongozi kama walivyo wanaume.
Dr. Issa Ziddy is professor of religious education at the State University of Zanzibar (SUZA).
He obtained his PhD in curriculum development & methodology of teaching from the International University of Africa in Khartoum, Sudan.
His research and publications in Arabic, Swahili, and English concern the history of Islamic education in Zanzibar, Muslim-Christian relations, Gulf-Zanzibar connections, and Islamic teachings on current issues.
He was a visiting scholar in Islamic studies at the University of Leipzig, Institute of Oriental Studies in Germany, Bayreuth University in Germany, and in Northwest College in Wyoming through the Fulbright Visiting Scholar Program.
He has partnered with the government and organizations in Zanzibar seeking to bring Islamic leaders into their work in educating communities on pressing current issues, including gender-based violence, family planning, and positive discipline for children in homes and schools and environmental issues.
Source : TAMWA ZANZIBAR
Kiukweli hizi dini vitabu vyake vyapaswa kubadislishwa viendane na wakati halisi tuliopo..Kusema kila kilichoandikwa kwenye maandiko ya dini tulizoletewa na wakoloni ni makosa makubwa sana.
Maandiko ya dini hizo yaliandikwa katika level fulani ya tamaduni ambapo mwanamke hakuheshimiwa kama binaadamu wengine
Dunia imeendelea, wanawake wapepata haki zao na wanafanya vizuri, wewe unangangania kisa imeandikwa, haya mbona unatumia compyuta, smartphone nk zimeandikwa kwenye vitabu hivyo vya zamani?
Jinsi dunia inavyoendelea tunaendelea kutambua uongo uliopo kwenye vitabu ambavyo wameweka vipingamizi eti visibadilishwe, visibadilishwe vipi wakati kuna tamaduni za kikandamizi za kale zilizopitwa na wakati ambazo haziwezekaniki kwenye dunia ya leo?
Upuuzi ni kwako na kubadilisha hakiwezekani kamwe hata utamani vipi zaidi ya kuendelea kuteseka tu kuchukia kitu ambacho huna mamlaka nacho .Kiukweli hizi dini vitabu vyake vyapaswa kubadislishwa viendane na wakati halisi tuliopo..
Hao wazee hawakua na smartphone wanawezaje kutupangia namna ya kuishi kipindi hiki cha technology na utandawazi.
Wao walikua na punda na ngamia..sasahivi tuna electrical cars na mibombadia..halafu tuendelee kuamini upuuzi wa primitives.
#MaendeleoHayanaChama
Nje mada ,hapo kwenye avatar mbona umekaa kishoga hauoni kwamba unaleta ukakasi ?ila muddy Hana shukrani kabisa...bi Khadija kamkuta jalalan kampa Hela,kamlea,kampa biashara...ila jamaa alipotoboa Tu Na kuanza kupata wafuasi akàanza kumuongezea wake mpaka 11.
Halafu kwenye kitabu chake Quran kawapondea kinoma wanawake
malizia hii methali,Nje mada ,hapo kwenye avatar mbona umekaa kishoga hauoni kwamba unaleta ukakasi ?
Halafu kuna nchi hizo hizo za kiarabu hata mwanamke kuendesha gari ni kosa kabisa, sasa wakija bongo si watashangaa sisi tumeendelea kuliko wao?Kiukweli hizi dini vitabu vyake vyapaswa kubadislishwa viendane na wakati halisi tuliopo..
Hao wazee hawakua na smartphone wanawezaje kutupangia namna ya kuishi kipindi hiki cha technology na utandawazi.
Wao walikua na punda na ngamia..sasahivi tuna electrical cars na mibombadia..halafu tuendelee kuamini upuuzi wa primitives.
#MaendeleoHayanaChama
Linalomtokea , nimeona mpk kifuani kumetuna huku ukirembua kama ni wewe KE basi haina ubaya.malizia hii methali,
Limjazalo mtu ndio......?