Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 8,853
- 19,587
Utakufa vibaya weweeeee nakuambiaBADO HUJATHEMAA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakufa vibaya weweeeee nakuambiaBADO HUJATHEMAA
Achana nae huyo nyolonyolo huyo yupo kutafuta danga, kaishiwa pumzi kaishia kuita mods wakati kautaka mwenyeweUtakufa vibaya weweeeee nakuambia
Shemela, umekumbwa na nini lakini shemela?Wengine mama zao hawana zote mbili lakini wapo hapa wanajishongondoa
Kaenda kujichaji naona huko,, anakuaje m'mbea m'mbea aseeeeeAchana nae huyo nyolonyolo huyo yupo kutafuta danga, kaishiwa pumzi kaishia kuita mods wakati kautaka mwenyewe
Kama ulivyo uzuri/urembo sio wote wanao ni wachache ambao nao wanajitunza pia kwa namna mbalimbali.Sasa si mnaona jinsi mlivyo hamna logic kwani hapa wanaolalamika kwamba jinsia fulani haijitunzi ni wanaume au wanawake, ninyi si ndio wenye shida na hizo bikira za wanawake kwani wanawake ndio wenye shida na bikira ninyi ndio mnatakiwa mpambane kuhakikisha hizo bikira hazipotei ili mje kuzikuta mkitaka kuoa, yani wewe umshawishi mtoto wa watu akikubali baadaye uje useme eti alikubali kwa ujinga wake halafu unaanza kuhangaika tena kutafuta bikira wakati ulishazitoa huku na ukizikosa unaanza kulialia eti wanawake wa siku hizi hawajitunzi sasa hapo nani mjinga
IPO HIYO EWE MKOSA BIKRA😭😭😭😭😭Hata ile ya 0713..0675..
nimelia hadi kamasi
BIKRA HAITORUDIUtakufa vibaya weweeeee nakuambia
BIKRA HAIRUDI MPAKA UNAKUFAAchana nae huyo nyolonyolo huyo yupo kutafuta danga, kaishiwa pumzi kaishia kuita mods wakati kautaka mwenyewe
Eh maana lazima mume atunze familia na bikra hata wewe huna mtoa madaHabari wadau
Kwenye swala la kuoa. Jamii inataka mwanaume awe na kazi, pesa, na wengine nyumba na hata gari awe nayo. Kabla hajaoa
Lakini mwanaume akisema anataka kuoa mwanamke ambaye ni bikira. Jamii inamshangaa Mwanaume huyo na Anaonekana hana maturity.
Kwa nini Mwanaume anaeweka bikira kama kigezo cha mchumba wa kuoa Anaonekana mshamba na mbaguzi? Ila mwanamke anaeweka kigezo cha pesa na mali anaonekana yupo sahihi
KAKA ONGEZA SAUTI NAJUA WASIOKUWA BIKRA WANAUMIAKama ulivyo uzuri/urembo sio wote wanao ni wachache ambao nao wanajitunza pia kwa namna mbalimbali.
Hata bikra ni hivyohivyo, jitunze. Thamani ya kitu inapanda hasa kukiwa na uhaba wa kitu hicho.
Bikra ni mojawapo, ina thamani mno kwa kizazi hiki. Ukiwa 20+ yrs na bado bikra alooo, thamani yako ni kubwa.
Sasa hilo la kutaka sijui wanaume waache kuzizagamu hizo papuchi na kutoa bikra kwa kigezo cha kua wanawaharibu wenyewe sio sahihi maana hayo ni makubaliano ya binti mtolewa na mtoaji. Ila binti mtolewa atakapokataa hapo ndo anazidisha thamani ya bikra maana watakua wachache mnooo.
Kwani ninyi huwa mnawapa hizo pesa wanaume mpaka mtake wenye kutimiza majukumu yao??
Kama huwa hamuwapi basi waache wachague wanachotaka bila kujali historia yao, kama walizitoa au laah.
Wewe kwa namna unavyowasilisha mada zako ni dhahiri shahiri unateswa na mapenzi na siyo tu mke bali hata mchumba wa kueleweka huna, anyway waambie hao ndugu na jamaa zako kwamba wakitaka wanawake wajitunze basi nao wakubali kujitunza ili mwisho wa siku wazikute hizo bikira, huwezi kutaka wanawake wajitunze halafu unataka ngono unawatongoza wakikubali mwisho wa siku unakuja kulalamika hakuna wanawake wa kuoaKuwasilisha tatizo sio kulalamika, naishi na ndugu, jamaa, majirani na marafiki naona yanayoendelea kwenye jamii kwaiyo haimaanishi kwamba kila nitakachokiwasilisha kimenitokea mimi binafsi
Sasa mbona na hao bad boys nao wanakuja kulialia kwamba hakuna bikira au wewe unadhani wanaolalamika ni nice guys tuWanaume hao wapo wengi sana, sio chaguo la wanawake kwa sababu wanawake ambao wapo kwenye age yao ni mapepe wana-prefer badboys over nice guys
Usijiongelee wewe ongelea wanaume wote kwa ujumla, wewe unadhani ni wanaume wangapi wanaokwepa vishawishi, kulinganisha na wanaoendekeza vishawishiWanaume ambao hatupo interested na vishawishi vya wanawake tupo, mmoja wapo ni mimi mwenyewe. Wapo wanawake wengi ambao naona ishara zao za kufosi kingi lakini nawapuuzia.
Sasa wanaume wenye uhitaji wa kuoa mabikira ni wangapi, mkisema wanawake mabikira wako wengi basi mtuambie wametoka wapi, na wanaume wote wasio mabikira huwa wanafanya na kina naniWapo wa kutosheleza, hakuna upungufu wa wanawake bikira kwa mwanaume mwenye uhitaji wa kuoa, nasisitiza tena bikira za kutosheleza mahitajo ya waoaji zipo.
Peleka kibamia huko,,bwawa langu litakumeza,,usini quote bwan aaaahIPO HIYO EWE MKOSA BIKRA
Kwani imeenda wapi?BIKRA HAITORUDI
Unakaza sana fuvu Kijana, kwani hizo bikra 2 nilizovunja kabla ya ndoa huzioni au ndiyo unajitoa akili? Je Ke niliyeoa awali?Hizo takwimu hata mimi ninaweza kupika za kwangu hivyo hazisapoti chochote katika hoja hii . Tuendelee
Kingine huo ni mtizamo wako utabaki kuwa mtizamo wako na hauwezi kuwa UNIVERSAL LAW narudia tena kama unavyopenda wasio na bikra basi kuna ambao wanapenda wenye nazo na kama umesoma post yangu vizuri . sijasema kwamba bikra ni kigezo cha tabia njema ila ni kuna emotionala na psychological connection bwtween hao watu wawili waliokutana wakiwa hawajafanya chochote tofauti na mmoja akiwa keshakichafua.
na kuhusu kutoka bikra bila ya tendo , ingekuwa umewahi kuvunja ungeelewa utofauti wa aliyetoka bila tendo na aliyetoka kwa tendo sitaingia in dertails .
N.B
Kitu cha kwanza kuangalia kwa me au ke wanayetaka kufunga ndoa iwe uchamungu hiko ni kitu kikubwa sana hauwezi kuwa mchamungu halafu ukawa mzinifu, mlevi, msengenyaji, mwizi , muongo n.k
HUNA HADHI YA KUOLEWAKwani imeenda wapi?
KAMA SIO BIKRA HUNA HADHI YA KUOLEWAPeleka kibamia huko,,bwawa langu litakumeza,,usini quote bwan aaaah
Haya utaolewa weweHUNA HADHI YA KUOLEWA
KAMA SIO BIKRA NA HUJAOLEWA MLILIE ALIEKUTOA USHICHANA WAKOHaya utaolewa wewe
KAMA SIO BIKRA HUNA HADHI YA KUOLEWAUnakaza sana fuvu Kijana, kwani hizo bikra 2 nilizovunja kabla ya ndoa huzioni au ndiyo unajitoa akili? Je Ke niliyeoa awali?
Hakuna aliyekulazimisha ukubaliane na mtizamo wangu ila ukikua utaelewa hakuna mwenye hatimiliki ya kummiliki Binadamu 100%, ikiwa hata furaha yenyewe huwa ya muda tu je huyo Bikra ndiye atakuganda milele kisa ulimtoa Bikra hadi umfungie ndani ya boksi asikuchoke au ulimshawishi vipi kukubali akiwa Bikra hadi Me wengine washindwe kumshawishi na kukusaliti?
Amka, badilika, chukua hatua ujue unaishi zama zipi na unapaswa uishije.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.