Kwanini Mwanaume akiweka bikira kigezo cha kuoa anapondwa, ila Mwanamke akisema anataka mchumba awe na kazi nzuri, pesa hapondwi?

MELEKAHE

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2023
Posts
1,340
Reaction score
5,588
Habari wadau

Kwenye swala la kuoa. Jamii inataka mwanaume awe na kazi, pesa na wengine nyumba na hata gari awe nayo. Kabla hajaoa

Lakini mwanaume akisema anataka kuoa mwanamke ambaye ni bikira. Jamii inamshangaa Mwanaume huyo na Anaonekana hana maturity.

Kwa nini Mwanaume anaeweka bikira kama kigezo cha mchumba wa kuoa Anaonekana mshamba na mbaguzi? Ila mwanamke anaeweka kigezo cha pesa na mali anaonekana yupo sahihi
 
Habari wadau

Kwenye swala la kuoa. Jamii inataka mwanaume awe na kazi, pesa, na wengine nyumba na hata gari awe nayo. Kabla hajaoa

Lakini mwanaume akisema anataka kuoa mwanamke ambaye ni bikira. Jamii inamshangaa Mwanaume Anaonekana hana maturity.

Kwa nini Mwanaume anaeweka bikira kama kigezo cha mchumba wa kuoa Anaonekana mshamba na mbaguzi?
Ni kwa sababu hakuna mwanamke bikra kwa miaka hii, ukiona mwanmke bikra ujue ana matatizo ya kiafya tangia amezaliwa
 
Ni kwa sababu hicho kigezo chenu hakina uhalisia, ili wanawake wajitunze hadi ndoa maana yake na wanaume nao itabidi wakubali kujitunza hadi ndoa, wanawake wote wakisema wakitongozwa wakatae ili wajitunze maana yake wanaume watakosa wanawake wa kufanya nao tendo la ndoa

Sasa wanaume mkiambiwa nanyi mkubali kujitunza hadi ndoa hamtaki mnaleta visingizio vya kipuuzi eti nature, matokeo yake hata wanawake wakisema wakatae mtaendelea kuwashawishi tu, kumbuka nao ni binadamu siyo malaika kwahiyo mwisho wa siku msianze kulialia kwamba wanawake hawajitunzi ilihali nanyi hamko tayari

Lakini tukija kwenye kigezo cha pesa hicho kina uhalisia, kwa sababu mwanaume anapimwa kwa uwezo wake wa kubeba jukumu lake la kutunza na kuhudumia familia na hilo ndilo jukumu kubwa la mwanaume, sasa mwanaume usipokuwa na shughuli yoyote ya kukuingizia kipato huko ndoani unataka uende kufanya nini
 
Habari wadau

Kwenye swala la kuoa. Jamii inataka mwanaume awe na kazi, pesa, na wengine nyumba na hata gari awe nayo. Kabla hajaoa

Lakini mwanaume akisema anataka kuoa mwanamke ambaye ni bikira. Jamii inamshangaa Mwanaume Anaonekana hana maturity.

Kwa nini Mwanaume anaeweka bikira kama kigezo cha mchumba wa kuoa Anaonekana mshamba na mbaguzi?
Jamii imepotoka
 
Si wanawake walio wengi ni Malaya coz hawana Bikra na hawajaolewa, lazima upondwe, we subiri hata humu humu kwenye uzi.
 
Ni kwa sababu hicho kigezo chenu hakina uhalisia, ili wanawake wajitunze hadi ndoa maana yake na wanaume nao itabidi wakubali kujitunza hadi ndoa, wanawake wote wakisema wakitongozwa wakatae ili wajitunze maana yake wanaume watakosa wanawake wa kufanya nao tendo la ndoa

Sasa wanaume mkiambiwa nanyi mkubali kujitunza hadi ndoa hamtaki mnaleta visingizio vya kipuuzi eti nature, matokeo yake hata wanawake wakisema wakatae mtaendelea kuwashawishi tu, kumbuka nao ni binadamu siyo malaika kwahiyo mwisho wa siku msianze kulialia kwamba wanawake hawajitunzi ilihali nanyi hamko tayari

Lakini tukija kwenye kigezo cha pesa hicho kina uhalisia, kwa sababu mwanaume anapimwa kwa uwezo wake wa kubeba jukumu lake la kutunza na kuhudumia familia na hilo ndilo jukumu kubwa la mwanaume, sasa mwanaume usipokuwa na shughuli yoyote ya kukuingizia kipato huko ndoani unataka uende kufanya nini
Sisi kwakuwa tuna hamu kuliko wanawake, tutaendelea kuwala ambao hawana Bikra sasa huna bikra uendeleze kujitunza wa nini nahuku ushatobolewa? Bora tukutumie kupunguza upwiru afu wakati wa kuoq tunaoa bikra.

Wanaume itabidi tukubaliane tukikuta bikra tusimle, tumuoe Kwanza, hutaki kumuoa achia mumewe mtarajiwa aoe. Kamwe usimharibu bikra, ila hawa malaya tuendelee kuwala wakati huo tunajishikiza.

Kama ulibakwa hapo sawa hatukulaumu, ila kama ulikubali kuikatikia kabla hujaolewa, wakaitoa bikra, wewe ndo basi tena, endelea kuwa chakula cha wahuni
 
Hivi umeelewa hata hoja yangu kweli, hebu tuassume hiki kizazi chote kimefutika kikaanza kingine, ambacho wanaume wote ni mabikira na wanawake wote ni mabikira

Halafu wanawake wote wakasema waweke ngumu watunze bikira zao hadi ndoa, yani mwanaume ukitaka tendo ni hadi uoe na unakuta mwanamke kuolewa ni hadi amalize kusoma, na mwanaume naye kuoa ni hadi amalize kusoma na apate shughuli yoyote ya kumuingizia kipato

Je wanaume mtakubali hili na mtakuwa tayari kuvumilia, bila kutafuta namna nyingine yoyote ya kuwashawishi wanawake, ili mfaye nao ngono au hata kuwabaka kabisa wewe unaona linawezekana hilo
 
Wapo watu wanamaliza vyuo vikuu wana Bikra, siyo kwamba Bikra hawapo
Sasa kwa akili yako unaona bikira waliopo inalingana na idadi ya wanaume wanaotaka mabikira, maana sasa hivi kila mwanaume anajifanya anataka bikira ilihali bikira zenyewe ni za kusaka kwa tochi, labda kama mtakubali ndoa za mwanamke mmoja wanaume wengi hilo ndio litawezekana
 
Mwanamke yeyote hua anaolewa na mwanaume toleo la tatu

Toleo la kwanzw mtoa bikraa huyu sio muaji kabisa ila ndo kuna true love kutoka kwa mwanamke kumuacha sio rahisi labda kifo...

Toleo la pili huyu ni yule anaye mpeleka mjini mwanamke yaani kumtoa ushamba wa mapenz na kuumpa vibe hapa wengi hua wanafirwa sana cos toleo la pili hua ni makatili sana tena asipokua makini anaweza akawa single Maza hapa mwanamke anaachiwa makovu ya mapenz na kumfanya awe Makin sana........

Toleo la tatu ndo la ndoa huku mwanamke anatafuta pakupumzikia apate pumziko la milele mara nyingi wanatafuta wale wanaume maboya ambayo wataweza kuyaendesha kwenye pumziko la milele........
 
Back
Top Bottom