Kwanini mwanamke wa Kiislam kuwa Rais ni kukiuka nguzo za Uislamu?

Kwanini mwanamke wa Kiislam kuwa Rais ni kukiuka nguzo za Uislamu?

Kitu chochote ambacho dini ya Islam imekataza,,
Hilo ni katazo la Mungu.

Na chochote Mungu alichokataza kwa wanadamu, [emoji817]% kina madhara kwa binadamu au jamii husika.
Mfano,
_zinaa.
_Pombe.
_kusema uongo.
_Kula riba.
_Mwanamke kuongoza wanaume.
--mwanamke kuonyesha maungo ya mwili wake.NK.

Hilo ni katazo la Mungu.
Kwa kibinadamu hilo la mwanamke kuongoza wanaume linafanyika dunia lakini si kwa inchi za kiislam..

Hata kuna maandiko yanasema kwamba mwanamke ni dhaifu..

Hata mgawanyo wa Mali ktk dini ya kiislam,
mirathi mwanamke hupata 1/4 ya Mali atakayopata mwanaume .
Kama Baba alikuwa na watoto 2,
Na aliacha 100,000/ bank,

Basi mwanamke atapewa 25,000/Tu.

Kilichobaki 75,000/ atapewa mwanaume.
Natamani ni comment [emoji24][emoji26] ila acha nikae kimya tu.
 
sasa kama wao nchi inayofata sheria za kiislam linitaka kujadili inamana hili la mwanamke kuongoza sio katazo hasa la kidini...
Hivi ndivyo ambavyo huwa unafanya conclusion ya kujua jambo fulani limeruhusiwa au halijaruhusiwa katika dini?

Kwa Saudia pamoja na kuwa ni nchi ya kiislamu umesema wameathirika na tamaduni zao za utawala wa kifalme(that means wameenda kinyume na Sheria za kiislamu), hivyo wanakosea.

Ila kwa hizo nchi zingine za kiislamu huoni kama zinaweza zikawa zimekosea pamoja na kuwa ni zakiislamu kama ulivyosema kwa Saudia?

Ulichotakiwa kujua ni je hilo suala linahukumu gani katika Uislamu? suala la nani anafuata na nani hafuati sio hoja, hata kama ni muislamu.
 
Unaweza kunipa aya ya Quran ambayo inakataza mwanamke kuwa kiongozi?
Mwanamke anaruhusiwa kuwa kiongozi ila sio wa wanaume.

Hebu lete aya inayomruhusu mwanamke kuwa kiongozi wa wanaume?
 
Naomba mama yetu afanye ziara kwenye nchi za kiarabu ili wajifunze kws mfano kuwa mwanamke ni binaadamu kama wengine, wanaakili na busara ya uongozi kuliko wanaume, hii itawakomboa wanawake wa kiarabu wanaodungiwa ndani ,na hawaruhusiwi hata kujumuika kwenye hadhira achilia mbali kuwa kiongozi
 
Mwanamke anaweza kuwa kiongozi Kwa wanawake wenzie lakini Sio kwenye mchanganyiko baina ya wanawake na wanaume
kiukweli wanaume tusidanganyane hatujazoea kuongozwa na mwanamke hata wasaidizi wake wengi wanaongozwa na kumsifia kinafiki tu nafsi zao ziko mbali sana na jinsi walivyo!
wamekubali kuburuzwa na matokeo yake hakuna wanachofanya kizuri
 
Wanaume ni viongozi wa wanawake.

"Wanaume ni wasimamizi wa wanawake, kwa kufadhiliwa na Mwenyezi Mungu baadhi yao juu ya baadhi......"(Quran 4:34)
Ila ndio hivyo keshakuwa Rais, na wenye huo Uislamu wanamtambua, tutafanyaje sasa?
 
Hizi dini ni majanga matupu..zilipaswa vitabu vyake. Vifungiwe museums au vifundishwe kama historia sio kuaminishana.

#MaendeleoHayanaChama
Akili A kijinga sana hizi utadhani kilichoandikwa umekifanyia uchunguzi unaona uonyeshe Uchi wa Akili yako
 
Mnapotaka kutumia hizi sheria kwa sababu Samia ni Raisi au mnazipenda sheria hizi ziongoze Maisha yenu

Uislam na hayo mavyama yenu na siasa zenu ni ni mashariki na magharibi

Mnapojadili uraisi wa Samia mjadili kwa Mujibu wa katiba yenu na sio Quran
 
Back
Top Bottom