Sijasema Pakistan sio waislam,
Nimesema sio Muslim country,
Sababu hawafati Sheria za kiislam.
Wanachaguwa cha kufata na vingine hawafati,
Japokuwa wanajiita Muslim country.
--sheria ya kiislam inasema mwizi akiiba akatwe kiganja cha mkono.
Lakini Pakistan mwizi anafungwa miaka 3 au fine.
-- mashoga yamejazana tele mitaani na yanajulikana na hayachukuliwi hatua yeyote.
-- hukumu ya madawa ya kulevya kwa Sheria ya Muslim's country ni kupigwa panga kutenganisha kichwa,
Tena hadharani.
Wakati Pakistan madawa unafungwa miaka 3.
Utasema ni Muslim country?
Sasa huo uislam na Sheria zake hapo upo wapi?