Kwanini mwanamke wa Kiislam kuwa Rais ni kukiuka nguzo za Uislamu?

Kwanini mwanamke wa Kiislam kuwa Rais ni kukiuka nguzo za Uislamu?

Rekebisha heading yako. Nguzo za Uislam ni 5
1. Kusadiki imani ya Kiislam kwamba Mungu ni 1 na Muhammad ni mjumbe wake
2. Kusali sala 5
3. Kutoa zaka
4. Kufunga Ramadhan
5. Kuhiji Makka
Sasa mwanamke akiwa Rais ni nguzo gani imekiukwa?
na ukila nguruwe umevunja amri gani kati ya hizo???
 
Waarabu wanaita Sharia kwa kuwa kabla hawakuwa na Sheria mpaka ilipokuja Qur'an,so wakisema Sharia kwa Sasa wanamaanisha ya quran
Ndy hapo kwamba Pakistan na Bangladesh hawatumii Sharia kuhukumu baadhi ya makosa.
 
Kuto kula nguruwe sio nguzo za uislam.

Kula nguruwe ni katazo kama lilivyokuwa Kula kinyesi chako.
sasa nguzo za uislamu ni nini??

ina maana gani kama utazisimamia zote halafu ukaja kula kitimoto???
sisi tuna amri 10 za Mungu,ukipita humo kwenye hizo 10 bila kuacha hata moja,unakuwa kijana usiye wa hovyo hata kidogo.
 
Sijasema Pakistan sio waislam,
Nimesema sio Muslim country,

Sababu hawafati Sheria za kiislam.
Wanachaguwa cha kufata na vingine hawafati,

Japokuwa wanajiita Muslim country.
--sheria ya kiislam inasema mwizi akiiba akatwe kiganja cha mkono.
Lakini Pakistan mwizi anafungwa miaka 3 au fine.

-- mashoga yamejazana tele mitaani na yanajulikana na hayachukuliwi hatua yeyote.

-- hukumu ya madawa ya kulevya kwa Sheria ya Muslim's country ni kupigwa panga kutenganisha kichwa,
Tena hadharani.

Wakati Pakistan madawa unafungwa miaka 3.

Utasema ni Muslim country?

Sasa huo uislam na Sheria zake hapo upo wapi?
Egypt, Libya, Tunisia, Algeria na Morocco ni nchi za Kiislam lakini kila nchi ina utaratibu wake wa
sasa nguzo za uislamu ni nini??

ina maana gani kama utazisimamia zote halafu ukaja kula kitimoto???
sisi tuna amri 10 za Mungu,ukipita humo kwenye hizo 10 bila kuacha hata moja,unakuwa kijana usiye wa hovyo hata kidogo.
Acha kusumbua watu kwa maswali ya kijinga na kebehi kwenye dini za wenzako! Wakatokili hawali nyama siku ya Ijumaa Kuu kwani iko katika amri ya ngapi ya Mungu?

Wewe elewa kutokula nguruwe ni katazo la dini ya Kiislam na kutokula nyama siku ya Ijumaa Kuu ni katazo la Wakatokili!
 
Je wajua ni kosa kwa mwanaume wa kiislamu kuvaa dhahabu dini hairuhusu
Nazan vtu vingne viache tu viende
 
Egypt, Libya, Tunisia, Algeria na Morocco ni nchi za Kiislam lakini kila nchi ina utaratibu wake wa

Acha kusumbua watu kwa maswali ya kijinga na kebehi kwenye dini za wenzako! Wakatokili hawali nyama siku ya Ijumaa Kuu kwani iko katika amri ya ngapi ya Mungu?

Wewe elewa kutokula nguruwe ni katazo la dini ya Kiislam na kutokula nyama siku ya Ijumaa Kuu ni katazo la Wakatokili!
mbona povu maalim umeunga 6 au???

soma taratibu swali utoe jibu sahihi,ndio maana hujawahi kuona kelele anapigiwa mkatoliki kwa kula nyama siku ya ijumaa kuu.

halafu fatilia ujue mada imeanzia wapi.
 
mbona povu maalim umeunga 6 au???

soma taratibu swali utoe jibu sahihi,ndio maana hujawahi kuona kelele anapigiwa mkatoliki kwa kula nyama siku ya ijumaa kuu.

halafu fatilia ujue mada imeanzia wapi.
Acha ujinga! Dini siyo yako unachokonoa ili iweje? Shika dini yako waachie dini yao, hakuhusu!
 
Sio kukiuka nguzo za uislamu,siku nyingine kabla haujazungumzia jambo jaribu kufanya utafiti angalau kidogo Ili ujue unachokizungumzia ni kitu Gani.

Nikienda kwenye hoja ya msingi ,Kwa taratibu za kimafundisho ya kiislamu mwanamke anatakiwa atulizane nyumbani kwake,na uislamu hautambui nafasi ya uongozi Kwa mwanamke kwa nafasi yoyote Ile sio tu urais bali hata mwenyekiti wa mtaa. Uislamu unawataka wanaume wawe wasimamizi wa wanawake.
He!. Kumbe ndio maana huwa haambatani na mumewe kwenye ziara zake za kikazi?. Tofauti na Marais wanaume huwa wanaongozana na wake zao!

Au pengine ndio maana vitu vinapanda Bei kila kukicha sababu tumemkosea adabu Mungu
 
Hii nchi hatufati sheria ya kiislam - kuweni waelewa.. tangu hapo mwanzo mtoto anapelekwa kuanzishwa darasa la kwanza anafundishwa kuhusu utawala anateuliea awe monitor au monitress= kifupi tu anafundishwa uongozi vipi! Ataweza kuongoza wengine na ndio mfumo uliopo kwenye vyama vyote ni uongozi tu.. sasa mwanajf anakuja kuhoji anachohoji ni nini! Nchi haijasimamisha dollar ya kiislam na tangu mtoto wazazi na walezi wake wanamuona huyo mwanamke aliyeongelewa anajihusisha na mambo ya vyama vya kisiasa.

Na inabidi uzitafute nguzo za kiislam kwanza maana nahisi unafaham katika nguzo za uislam unazozifaham wewe mwenyewe..
 
Swali la uelewa,

Kwa nini mama wa kiislamu kuwa rais ni kukiuka mafunzo ya Mtume Muhamadi?

Huu ni uelewa tu, kwa hiyo tujengeane uwezo bila jazba wala kashfa

c.c FaizaFoxy
Dini zote zinakataza mwanamke kumuingoza mwanamume. Ni hii demokrasia ya nchi za magharibi ndio imeleta maajabu haya.

Biblia hii hapa.

1 Timotheo 2:12
[12]Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha, wala kumtawala mwanamume, bali awe katika utulivu.
 
He!. Kumbe ndio maana huwa haambatani na mumewe kwenye ziara zake za kikazi?. Tofauti na Marais wanaume huwa wanaongozana na wake zao!

Au pengine ndio maana vitu vinapanda Bei kila kukicha sababu tumemkosea adabu Mungu
Tumefanya makosa makubwa sana
 
sasa nguzo za uislamu ni nini??

ina maana gani kama utazisimamia zote halafu ukaja kula kitimoto???
sisi tuna amri 10 za Mungu,ukipita humo kwenye hizo 10 bila kuacha hata moja,unakuwa kijana usiye wa hovyo hata kidogo.
Amri kumi za Mungu sio nguzo za uislam.

Kiti Moto ni najisi ktk dini ya kiislam.
Mbwa kukunusa pia ni najisi.
Mkojo bila kunawa yote ni najisi.

Hivyo basi Kula kiti Moto ni Sawa na kunywa mkojo wako au kinyesi chako..

Najisi -- chochote kitokacho kwenye tupu either mkojo au kinyesi.
 
Rekebisha heading yako. Nguzo za Uislam ni 5
1. Kusadiki imani ya Kiislam kwamba Mungu ni 1 na Muhammad ni mjumbe wake
2. Kusali sala 5
3. Kutoa zaka
4. Kufunga Ramadhan
5. Kuhiji Makka
Sasa mwanamke akiwa Rais ni nguzo gani imekiukwa?
Push gang wameamua kuja kivingine..!
Wanywe tu juice ya pilipili kichaa na chai ya tangawizi kali watapona!

Mbona hawakuhoji huu unawake na uislam, alipokuwa makamu WA raisi!??

Inafikirisha Sana! Alipokuwa makamu it was okay, coz it is a ceremonial position, hakuna maamuzi!
 
Rekebisha heading yako. Nguzo za Uislam ni 5
1. Kusadiki imani ya Kiislam kwamba Mungu ni 1 na Muhammad ni mjumbe wake
2. Kusali sala 5
3. Kutoa zaka
4. Kufunga Ramadhan
5. Kuhiji Makka
Sasa mwanamke akiwa Rais ni nguzo gani imekiukwa?
Ni kusali au Kuswali?
 
Back
Top Bottom