Ni kwa sababu hakuna mwanamke bikra kwa miaka hii, ukiona mwanmke bikra ujue ana matatizo ya kiafya tangia amezaliwaHabari wadau
Kwenye swala la kuoa. Jamii inataka mwanaume awe na kazi, pesa, na wengine nyumba na hata gari awe nayo. Kabla hajaoa
Lakini mwanaume akisema anataka kuoa mwanamke ambaye ni bikira. Jamii inamshangaa Mwanaume Anaonekana hana maturity.
Kwa nini Mwanaume anaeweka bikira kama kigezo cha mchumba wa kuoa Anaonekana mshamba na mbaguzi?
Jamii imepotokaHabari wadau

Si wanawake walio wengi ni Malaya coz hawana Bikra na hawajaolewa, lazima upondwe, we subiri hata humu humu kwenye uzi.Habari wadau
Kwenye swala la kuoa. Jamii inataka mwanaume awe na kazi, pesa, na wengine nyumba na hata gari awe nayo. Kabla hajaoa
Lakini mwanaume akisema anataka kuoa mwanamke ambaye ni bikira. Jamii inamshangaa Mwanaume Anaonekana hana maturity.
Kwa nini Mwanaume anaeweka bikira kama kigezo cha mchumba wa kuoa Anaonekana mshamba na mbaguzi?
Sio kweli mimi nimeoa bikraNi kwa sababu hakuna mwanamke bikra kwa miaka hii, ukiona mwanmke bikra ujue ana matatizo ya kiafya tangia amezaliwa
Sisi kwakuwa tuna hamu kuliko wanawake, tutaendelea kuwala ambao hawana Bikra sasa huna bikra uendeleze kujitunza wa nini nahuku ushatobolewa? Bora tukutumie kupunguza upwiru afu wakati wa kuoq tunaoa bikra.Ni kwa sababu hicho kigezo chenu hakina uhalisia, ili wanawake wajitunze hadi ndoa maana yake na wanaume nao itabidi wakubali kujitunza hadi ndoa, wanawake wote wakisema wakitongozwa wakatae ili wajitunze maana yake wanaume watakosa wanawake wa kufanya nao tendo la ndoa
Sasa wanaume mkiambiwa nanyi mkubali kujitunza hadi ndoa hamtaki mnaleta visingizio vya kipuuzi eti nature, matokeo yake hata wanawake wakisema wakatae mtaendelea kuwashawishi tu, kumbuka nao ni binadamu siyo malaika kwahiyo mwisho wa siku msianze kulialia kwamba wanawake hawajitunzi ilihali nanyi hamko tayari
Lakini tukija kwenye kigezo cha pesa hicho kina uhalisia, kwa sababu mwanaume anapimwa kwa uwezo wake wa kubeba jukumu lake la kutunza na kuhudumia familia na hilo ndilo jukumu kubwa la mwanaume, sasa mwanaume usipokuwa na shughuli yoyote ya kukuingizia kipato huko ndoani unataka uende kufanya nini
Wapo watu wanamaliza vyuo vikuu wana Bikra, siyo kwamba Bikra hawapoSio kweli mimi nimeoa bikra
Hivi umeelewa hata hoja yangu kweli, hebu tuassume hiki kizazi chote kimefutika kikaanza kingine, ambacho wanaume wote ni mabikira na wanawake wote ni mabikiraSisi kwakuwa tuna hamu kuliko wanawake, tutaendelea kuwala ambao hawana Bikra sasa huna bikra uendeleze kujitunza wa nini nahuku ushatobolewa? Bora tukutumie kupunguza upwiru afu wakati wa kuoq tunaoa bikra.
Wanaume itabidi tukubaliane tukikuta bikra tusimle, tumuoe Kwanza, hutaki kumuoa achia mumewe mtarajiwa aoe. Kamwe usimharibu bikra, ila hawa malaya tuendelee kuwala wakati huo tunajishikiza.
Kama ulibakwa hapo sawa hatukulaumu, ila kama ulikubali kuikatikia kabla hujaolewa, wakaitoa bikra, wewe ndo basi tena, endelea kuwa chakula cha wahuni
Sasa kwa akili yako unaona bikira waliopo inalingana na idadi ya wanaume wanaotaka mabikira, maana sasa hivi kila mwanaume anajifanya anataka bikira ilihali bikira zenyewe ni za kusaka kwa tochi, labda kama mtakubali ndoa za mwanamke mmoja wanaume wengi hilo ndio litawezekanaWapo watu wanamaliza vyuo vikuu wana Bikra, siyo kwamba Bikra hawapo
Kwasababu We (Men) hatupendi ku-argue na foolsKwa nini Mwanaume anaeweka bikira kama kigezo cha mchumba wa kuoa Anaonekana mshamba na mbaguzi?
Kwasababu We (Men) hatupendi ku-argue na foolsKwa nini Mwanaume anaeweka bikira kama kigezo cha mchumba wa kuoa Anaonekana mshamba na mbaguzi?