Kwanini Mwanaume akiweka bikira kigezo cha kuoa anapondwa, ila Mwanamke akisema anataka mchumba awe na kazi nzuri, pesa hapondwi?

Jidanganyeni na kujipa moyo,ila bikra haijawahi kushuka thamani. Ndoa ni tendo la kiroho, ndio maana wanaume wanaopt bikra au atleast ampate mwenye low body counts basi,ndio ipo hivyo. Sasa wewe endelea kushindana na wanaume kisa mzuri au unahela basi unawapanga, wataendelea kupiga na kusepa.
 
Achana nae huyo nyolonyolo huyo yupo kutafuta danga, kaishiwa pumzi kaishia kuita mods wakati kautaka mwenyewe
Kaenda kujichaji naona huko,, anakuaje m'mbea m'mbea aseeeee
 
Kama ulivyo uzuri/urembo sio wote wanao ni wachache ambao nao wanajitunza pia kwa namna mbalimbali.

Hata bikra ni hivyohivyo, jitunze. Thamani ya kitu inapanda hasa kukiwa na uhaba wa kitu hicho.

Bikra ni mojawapo, ina thamani mno kwa kizazi hiki. Ukiwa 20+ yrs na bado bikra alooo, thamani yako ni kubwa.

Sasa hilo la kutaka sijui wanaume waache kuzizagamu hizo papuchi na kutoa bikra kwa kigezo cha kua wanawaharibu wenyewe sio sahihi maana hayo ni makubaliano ya binti mtolewa na mtoaji. Ila binti mtolewa atakapokataa hapo ndo anazidisha thamani ya bikra maana watakua wachache mnooo.

Kwani ninyi huwa mnawapa hizo pesa wanaume mpaka mtake wenye kutimiza majukumu yao??
Kama huwa hamuwapi basi waache wachague wanachotaka bila kujali historia yao, kama walizitoa au laah.
 
Eh maana lazima mume atunze familia na bikra hata wewe huna mtoa mada
 
KAKA ONGEZA SAUTI NAJUA WASIOKUWA BIKRA WANAUMIA
 
Kuwasilisha tatizo sio kulalamika, naishi na ndugu, jamaa, majirani na marafiki naona yanayoendelea kwenye jamii kwaiyo haimaanishi kwamba kila nitakachokiwasilisha kimenitokea mimi binafsi
Wewe kwa namna unavyowasilisha mada zako ni dhahiri shahiri unateswa na mapenzi na siyo tu mke bali hata mchumba wa kueleweka huna, anyway waambie hao ndugu na jamaa zako kwamba wakitaka wanawake wajitunze basi nao wakubali kujitunza ili mwisho wa siku wazikute hizo bikira, huwezi kutaka wanawake wajitunze halafu unataka ngono unawatongoza wakikubali mwisho wa siku unakuja kulalamika hakuna wanawake wa kuoa
Wanaume hao wapo wengi sana, sio chaguo la wanawake kwa sababu wanawake ambao wapo kwenye age yao ni mapepe wana-prefer badboys over nice guys
Sasa mbona na hao bad boys nao wanakuja kulialia kwamba hakuna bikira au wewe unadhani wanaolalamika ni nice guys tu
Wanaume ambao hatupo interested na vishawishi vya wanawake tupo, mmoja wapo ni mimi mwenyewe. Wapo wanawake wengi ambao naona ishara zao za kufosi kingi lakini nawapuuzia.
Usijiongelee wewe ongelea wanaume wote kwa ujumla, wewe unadhani ni wanaume wangapi wanaokwepa vishawishi, kulinganisha na wanaoendekeza vishawishi
Wapo wa kutosheleza, hakuna upungufu wa wanawake bikira kwa mwanaume mwenye uhitaji wa kuoa, nasisitiza tena bikira za kutosheleza mahitajo ya waoaji zipo.
Sasa wanaume wenye uhitaji wa kuoa mabikira ni wangapi, mkisema wanawake mabikira wako wengi basi mtuambie wametoka wapi, na wanaume wote wasio mabikira huwa wanafanya na kina nani
 
Unakaza sana fuvu Kijana, kwani hizo bikra 2 nilizovunja kabla ya ndoa huzioni au ndiyo unajitoa akili? Je Ke niliyeoa awali?

Hakuna aliyekulazimisha ukubaliane na mtizamo wangu ila ukikua utaelewa hakuna mwenye hatimiliki ya kummiliki Binadamu 100%, ikiwa hata furaha yenyewe huwa ya muda tu je huyo Bikra ndiye atakuganda milele kisa ulimtoa Bikra hadi umfungie ndani ya boksi asikuchoke au ulimshawishi vipi kukubali akiwa Bikra hadi Me wengine washindwe kumshawishi na kukusaliti?

Amka, badilika, chukua hatua ujue unaishi zama zipi na unapaswa uishije.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
KAMA SIO BIKRA HUNA HADHI YA KUOLEWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…