Kwanini Mwanaume akiweka bikira kigezo cha kuoa anapondwa, ila Mwanamke akisema anataka mchumba awe na kazi nzuri, pesa hapondwi?

Kwanini Mwanaume akiweka bikira kigezo cha kuoa anapondwa, ila Mwanamke akisema anataka mchumba awe na kazi nzuri, pesa hapondwi?

Mnavyoshupaa kutujadili 24/7, mngejikita kwenye kutafuta hela mngekuwa mbali,

Asie na bikira ni malaya maana yake hata mama zenu ni malaya tena waliokubuhu
Mkuu nyinyi ambao hamtujadili je mmejikita kutafuta hela Na mmefika mbali? mna bilioni ngapi?
 
Pesa na mali nazidi kuongeza zaidi ila sitaki kutumia na mwanamke used never, bora nisioe nizalishe tu.
 
Mwanaume na mwanamke wakiwa masikini, mwanamke anajiona yeye ndie mwenye haki ya kupendwa kwa sababu yupo katika ubora wake wa uzuri na mwili, ivyo anahitaji mwanaume aliejipata kiuchumi.

Mwanaume huyu masikini atafanya kazi na kufanikiwa kiuchumi, ataweka kigezo cha kutaka mwanamke ambae yupo kwenye ubora wake wa urembo na mwili

Mwanamke yule yule wa mwanzo ambae kwa wakati huo ubora wa uzuri na mwili wake unakua umeingia kwenye declining stage ataona kigezo alichokiweka mwanaume uyo ni ubaguzi ambao umepitwa wakati
 
Sasa kwa akili yako unaona bikira waliopo inalingana na idadi ya wanaume wanaotaka mabikira, maana sasa hivi kila mwanaume anajifanya anataka bikira ilihali bikira zenyewe ni za kusaka kwa tochi, labda kama mtakubali ndoa za mwanamke mmoja wanaume wengi hilo ndio litawezekana
Bikra zipo mkuu tena hapa hapa Dar
 
One is Unrealistic in Today's World..., and the other is just common sense..., Kwa wanyama wote Binadamu akiwemo Mama huwa anaangalia the best kwa watoto wake (man / male as a provider of both genes and security) kwahio kazi nzuri ni part of Security
 
Kuna wanawake wanasema kuna Mwanaume bikra ...watuambie ubikra wa mwanaume ukoje?
 
Back
Top Bottom