Under-cover
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 1,834
- 3,042
Mkuu nyinyi ambao hamtujadili je mmejikita kutafuta hela Na mmefika mbali? mna bilioni ngapi?Mnavyoshupaa kutujadili 24/7, mngejikita kwenye kutafuta hela mngekuwa mbali,
Asie na bikira ni malaya maana yake hata mama zenu ni malaya tena waliokubuhu
Unaonaje akaolewa na aliyemvunja? Ila asifosi huyo mchumbiaji amchukue hivyo hivyo , au unaonaje wanawake wakijifunza kusema hapana ?Kwa sababu wanaovunja hizo bikira mapema ni huyo huyo mwanaume! Sasa mke bikira atoke wapi
Hakika lo!
Bikra zipo mkuu tena hapa hapa DarSasa kwa akili yako unaona bikira waliopo inalingana na idadi ya wanaume wanaotaka mabikira, maana sasa hivi kila mwanaume anajifanya anataka bikira ilihali bikira zenyewe ni za kusaka kwa tochi, labda kama mtakubali ndoa za mwanamke mmoja wanaume wengi hilo ndio litawezekana