inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Tunaufuata ndiyoKwa hiyo mnakubali kuongozana na mfumo wa kikafiri na mnaufuata?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaufuata ndiyoKwa hiyo mnakubali kuongozana na mfumo wa kikafiri na mnaufuata?
kwani hapa tunamjadili Samia?Rais Samia siyo Kiongozi wa dini.
Ni Rais wa NCHI.
Yuko madarakani kwa mujibu wa KATIBA na siyo kupitia kitabu Cha Quran.
Hii mada haihusiani Na ushoga ila umetafuta mbinu zote Hadi umeuingiza hapa..Linalomtokea , nimeona mpk kifuani kumetuna huku ukirem seebua kama ni wewe KE basi haina ubaya.
Lakini pia Ni muislam Na Ni mwanamke.Rais Samia siyo Kiongozi wa dini.
Ni Rais wa NCHI.
Yuko madarakani kwa mujibu wa KATIBA na siyo kupitia kitabu Cha Quran.
Pakistan 70% ni waislam na 30% ni dini zingine.Umesema Pakistani siyo waislam
Nashangaa sn mkuu,kwani hapa tunamjadili Samia?
Sisi tunazungumzia mwanamke kuongoza watu ,
Na sio kuongoza kigenge cha vikoba.,
Au kuongoza biashara.
Au kuongoza family.
Dini imeshakueleza udhaifu wa mwanamke.
Pakistan sio Islamic country.Siyo kweli mbona mtoto wa kike wa aliyekuwa Waziri Mkuu wa Pakistan Benazir Butho pia alikuwa Waziri Mkuu
Dini ya islam inasisitiza kuheshimu mamlaka iliyowekwa duniani.Kwa hiyo mnakubali kuongozana na mfumo wa kikafiri na mnaufuata?
Bangladesh is the first constitutionally secular country in South Asia, having declared itself as an explicitly secular state in 1972. It was the first and only Muslim-majority country in South Asia to enshrine secularism in its constitution
Hapo rais pia ameomba ajira, hivyo ni kazi kama shughuli nyingine isiyo ya kiimani. Urais siyo cheo cha kutumikia imani fulani. Hivyo mwanamama yeyote anaweza kuwania na kupewa kazi ya kidunia kuongoza watu.
Nchi ya kiislamu ya Bangladeshi serikali yake inaongozwa na mwanamama
Hon’ble Prime Minister H.E. Sheikh Hasina![]()
Under her leadership her party Bangladesh Awami League led grand alliance to win a landslide victory in the 9th Parliament Election on December 29, 2008 with 262 seats out of 299 in the National Parliament.
Sheikh Hasina took oath as Prime Minister of Bangladesh at a ceremony held at Banghabhaban on January 06, 2009.
READ MORE : Hon’ble Prime Minister H.E. Sheikh Hasina
Bangladesh haifati Sharia za kiislam.Nchi ya kiislamu ya Bangladeshi serikali yake inaongozwa na mwanamama
Hon’ble Prime Minister H.E. Sheikh Hasina![]()
Under her leadership her party Bangladesh Awami League led grand alliance to win a landslide victory in the 9th Parliament Election on December 29, 2008 with 262 seats out of 299 in the National Parliament.
Sheikh Hasina took oath as Prime Minister of Bangladesh at a ceremony held at Banghabhaban on January 06, 2009.
READ MORE : Hon’ble Prime Minister H.E. Sheikh Hasina
MHADHIRI WA CHUO KIKUU CHA SUZA NAYE ATOA UFAFANUZI
7 September 2020
Profesa Issa Haji Ziddy - Ufafanuzi, wanawake na Uongozi katika Uislam
Prof. Issa Haji Ziddy ambae ni Mhadhiri wa Chuo kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) amesema hakuna mantiki ya kidini ambayo inaweza kumzuia Mwanamke kutokua kiongozi kwa kuwa wanawake wana haki sawa na wanapaswa kuwa viongozi kama walivyo wanaume.
Dr. Issa Ziddy is professor of religious education at the State University of Zanzibar (SUZA).
He obtained his PhD in curriculum development & methodology of teaching from the International University of Africa in Khartoum, Sudan.
His research and publications in Arabic, Swahili, and English concern the history of Islamic education in Zanzibar, Muslim-Christian relations, Gulf-Zanzibar connections, and Islamic teachings on current issues.
He was a visiting scholar in Islamic studies at the University of Leipzig, Institute of Oriental Studies in Germany, Bayreuth University in Germany, and in Northwest College in Wyoming through the Fulbright Visiting Scholar Program.
He has partnered with the government and organizations in Zanzibar seeking to bring Islamic leaders into their work in educating communities on pressing current issues, including gender-based violence, family planning, and positive discipline for children in homes and schools and environmental issues.
Source : TAMWA ZANZIBAR
Mkuu tofautisha.Kwa hiyo wapakistan siyo waislam!!?..acheni hizo,Pakistani siyo nchi ya kiislam
Acha kupotosha, hakuoa mke kipindi bi khadija yuko hai, alioa tena baada ya bi khadija kufa. Na ndoa nyingi alizofunga zilikuwa kwaajili ya kuwakomboa wanawake ambao walikuwa katika shida fulani, maana zama hizo mwanaume hakuruhusiwa kusaidia mwanamke yeyote asiyekuwa mke wake kwa kulingana na aina ya maadili ya kipindi hikoila muddy Hana shukrani kabisa...bi Khadija kamkuta jalalan kampa Hela,kamlea,kampa biashara...ila jamaa alipotoboa Tu Na kuanza kupata wafuasi akàanza kumuongezea wake mpaka 11.
Halafu kwenye kitabu chake Quran kawapondea kinoma wanawake
Acha kupotosha, hakuoa mke kipindi bi khadija yuko hai, alioa tena baada ya bi khadija kufa. Na ndoa nyingi alizofunga zilikuwa kwaajili ya kuwakomboa wanawake ambao walikuwa katika shida fulani, maana zama hizo mwanaume hakuruhusiwa kusaidia mwanamke yeyote asiyekuwa mke wake kwa kulingana na aina ya maadili ya kipindi hiko
Kabla mimi sijakuambia cha kuweka. Wewe unavyoona ni nguzo gani imekiukwa hapo?kwa hiyo niwekeje heading
Omba mods wabadilishe tittle yako. Shida yenu msiojua Uislam mnakurupuka sana. Hebu jaribuni hata kuresearch au hata google ipo kabla hamjaleta nyuzi za kipuuzi kama hizi.umeeleweka
Katika kila dini kuna DOs and DON'Ts. Hayo ni makatazo.....don'ts. Sio ruhusa.Unamaanisha kula kitimoto, kuzini, kuiba na kuua ni ruksa kwenye uislamu sababu havipo kwenye hizo nguzo 5??
Wajinga hamuwezi isha kamweHizi dini ni majanga matupu..zilipaswa vitabu vyake. Vifungiwe museums au vifundishwe kama historia sio kuaminishana.
#MaendeleoHayanaChama