Bangladesh ni inchi yenye waislam wengi,
Lakini sio inchi ya kiislam.
89% ni Muslim's.
10% Hindu na Christians.
Wanafuata Sheria za British kama makolon mengine ya British.
Wanafata Sharia za kiislam kwenye Mambo ya kijamii.
Mfano
Ndoa,
Mirathi,
Kuzikana kidini nk.
Lakini serikali haifati Sharia ya dini ya kiislam sababu kuna madhehebu mengine ndani ya Bangladesh.
Bangladesh, Pakistan zote zilikuwapo ndani ya India zamani,
Hivyo basi wana tamaduni zinazofanana ,,
za kutawaliwa na mwanamke kuanzia ndoa zao nk.
Jifunzeni kujuwa tofauti ya inchi yenye waislam wengi na inchi ya kiislam..
Duniani India ndy inchi yenye waislam wengi kuliko wote dunia na still ni Hindu country.
Mwanamke hawezi kuwa SHEHE hata ajuwe dini kwa kiasi gani..
Hakuna really Muslim's country kiongozi mwanamke.
Shehe maana yake ni KIONGOZI,au MKUU.
Hawakumaanisha mwanamke.s