inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Kiti UN kipo,hawakikalii tuZanzibar siyo nchi na wala haina kiti UN!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiti UN kipo,hawakikalii tuZanzibar siyo nchi na wala haina kiti UN!
Ujinga huu umesomea wapi? Kiti kiwepo halafu hakikaliwi!Kiti UN kipo,hawakikalii tu
Kiti Chao kimeenda wapi!?..Kuna utaratibu wa kufuta kiti kilichokuwepo UN!?Ujinga huu umesomea wapi? Kiti kiwepo halafu hakikaliwi!
Pakistan ni kwl ipo ktk Muslim countries.Tatizo unasahau umezunguma nini
Muda wote huo hujaelewa naandika nini!?..nenda kanyePakistan ni kwl ipo ktk Muslim countries.
Lakini haifati [emoji817]% Sharia za kiislam ,
Ndy Mambo kama hayo ya kuongozwa na waziri mkuu wa kike ,
Hakuna really Muslim's country kiongozi wa juu ni jinsia ya kike.
Mfano wa Muslim country ni Afghanistan,,
Saudi Arabia.
Tena hata saudia Arabia pia ni wanafiki siku hizi.
Kabaki Afghanistan peke yake ndy really Muslim's country.
Wengine wote wanajipa Muslim country sababu ya majority of Islam's population.
Hakuna kingine.
Kiti kinafutika pale pale nchi inafutika! Kiti cha Tanganyika kilifutika baada ya kufutika!Kiti Chao kimeenda wapi!?..Kuna utaratibu wa kufuta kiti kilichokuwepo UN!?
Sijasema Pakistan sio waislam,Nilinukuu komenti yako,uliandika Pakistani siyo waislam,mashoga 25%,ninachopinga hicho Cha kusema si waislam
Kwa lugha nyepesi sasa nyie sio waislamuTunaufuata ndiyo
Kwahyo Zanzibar ni nn?Zanzibar siyo nchi na wala haina kiti UN!
Huwezi kuelewa wewe takataka.Muda wote huo hujaelewa naandika nini!?..nenda kanye
Kwahyo kama shehe akiwa mlevi basi uislam umeruhisu pombe?Kama nchi yenye waislamu wengi duniani,Indonesia,imeongozwa na mwanamke,sembuse Tanzania ambayo takwimu hazituambii waislamu wanazidi 50% ya population,tuanze kufunua maandiko eti nguzo ya Imani imevunjwa,mwenye uzi aache kuipotosha jamii,Tanzania siyo secular state,hii inamaanisha kwamba kama nchi inatawaliwa kwa sheria za kiislamu kama Iran,ukimuweka mwanamke kuwa raisi au kiongozi mkuu wa serikali basi unakuwa umekiuka misimgi ya uislamu,hapa nchi yetu haiko hivyo acha kupotosha,serikali ya Tanzania si ya kidini,ila wananchi wake wanaabudu dini mbalimbali na katiba yetu inaruhusu hivyo.
KabisaMasheikh njaa anaikana Imani yake
1/4 atapata kwa mali iliyoachwa na mumewe kama mume hakuacha mtoto. 1/8 Kama mume aliacha mtoto. Kama wake wapo zaidi ya mmoja wata share.Kitu chochote ambacho dini ya Islam imekataza,,
Hilo ni katazo la Mungu.
Na chochote Mungu alichokataza kwa wanadamu, [emoji817]% kina madhara kwa binadamu au jamii husika.
Mfano,
_zinaa.
_Pombe.
_kusema uongo.
_Kula riba.
_Mwanamke kuongoza wanaume.
--mwanamke kuonyesha maungo ya mwili wake.NK.
Hilo ni katazo la Mungu.
Kwa kibinadamu hilo la mwanamke kuongoza wanaume linafanyika dunia lakini si kwa inchi za kiislam..
Hata kuna maandiko yanasema kwamba mwanamke ni dhaifu..
Hata mgawanyo wa Mali ktk dini ya kiislam,
mirathi mwanamke hupata 1/4 ya Mali atakayopata mwanaume .
Kama Baba alikuwa na watoto 2,
Na aliacha 100,000/ bank,
Basi mwanamke atapewa 25,000/Tu.
Kilichobaki 75,000/ atapewa mwanaume.
Sawa mkuu1/4 atapata kwa mali iliyoachwa na mumewe kama mume hakuacha mtoto. 1/8 Kama mume aliacha mtoto. Kama wake wapo zaidi ya mmoja wata share.
Kwa urithi usiotokana na mume, mfano baba,mama n.k, basi wanawake watapata nusu ya watakachopata wanaume. Yaani wanaume mara 2 ya wanawake.
Nimejaribu kuweka sawa hapo ulipoandika "1/4 ya Mali atakayopata mwanaume".
Kiarabu Sharia,waswahili wakatohoa wakaita sheriaHuwezi kuelewa wewe takataka.
Hujuwi kutofautisha Sheria na Sharia.
Tundu yako ya makalio ina shida mahali.
Kwani muislam ni Nani!?..Nani ana mamlaka!?..Qur'an ina Sheria zote Hadi za usalama barabarani!?Kwa lugha nyepesi sasa nyie sio waislamu
Ni kweli lakini wanapozungumzia Sharia means wanamaanisha wanachokisimamia..Kiarabu Sharia,waswahili wakatohoa wakaita sheria
Kwani bibilia inaposema Baba ndiye kichwa cha nyumba siyo imani kandamizi, Lakini maandiko yanasema, Mungu aliumba mwanadamu kwa mfano wake, je unadhani mfano wa Mwanamke? Sababu mwanamke ni binadamu.Kama ndo hivyo.... hiyo ni imani Kandamizi!
Kuna Ukrasa wa jamaa, kule insta, aliandika kama unajijua, wewe IQ yako ni ndogo, acha kukomenti post za watu, maana utajiabisha bure, utaibisha wazee wako, rafiki zako na hata ukoo wenu.Unamaanisha kula kitimoto, kuzini, kuiba na kuua ni ruksa kwenye uislamu sababu havipo kwenye hizo nguzo 5??
Nguzo ya sifuriRekebisha heading yako. Nguzo za Uislam ni 5
1. Kusadiki imani ya Kiislam kwamba Mungu ni 1 na Muhammad ni mjumbe wake
2. Kusali sala 5
3. Kutoa zaka
4. Kufunga Ramadhan
5. Kuhiji Makka
Sasa mwanamke akiwa Rais ni nguzo gani imekiukwa?