Kitu chochote ambacho dini ya Islam imekataza,,
Hilo ni katazo la Mungu.
Na chochote Mungu alichokataza kwa wanadamu, [emoji817]% kina madhara kwa binadamu au jamii husika.
Mfano,
_zinaa.
_Pombe.
_kusema uongo.
_Kula riba.
_Mwanamke kuongoza wanaume.
--mwanamke kuonyesha maungo ya mwili wake.NK.
Hilo ni katazo la Mungu.
Kwa kibinadamu hilo la mwanamke kuongoza wanaume linafanyika dunia lakini si kwa inchi za kiislam..
Hata kuna maandiko yanasema kwamba mwanamke ni dhaifu..
Hata mgawanyo wa Mali ktk dini ya kiislam,
mirathi mwanamke hupata 1/4 ya Mali atakayopata mwanaume .
Kama Baba alikuwa na watoto 2,
Na aliacha 100,000/ bank,
Basi mwanamke atapewa 25,000/Tu.
Kilichobaki 75,000/ atapewa mwanaume.